siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Siri ya Tarehe 8 Agosti: Je, Unajua Maadhimisho Muhimu ya Siku Hii?

    Tarehe 8 Agosti ni siku muhimu inayoadhimishwa kwa matukio tofauti duniani kote. Ingawa kila tukio lina umuhimu wake wa kipekee, yote yanashiriki lengo moja la kuhamasisha na kutoa uelewa juu ya masuala muhimu katika jamii zetu. Hebu tuangalie kwa undani zaidi matukio haya na umuhimu wake. 1...
  2. M

    Mambo mengine utayaelewa siku ukiwa muhusika, kwa sasa utaona kama vile hawajui kutumia vizuri nafasi zao

    Inawezekana kuna watu unawaona wa ajabu sana, unaona kama ungepewa uhusika wao basi ungefanikiwa ndani ya dakika moja 😊 Inawezekana ikawa kweli wapo kwenye nafasi wasizojua kuzitumia vyema au ikawa sio kama uonavyo ukiwa sio muhusika. Kuna watu wakikusimulia utaona kama vile wanakutisha hivi...
  3. Baba Levo: Diamond Platinumz alitaka apewe Milioni 300 na Yanga SC aende Siku ya Wananchi, ila Yanga SC hawana Hela na wakashindwana hapo

    Tusichoshane nendeni Wasafi FM huko mkamsikie Wenyewe. Mnajifanya mna Hela zisizo na Kazi kumbe ni Masikini tu.
  4. Leo ni siku ya marafiki duniani

    Leo ni friendship day Nani rafiki yako kindaki ndaki
  5. M

    Ibada za wakiristo mbona siku hizi zipo hivi?

    1. Utakuta baadhi ya makanisa saa 11 alfajiri yanaanza ibada kwa kutumia maspika makubwa yanayotoa sauti kubwa . kama unaishi Mitaa ya Mbabaga basi hadi Kongowe utasikia. na sio kama sauti ya mchungaji bali ni nyimbo na mziki wenye kurindima na kutikisha nyumba 2. Ukiwa kanisa lipo karibu na...
  6. Kwa kanisa la TAG linalojifia kila siku, kuna hazina chache sana zinapotea zikilia juu ya kanisa

    Hakuna ubishi heshima ya kanisa la pentecoste na hapa nikiizungumzia TAG kwasasa imepotea sana . Ile heshima ya wokovu na heshima ya Kristo ambayo kanisa hili lilibeba hapo zaman kwasasa inazidi kuporomika kwa kasi sana. SIkuwahi kuijua TAG vizuri licha ya kujiunga humu mwaka 2015 nikitokea...
  7. Matamasha ya Simba Day na siku ta wananchi yanaogopesha makocha na wachezaji wa kigeni

    Ile nyomi na shamrashamra kisaikolojia huwa inawatoa wachezaji na makocha kweny focus yao maana hudhani hizi timu ni kuuubwa na ziko serias,mwishO wa siku hukosa kujiamini. Subiri zicheze na na timu za kawaida kama Jkt ,namungi etc ndio ukweli udhihirika kuwa hakuna timu
  8. Leo ni siku ya makomwe duniani

    Leo August 3 2024 ni siku ya makomwe dunia as wazungu wanaita big forehead day. Mtagi mwana JF mwenye komwe
  9. Iwekwe siku ya kumbukumbu na kuenzi mchango wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya Kiswahili

    Katika kumbukumbu za siku ya kiswahili, sijawahi kusikia wakitajwa wasanii wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya kiswahili hasa wakati ule ambapo jamii nyingi zilikuwa Bado hazijafunguka na wengi walisthiriwa na vilugha vyao. Lakini wanamuziki wa enzi hizo kwa majitoleo na uzalendo mkubwa...
  10. SGR Dar-Moro: Abood Bus Service alikuwa akitoa basi 40 kwa siku, sasa anatoa 20 kwa siku

    Haya ndio matokeo ya SGR, imeleta machaguo zaidi kwa abiria. Sasa hata nauli Abood imeshuka kutoka 13,000 mpaka 10,000. SSH5tena
  11. M

    HATA UTOE VIPI SIKU MOJA TU UKIKOSA WATAKUONA HUNA MCHANGO WOWOTE KWAO.

