sikukuu ya eid

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    Kenya yatangaza Sikukuu ya Eid Ul Adha itafanyika siku ya Ijumaa, Juni 6

    Wakuu, Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen, ametangaza Ijumaa tarehe 6 Juni 2025 kuwa sikukuu ya Eid-ul-Adha kupitia tangazo la gazeti la serikali lililotolewa Jumatano. “Taarifa inatolewa kwa umma kwamba kwa mujibu wa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 2(1) cha Sheria ya Sikukuu...
  2. Waufukweni

    GSM na Try Again uso kwa uso kwenye Ibada ya Sikukuu ya Eid Fitr

    Mdhamini na Mfadhili wa Yanga SC Ghalib Said Mohamed leo amekutana na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Salim Abdallah Muhene Try Again katika Ibada ya Sikukuu ya Eid Fitr. GSM na Try wamekutana katika Msikiti wa Oysterbay na kusalimiana kwa kukumbatiana licha ya kuwa kuna mvutano...
  3. Mindyou

    BAKWATA yatangaza sikukuu ya Eid El Fitri kuwa kesho Jumatatu

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuandama kwa mwezi leo Jumapili Machi 30, 2025 hivyo swala ya Idd El Fitri itafanyika kesho Machi 31, 2025. Taarifa iliyotolewa na Bakwata katika mitandao ya kijamii leo Machi 31, 2025 imeeleza: "Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh...
  4. Nyafwili

    Rais Samia kuingia na mlinzi wa kiume msikitini, ni jambo la kawaida. Tuache Mihemko isiyo na Tija

    Rais SSH kuingia na mlinzi wa kiume mskitini ni jambo la kawaida kutokana na sababu mbali mbali , hasa kama kuna tishio la usalama au kutokana na idadi kubwa ya watu wanaokusanyika kwa pamoja. Tujiepushe na mihemko isiyo na tija na badala yake tufikirie suluhisho zinazojenga na kuheshimu...
  5. Dkt. Gwajima D

    Nawatakia Eid Al Adh'ha njema

    Wapendwa wote salaam, Mwenyezi Mungu awe nasi sote kwenye Maadhimisho haya ya EID AL ADH'HA, 2024. Naomba tukumbuke kuwalinda watoto wetu wawe salama pamoja na makundi yote yenye mahitaji maalum wakati wote wa kufurahia Sikukuu hii kubwa, In Sha Allah, Amina, Heri ya Sikukuu kwetu sote.... 🌹
Back
Top Bottom