siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. TANESCO wameanza kutuandaa Kisaikolojia. Unakuja Mgao wa Umeme siku zijazo na Watu wanaanza kuingiza Nchini Majenereta

    Huu ni mwanzo... Tuanze kujiandaa na yale yajayo siku za usoni. Maji yameanza kupungua tena kwenye mabwawa. Tulicheleweshwa sana kimaendeleo. Sasa tutaweza kuifungua nchi vizuri na kurudisha uchumi uliokwama.
  2. Mifugo 200,000 kuondolewa Bonde la Ihefu ndani ya siku 10

    Kamatiya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), wameanzisha oparesheni maalumu ya kuondoa zaidi ya mifugo 200,000 iliyovamia eneo la ardhi oevu ya Bonde la Ihefu ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wilayani Mbarali. Mifugo hiyo iliyoingizwa...
  3. Septemba 15 ni Siku ya Demokrasia Duniani

    The International Day of Democracy provides an opportunity to review the state of democracy in the world. Democracy is as much a process as a goal, and only with the full participation of and support by the international community, national governing bodies, civil society and individuals, can...
  4. Unalala saa ngapi kwa siku? Ona madhara ya kutolala vizuri

    Wataalam kutoka Kituo cha Kukinga na Kudhibiti Magonjwa cha Marekani CDC wanashauri watu wazima kupata masaa 7 hadi 8 ya kulala kila siku. Wanasema ukosefu wa usingizi wa kutosha unahusishwa na hatari ya kupata magonjwa sugu ikiwemo Kisukari, Magonjwa wa Moyo na Mishipa, Unene kupita kiasi na...
  5. Kwanini vyombo vingi vya habari siku hizi vinareport sana matukio ya Mauaji na Vifo?

    Niende moja kwa moja kwenye hoja, siku za hivi karibuni kila ukiingia mitandaoni kama Instagram, YouTube, twitter, na hata hapa jamii forums, au ukiangalia channels nyingi za habari hapa Tanzania lazima ukutane na taarifa nyingi za mauaji ya kikatili au watu kujiua (suicide). Kwanini vyombo vya...
  6. Mtu mzima anatakiwa kutembea hatua 10,000 kila siku

    Kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza nchini, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janab ametoa angalizo kuwa licha ya kuharibu bajeti ya afya kila mwaka, maradhi hayo yataathiri uchumi wa familia na nguvukazi ya Taifa. Profesa Janab ametoa...
  7. 'Gynaecologists' mlioko hapa JamiiForums hili tatizo la 'Tamu' nyingi Siku hizi Kutema sana inatokana na nini?

    Na hili tatizo la Tamu nyingi Kutema limeanza hasa hasa miaka hii ya karibuni ila Tamu za miaka ya kuanzia 1999 kurudi nyuma ilikuwa ni Nadra kuzikita "zikitema' ila za kuanzia miaka ya 2000 hata kabla hujazila tayari zinakukaribisha kwa 'Kutema' Kwake. Hebu tusaidieni tafadhali ili litatulike.
  8. Huu 'mzuka' mpya wa Ukraine unasababisha Mrusi apoteze battalion moja kila siku

    Kwa siku chache ambapo Ukraine wametiririka kama waliopagawa, wamefaulu kuteka vifaru 1,200 vya Urusi, hiyo ni pamoja na zana zingine ikiwemo magari ya kivita. Warusi wanatoka nduki na kuviacha huku Ukraine wakiendelea kufukuzia. Vijana wa Ukraine wameamua kujitoa mhanga, wanavamia kwa kifua...
  9. Mapiramidi ya Misri yalijengwa kabla au baada ya mafuriko ya siku za Noah?

    Eti wakuu. Yale mapiramidi ya kwanza kujengwa huko Misri. Yalijengwa kabla au baada ya mafuriko ya siku za Nuhu?
  10. Magufuli: Spika (Ndugai) wadhibiti wanaoropoka Bungeni, wakija mtaani tuta-deal nao! Nafuu wakalale wanyamaze...

    Kama rais anatoa agizo kwa Spika tena muhimili mwingine kuwa awafukuze huko bungeni kwenye kinga ila waje mtaani ili wakisema ata deal nao kwa namna anayoona inafaa hii inamaanisha nini? Kudeal nao kivipi? 1. Bila shaka kutumia polisi kwa kuwakamata na kuwafungulia kesi zikiwemo uchochezi na...
  11. M

    Unadhani siku 5 za Maombolezo Tanzania kwa kifo cha Malkia Uingereza zinatokana na nini hasa kati ya haya?

