siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siku mkeo akianza kulala na mwanaume mwingine jua kifo chako kimekaribia

    "Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume...
  2. C

    JamiiForums Tanzania SIKU UTAKAYOPATA AKILI NDIO SIKU UTAKAYOCHUKIWA NA WATU WOTE WANAONUFAIKA NA UJINGA WAKO

    Habari wakuu kuna hii kauli nilikuwa nimepita sehemu nikaisikia Hii kauli ina ujumbe mzito sana na ni ya kipekee kwa watu waliowahi kupitia hali ya kutumiwa au kudharauliwa kutokana na kutokujitambua. Inaweza kutafsiriwa hivi: "Siku utakayopata akili" – yaani, siku utakapoamka, kujua thamani...
  3. JamiiForums Tanzania Ni harufu ya kawaida au matatizo mengi siku hizi

    Wakuu nimejitahid sana kupiga mali hasa za chuo kutokana nipo kweny mradi kweny chuo kimoja dsm ila harufu nazokutana nazo ni hatari au ni kwamba ile K lazima iwe na harufu? Nipen experience yenu mlioa jmn yaan nikiichap harufu ni jau hadi nataman badilisha mashuka
  4. JamiiForums Tanzania Kutegemewa kila siku siyo jambo zuri kwenye familia

    Wakati Wizkid alipoanza kupata pesa, aliwaita kaka na dada zake wote kwenye kikao. Akawauliza kila mmoja anataka kufanya nini. Kila mmoja alitoa mpango wa biashara, naye akawapa mtaji mara mbili ya waliyoomba, kisha akawatakia kila la heri. Wizkid alijua kwamba yeye ni mtu mwenye shughuli...
  5. U

    JamiiForums Tanzania "Ukiwa na uwezo wa kumswalia mtume mara mia moja kwa siku hakuna siku utalala njaa mpaka unakwenda kaburini

    Nukuu ya Dr Sulle
  6. JamiiForums Tanzania Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

    Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgogoro wa Congo. Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa. Hakuwaacha hapo tu, kawaambia...
  7. JamiiForums Tanzania Kama unamtetea pedophile kisa tu anashiriki dini moja na wewe kwanini uumie siku ukijua mgeni wako au uncle wake wa shuleni anarubuni mtoto wako?

    Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako. Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania ya Wavivu: Ofisi za Umma leo zimefungwa kwa siku ambayo sio Public Holiday

    Kwa mujibu wa Sheria ya Nchi leo tarehe Julai 7 sio siku ya mapumziko, ni siku ya kazi kama siku zingine. Lakini ajabu ni kwamba ofisi zoooote za umma zimetiwa kufuli na watu wamepumzika kuanzia jumamosi. Yaani maafisa wamejipa tu mapumziko, kuanzia mtendaji wa kijiji mpaka Mwanasheria Mkuu na...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha: Kinachoendela Kenya kinatisha, Gen Z wapanga kuandamana kwa siku 7 mfululizo

    Hawa Gen Z wanateketeza nchi yao na hashtag yao ya #RutoMustGo
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Dunia kuzunguka jua yaongezeka, siku kadhaa kuwa fupi Julai, Agosti 2025

    Kwa miezi ya Julai na Agosti 2025, Dunia inatarajiwa kuzunguka kwa kasi zaidi, na kusababisha siku kuwa fupi kidogo. Hasa, siku tatu zinatarajiwa kuwa fupi zaidi: Julai 9, Julai 22, na Agosti 5. Katika siku hizi, urefu wa siku unaweza kupunguzwa kwa milisekondi 1.30, 1.38, na 1.51 mtawalia...
  11. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya siku ya lugha ya kiswahili duniani yafana Sweden

    MAADHIMISHO YA SIKU YA LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI YAFANA SWEDEN Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden ukishirikiana na jumuiya za Watanzania waishio nchini humo, umeandaa na kufanikisha sherehe za maadhimisho makubwa ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika tarehe...
  12. JamiiForums Tanzania Sitosahau siku niliokamatwa na polisi kisa kupunguza upwiru

