siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wavaa vitenge mmeshamazaliza kucheza na wacheza Amapiano sasa hatutaki visingizio kuwa mlikuwa na uchovu wa preseason siku ya mechi ya ngao ya hisani

    Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani. UBAYA UBWELA
  2. JamiiForums Tanzania Njoo ujifunze kutongoza ni rahisi tu (Matokeo Siku 3 tu)

    Usijaribu kudate na Mwanamke asiye na hisia na wewe. Fanya udadisi... ndipo mtongoze kwa kumwambia hata mimi nahisia sana na wewe. Examples of Questions; Unamwanaume, Yes or no If yes, vip unalidhika nae anakufikisha kunako vizuri, is he romantic? if No, Vipi ukiwa na mimi.. ? Look at me, am...
  3. JamiiForums Tanzania Faida nilizipata baada ya kuanza kusoma neno la Mungu ( biblia)

    Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
  4. JamiiForums Tanzania Unakula mara ngapi kwa siku?

    Eti, Unakula chakula mara ngapi kwa siku.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya watu wafupi duniani

    Leo ni siku ya watu wafupi a.k.a mbilikimo au vijeba au gas cylinder. Mtagi member yoyote wa jf unayehisi ni gas cylinder ili aje kusherehekea na tumpongeze katika siku yake hii maalum.
  6. JamiiForums Tanzania Siku nikiajiriwa serikalini nitafurahi sana maana sio kitu kidogo

    Kwakuwa tupo katika nyakati ambazo ajira ni ngumu Kwa watu wa hali ya chini kama sisi hivyo sina budi kufurahia hiyo siku ambayo nitapata ajira serikalini Kukosa connection na watu wakitupambania imetufanya tuone kuwa vyeti vyetu ni vipande tu vya karatasi visivyo na thamani yoyote Just...
  7. JamiiForums Tanzania Siwezi kuandamana hata siku Moja ni ujinga

    Yaani Mimi niandamane, nipigwe risasi, nife, nizikwe, nioze eti kisa Kuna mizee ambayo yenyewe enzi zao yalikuwa yamezubaa nchi ikatafunwa sasa hivi yanasema vijana wa Gen Z andamaneni kwajili ya Tanzania? Mnaumwa nyie wazee, pambaneni na hali zenu. Kama maisha yamekuwa magumu kwenu, hamna...
  8. JamiiForums Tanzania Siku itafika ACT wazalendo itakua chama cha kwanza upinzani kuchukua madaraka na Zitto Zuberi Kabwe atakua Rais wa Nchi Hii.

    Salaam wakuu. KENGE!!"Nalipanda Jukwaa kwa bashasha.Mkononi karatasi na Bahasha.Wala sio Warsha,Ni tathmini za Maisha" Nitangulize kwa kuweka bayana Mimi sio mdau wa Siasa sana,Sina Chama wala uchawa,Urafiki na Kiongozi yoyote aifha wa upinzani wala Chama chochote. Baada ya Tathmini za Muda...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi na nyie mnagombana na ma baby zenu kila siku?

    Mbona kama wangu kazidi haipiti wiki hatujagombana japo najijua mi ndo mkorofi,lakini ananikwaza jamani hanipi mda!!!! Mda wore busy tu inawezekana jamani kuongea ni usiku tu, sasa hapa nimempigia nikakuta call waiting nime mkejeri tu msalimie baby oneni alivyonijibu.
  10. JamiiForums Tanzania Ziara ya Siku 3 tu na Mafua juu mwakani kutakuwa na Ziara Mikoa yote na Vijiji Laki Saba na Ishirini je, utaweza kwa Mafua haya ya mara kwa mara?