    1. Umbumbu 2. Ushamba 3. Uwoga wa Kunyimwa Misaada 4. Kujipendekeza ili ukiwa na Shida usaidiwe 5. Unafiki 6. Kuendelea Kuukumbatia Ukoloni 7. Kutafuta Sifa za Kipuuzi Najiandaa sasa kusoma maoni yenu enyi Great Thinkers wa JamiiForums ambao nawakubali mno kwa usomi, uchakataji wa masuala na...
  12. Afrika Mashariki kila siku vikao, wenzenu Namibia na Botswana wameruka, sasa ni vitambulisho siyo pasipoti!

    Nchi wanachama wa Afrika mashariki zikiwa ni tatu Kenya, Uganda na Tanzania zimekuwa zikijikongoja kuuganya muungano kuwa mwepesi kwa raia wake hata kwa muingiliano siyo issue ya kazi but mpaka leo tukiwa na utitiri wa nchi ndiyo balaa linaongezeka. Seŕikali za Namibia na Botswana zimekubali...
  13. Siku isiyokuwa na Biashara wala Urafiki

    Ningependa Leo nizungumzie maswala ya kiroho na walengwa ambao Nataka niwakumbushe neno la Mungu ni Wale wanao mwamini Mwenyezi Mungu. Kama wewe humwamini Mwenyezi Mungu au unaamini Mungu hayupo basi huu Uzi haukufai. Mwenyezi Mungu anasema katika Kitabu chake katika Suratul Ibrahim Aya ya 31...
  14. Serikali yaagiza zile nyumba ambazo ukuta umepita mbele ya geti, moja ivunjwe ndani ya siku 7

    Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, Juma Makungu Juma, ametoa muda wa siku saba, ili kuvunjwa kwa nyumba iliopo Fuoni Migombani, kwa madai msimamizi wa nyumba hiyo, Hafidh Ahmed Mohammed, amejenga kinyume na utaratibu wa kisheria za mipango miji na vijiji. Ametoa agizo hilo baada ya...
  15. Ndani ya siku 30, Fuso zimehusika kwenye ajali tatu

    Nilikua natafakari hapa. Sijajua kama haya malori (Fuso) ndio yenye shida au Kuna tatizo lingine. Yaani ajali tatu ambazo zimeripotiwa kwa kipindi kisichozidi siku 3, Fuso zimehusika. Ya kwanza ni Ile ya Mkata iliyohusisha Fuso na Coaster iliyokua imebeba mashabiki wa Yanga. Ya pili...
  16. Mzungu hana rafiki, kapindua meza Kenya ipo siku atapindua meza Tanzania!

    Hakuna mtu alikuwa karibu na mzungu kama Raila, hakuna aliyekuwa ana ushawishi mbele ya mzungu hapa Afrika kama Raila mpaka hata walisema Obama ni cousin yake, lakini siku imefika na mzungu kapindua meza na Raila hatakiwi tena. Najua mtasema Ruto kashinda kidemokrasia lakini ukweli ni kwamba...
  17. Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

    Kesho September 7 ni iphone keynote event ambapo inatarajiwa iphone 14, 14 max na max pro zitazinduliwa rasmi. Inaaminika kutakuwa na major upgrade kwenye upande wa camera na video itaweza kurecord hadi 8k. Pia inasemekana kutakuwa hakuna sim cards slot na badala yake ni esim.
  18. T

    Gazeti la Raia Mwema siku hizi linaandika habari kishabiki sijui limepatwa na nini?

    Kama kichwa ha habari kinavyojieleza hapo juu, gazeti hili la raia mwema lilijengea umashuhuri kwa kuandika habari nzitonzito zilizofanyiwa uchunguzi wa kina, na hivyo likaaminiwa sana na umma wa watanzania. Ila kwa sasa hali ni tofauti sana. Limekuwa likiandika habari kishabiki na kwenda...
  19. Kama Makamba atatenda anayoyazungumza kuhusu umeme ni jambo la muda, tutarajie umeme bora siku za mbeleni

    Nianze kwakusema mimi ni muhanga wa huu umeme wa Tanzania kwani nilishawahi kupata hasara ya mamilioni mara kwa mara kwasababu ya low voltage. Mimi ni mjasiliamali mwenye kiwanda kidogo hivyo kutokana na umeme kuwa mdogo ilikua inalazimu kuwasha machine mojamoja kwani mbili kwa wakati mmoja...
  20. Kesi ya Uchaguzi Kenya siku 14, ya kina Mdee siku zaidi ya 400!

    Ukiangalia ukubwa wa uchaguzi wa Kenya na hoja zilizowasilishwa kwenye Mahakama ya Kenya. Bila ya shaka utagundua kwamba mahakama ya Kenya ina utendaji kazi uliotukuka kuliko mahakama yetu Tanzania. Kwenye mahakama ya Tanzania kuna kesi ya kina Halima Mdee na wenzake, ambayo kwa zaidi ya mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…