    Nakumbuka ndo nilikuwa nmemaliza kidato cha nne shule fulani jijini Mwanza. Iyo siku niliwasiliana na mzee akanambia yupo road anakuja home, mzee hua unabana sana yaani akiwepo home hakuna kutoka nikushinda ndani ikabidi niondoke om nienda kupunguza upwiru mabatini jijini mwanza ilikuwa mida ya...
  13. JamiiForums Tanzania Watumishi MOI washerehekea Siku yao Maalum- 'MOI DAY 2025'

    Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameadhimisha kwa furaha na sherehe maalum siku ya 'MOI DAY 2025' , tukio linaloadhimisha mafanikio makubwa ya taasisi hiyo katika kutoa huduma bora za Kibingwa na Kibobezi za Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Watu wa nyota ya CAPRICORN ♑ - MBUZI na nyota ya AQUARIUS ♒ NDOOJumamos ni siku yenu nzuri kiroho na kimaisha na mvuto

    Watu wa nyota ya CAPRICORN ♑ - MBUZI na nyota ya AQUARIUS ♒ NDOO Jumamos ni siku yenu nzuri kiroho na kimaisha na mvuto, Vaa rangi ya jumamos ambayo NYEUSI, Pia saa 12 ahsubuhi na saa saba mchana choma mafusho ya MIATUN-SAILA ili kuongezea nyota yako nguvu. HAPPY SATAN DAY By Dr DOGOLI...
  15. JamiiForums Tanzania Mpango rahisi wa lishe ya kila siku kwa mgonjwa wa Kisukari

    Huu ni mpango bora na rahisi wa lishe kwa mgonjwa wa Kisukari( Type 2) ili kusaidia kudhibiti kiwango Cha sukari kwenye damu. ASUBUHI (SAA 12- 1) Uji wa dona au ulezi (usitie sukari, tumia maziwa kidogo ya mgando). Mayai 1-2 ya kuchemsha au maharage kiasi. Parachichi au kipande kidogo cha...
  16. JamiiForums Tanzania Mtume bora angekubali kuomba sala 3 tu kwa siku, kusimamisha swala 5 kwa siku ni mtihani mzito kwa waumini.

    Katika hadithi ya jinsi waumuni walivyopatiwa kuswali sala 5 kwa siku inasemwa kwamba mtume akiwa katika safari yake mbinguni alipokutana na Allah alianza kwa kupewa sala 50 kwa siku, mtume aliposhuka mbingu inayofuata akakutana na mtume Musa akamwambia kwa jinsi anavyowafahamu binadamu hizo...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Zimebaki Siku 3 Upigwe Penalty Kwa Kuchelewa Ku File Taxes

    Kama wewe hua una file taxes zako mwanzo wa mwezi, nipo hapa kukukumbusha kua mwisho wa ku file taxes ni tarehe 5 July. Ukichelewa, utapigwa penalty ya Tsh. 100,000 kwa business na Tsh. 300,000 kwa Kampuni. Kodi zinazotakiwa kua filed mwezi huu ni hizi; 1. PAYEE na 2. SDL Kama unahitaji...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali yaamriwa kufanya maamuzi haraka kesi ya Lissu

    Serikali imeamriwa kutoa uamuzi haraka katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu. Wakati wa kutajwa kwa kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, ilisema kuna haja ya uamuzi wa haraka kufanywa kama kuna ushahidi wa kutosha kumshtaki Lissu au kama...
  19. JamiiForums Tanzania Israel imekubali masharti ya kusitisha mapigano Gaza kwa siku 60 - Trump

    srael imekubali masharti ya kusitisha mapigano Gaza kwa siku 60, Trump anasema Israel imekubali "masharti ya lazima" ili kukamilisha usitishaji vita wa siku 60 huko Gaza, Rais wa Marekani Donald Trump amesema. Wakati wa makubaliano yaliyopendekezwa, "tutafanya kazi na pande zote kumaliza...
  20. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa nyota kila siku

    IJUE ZAIDI NYOTA YA SIMBA , Angalia zaidi uhusiano wa nyota ya SIMBA na nyota zingine Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ Ifahamu Nyota ya Simba: Jasiri na Wenye Nguvu ya Uongozi Watu waliozaliwa kati ya Julai 23 hadi Agosti 22 ni Nyota ya Simba. Watu wa nyota hii wanajulikana kwa kuwa na haiba ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…