Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Dunianiyaliyofanyika Kitaifa katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Dodoma tarehe 05 Juni 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa kwa wadau wote wa mazingira kuendeleza mambo yoteyaliyofanyika katika maadhimisho ya mazingira ikiwa ni pamoja na upandaji miti nauanzishwaji wa bustani za kijani.
Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati wa...
Katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 5 mwezi Juni, Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetembelea na kutoa misaada ya kulinda mazingira katika Hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kukabidhi misaada hiyo...
Maadhimisho ya Siku hii hufanyika kila Juni 05, na kwa mwaka 2023 yanaangazia zaidi Uchafu wa Mazingira unaotokana na Taka za Plastiki, na jinsi ya kukabiliana nao
Zaidi ya Tani Milioni 400 za Plastiki zinatengenezwa Duniani kila mwaka. Inakadiriwa kuwa, Tani Milioni 19 hadi 23 huishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.