    Hili Swali langu hapa nawauliza hawa Marafiki zangu akina Arovera, Bila bila, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume Oky?
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkuu wa Polisi Kenya atoa siku 21 kukamilisha uchunguzi wa mauaji ya Kuare, Nairobi

    Kaimu mkuu wa polisi nchini Kenya Douglas Kanja amewahamisha maafisa wote wa kituo cha Kuare kiliko mita chache kutoka machimbo ya mawe ambako maiti zi;likutwa zimetupwa, ili kuruhusu uchunguzi huru kufanyika. "Ili kuhakikisha uchunguzi wa haki na usio na upendeleo, nimewahamisha maafisa hao...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Siku Hazigandi: Watoto wa 2005 Wanaingia Chuo Kikuu Mwaka 2024

    Matokeo ya kidato cha sita yameanza kutolewa, na hawa vijana hawana mchezo—wanapata division 1 kwa wingi! Takriban 90% ya watoto hawa wamezaliwa mwaka 2005, na sasa wanakabiliwa na changamoto mpya. Kwa heshima zote, tunawapongeza walimu na wafanyakazi wa shule ambao wamefanikisha mafanikio...
  13. JamiiForums Tanzania Tafadhali Wakatoliki Wenzangu mliokomaa katika Ukatoliki naomba huu ufafanuzi wa nani hasa anatakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu Siku za Maombi

    Kama ni kweli kutokana na Mkatoliki Mmoja kuniambia kuwa anayetakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu / Mkate wa Bwana hasa Siku za Ibada za Jumapili na nyinginezo ni yule tu ambaye Kaungama dhambi zake Siku ya Alhamisi ya Wiki husika basi nina uhakika wa 100% Dhambi ambazo GENTAMYCINE ninazo mpaka...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini amri ya kuiabudu siku ya sabato tangu enzi za Musa hadi sasa ni jumamosi lakini makanisa mengine huabudu jumapili?

    Moja ya amri kumi ni kuabudu siku ya sabato, Siku takatifu iliyotengwa na Mungu kuturuhusu KUPUMZIKA kwa kuziweka kando shughuli zetu na tunashukuru kwa kujumuika pamoja kwenye shughuli za kuabudu ikiwa ni ishara ya shukran kisha tunarudi makwetu kupumzika, Kila siku ni siku ya Mungu lakini sio...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna mdau anauliza hivi jela usiku na mchana wanahesabu kama siku 1 au 2?

  16. R

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa CHUMA usioshikamana na udongo siku za mwisho, ni ufalme wa aina Gani huu?

    Salaam, Shalom!! Imeandikwa katika siku za mwisho, kutainuka ufalme/ utawala uliofananishwa na CHUMA kilichojaribu kushikamana na udongo, lakini ilishindikana kuchanganyika na kushikamana. Kwamba, Daniel chapter 2, verse 43: Na kama vile ulivyokiona kile CHUMA kimechanganyika na udongo wa...
  17. JamiiForums Tanzania Siku niliyomwamini mke wangu

    Habari wana jukwaa. Hiki kisa kila nikikumbuka huwa nacheka sana lakini kimenifanya nimwamini sana mke wangu. Mnamo mwezi wa pili mwaka huu, ilikuwa siku ya ijumaa nikiwa nyumbani maeneo ya bustanini majira ya saa moja kasoro jioni, mke wangu alinifuata pale bustanini na kuniambia baba Prosper...
  18. JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Nitasusia Uchaguzi was TLS kama Mwabukusi asiporudishwa kwenye orodha ya Wagombea

    Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS), utakaofanyika Agosti 2, 2024, Wakili Msomi Peter Kibatala ametishia kususia Uchaguzi huo ikiwa Wakili Boniface Mwambukusi hatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea Soma; Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi...
  19. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Usiteseke kufua, jipatie washing mashine yako sasa! weekend ni siku ya kupumzika

    Mashine za kufulia za kisasa zipo karibu yako kwa bei nafuu. Ni za Kilo 4.5 - 120,000 tu Kilo 7 - 560,000 tu Bei zetu ni nafuu sana mtu yoyote anaweza ku afford Offer hii si ya kukosa kwa kipindi hiki cha sabasaba. Kwa mawasiliano zaidi tunapatikana kwa 0772835536. Karibuni sana wateja
  20. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Usiteseke kufua, jipatie washing mashine yako sasa! weekend ni siku ya kupumzika

    Mashine za kufulia za kisasa zipo karibu yako kwa bei nafuu. Ni za kilo 3 - tsh 120,000 tu Kilo 4.5 - 350,000 tu Kilo 7 - 560,000 tu Bei zetu ni nafuu sana mtu yoyote anaweza ku afford Offer hii si ya kukosa kwa kipindi hiki cha sabasaba. Kwa mawasiliano zaidi tunapatikana kwa 0772835536...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…