    MAMABO YA KUZINGATIA KABLA HUJASAIDIA WENGINE. 1.Usitoe ukabaki huna chochote 2.Usigope kuachwa kwa sababu huna bali sema HUNA kama kweli huna. 3.Usitoe kwa lengo na wao wakupe kesho. 4.Usitake kujua wanakusemaje baada ya kuwasaidia. HATA UTOE VIPI SIKU MOJA TU UKIKOSA WATAKUONA HUNA MCHANGO...
  12. Inawezekana simba ikatangaza ticket Sold out siku 2 kabla

    Kwa mwendo WA ukataji ticket wa mashabiki wa simbasc ulivyokua na Kasi wanaeza kuuza ticket zote siku mbili kabla ya Tamasha, kwasasa bado 15% tuu wauze ticket zote, wakati kule upande wa Yangasc bado mambo magumu! Tena sanaaaa Mimi Kwanza naona kinqchowaponza zaidi yanga kuna mvutano kwa...
  13. Namshukuru Sana Mungu kwa hii Bar Jirani inayokesha siku Tatu kwa wiki, imenikuza Sana Kiroho.

    Mwalimu Yesu aliwahi kusema, Wana wa giza wanamaarifa katika Mambo Yao. Na sisi watu wa rohoni tusiwe wajinga kwenye Mambo ya rohoni. Hawa jamaa wao huwa wanaanza Kula stare he na kukesha siku Tatu mfululizo. Ijumaa, Jumamosi na Jumapili. Huwa nawafuatilia wako siriasi Sana na ratiba ya...
  14. Leo ni siku ya Urafiki Duniani. Unajivunia nini kutoka kwa Rafiki zako?

    Siku ya Kimataifa ya Urafiki huadhimishwa tarehe 30 Julai. Siku hii inaheshimu marafiki na nafasi yao muhimu katika kuboresha maisha yetu. Marafiki hufanya maisha kuwa rahisi zaidi, iwe ni wanaposafiri nasi au wanaposikiliza matatizo yetu na kutoa ushauri. Uwepo wao ni muhimu sio tu wakati...
  15. L

    Upo uwezekano mkubwa mashabiki wa Yanga wakamzomea Haji Manara siku ya Mwananchi kutokana na mapenzi yao kwa Ally Kamwe

    Haji Manara leo amejikweza sana kwenye redio yao ya unafiki na umbea mwingi akidai kuwa yeye ndio msemaji wa Yanga na mkataba wake unasema hivyo, ametamba sana na kuitisha Simba isipeleke timu tarehe 8 akidai watafanya mauaji, akaahidi kuwa endapo Simba hatofungwa chini ya bao 4 atarudi pale...
  16. S

    Iliyokua Sodoma na Gomora ndio nchi gani siku hizi?

    moja ya hadithi ya kusisimua kwa biblia ni hii ya sodoma na gomora Raia /wakazi wa hii mitaa walikua watenda dhambi wa kutupwa. mapenz ya jinsia moja /ushoga kwao ilikua sio story manake walifanya na biblia imesema wazi. unaambiwa Mungu alicheki sodoma na gomora akasema kama kuna watu 50...
  17. M

    Wavaa vitenge mmeshamazaliza kucheza na wacheza Amapiano sasa hatutaki visingizio kuwa mlikuwa na uchovu wa preseason siku ya mechi ya ngao ya hisani

    Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani. UBAYA UBWELA
  18. Njoo ujifunze kutongoza ni rahisi tu (Matokeo Siku 3 tu)

    Usijaribu kudate na Mwanamke asiye na hisia na wewe. Fanya udadisi... ndipo mtongoze kwa kumwambia hata mimi nahisia sana na wewe. Examples of Questions; Unamwanaume, Yes or no If yes, vip unalidhika nae anakufikisha kunako vizuri, is he romantic? if No, Vipi ukiwa na mimi.. ? Look at me, am...
  19. Faida nilizipata baada ya kuanza kusoma neno la Mungu ( biblia)

    Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
  20. Unakula mara ngapi kwa siku?

    Eti, Unakula chakula mara ngapi kwa siku.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…