siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia endelelea kuwatumikia Watanzania kwa uaminifu, pia Katiba Mpya ni muhimu sana

    Watanzania wenzangu habarini. Mama Samia shikamoo, pia nakusalimu Kwa jina la JMT. Mama, Umeruhusu mikutano ya hadhara kuendelea ni jambo kubwa.Unaendelea kuwafariji watanzania Kwa Kila jambo mfano mafuriko mbeya ni jambo jema. Umeruhusu ukosoaji, uhuru wa vyombo vya habari ni jambo jema...
  2. JamiiForums Tanzania Mkitaka kujibizana na CHADEMA someni sana. CHADEMA ni weupe, wazushi na hawezi siasa za hoja na ukweli

    Mdude Chadema @mdudechadematz Juu ni sehemu ya wanafunzi 484 wa shule ya msingi Butibu iliyopo Ushetu Kahama Shinyanga wakisoma chini ya mti kwa ukosefu wa madarasa. Chini ni moja ya magari yaliyonunuliwa kwa ajili ya wakuu wa mikoa nchi nzima.Gari moja thamani yake ni milion 500 sawa na idadi...
  3. JamiiForums Tanzania Siasa za majukwaa awamu hii ya Rais Hassan itakuwa ni vioja

    "Political manipulation with protection and defence" Chadema iliyolamba asali, ACT iliyolamba asali, NCCR na CUF za Msajili, na vyama vingine mdebwedo, jiandaeni kwa vichekesho. Mimi sio mtabiri ila hali ndio itakuwa hivyo, hii inaitwa awamu mpito na awamu mseto. Tanganyika haina furaha na...
  4. JamiiForums Tanzania Je ,Umewahi kufuatwa na kuombwa ugombee uongozi wa Kikundi au katika chama Cha Siasa. Tueleze ilikuwaje? Ulikubali/ ulikataa?

    Huu ni Uzi wa kubadilishana uzoefu katika maisha. Tuambie kama iliwahi kutokea ukafuatwa na kuombwa ugombee nafasi flani. Mimi binafsi niliwahi kufuatwa na chama flan Cha siasa mpaka nyumbani, jamaa walikuja na wakaniomba nichukue fomu ya kugombea udiwani katika eneo ninaloishi. Lakini...
  5. JamiiForums Tanzania SOFTWARE Tunatengeneza na kudesign logo/website pamoja na android application

    Je? Unamiliki biashara ya aina yoyote na ulikuwa unahitaji kufikia wateja wengi,kujitangaza pia kuuza bidhaa zako kupitia njia ya kidigitali. Wasiliana nasi Leo tutakutengenezea website kwa gharama nafuu ya Tsh; 170,000/tu. Gharama zinajumuisha; Free .co.tz domain/year Free hosting for 6...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi ni sababu tatu kubwa CCM itaongoza milele

    Ni kweli lengo kubwa la chama chochote cha siasa duniani ni kushika dola. Ukweli mchungu kwenye hili ni kwamba kwa hapa kwetu Tanzania, bado sikioni hata chama kimoja kati ya vyama vyote 18 ukitoka CCM, ambacho kina msuli wa kuongoza dola. Zipo sababu kadhaa ambazo kwa maoni yangu, naziona kama...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Muda wa siasa za uhasama umekwisha

    Leo, Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki kilele cha matembezi maalum ya UVCCM ya kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar ambapo katika sehemu ya hotuba yake amewasisitiza vijana wa UVCCM kuachana na siasa za kuchokozana na ugomvi na hata ikitokea watakosolewa basi wajibu kwa hoja. "Zama za...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo amvaa Lema, amtaka alipe madeni yake kwanza

    Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh Mrisho Gambo a.k.a kiboko ya mafisadi, anampongeza Rais Samia kuruhusu mikutano ya hadhara kwani sasa wanaume watapimwa jukwaani na si kwa mbeleko tena. Bwana Gambo amemtumia salamu Godbless Lema kwamba kabla ya kuliota jimbo la Arusha mjini ahakikishe amelipa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa watano ambao waliipenda siasa ikawanufaisha lakini ikawadhalilisha kuwaondolea utu wao hapa nchini kwa miaka ya karibuni hawa hapa

    1. Job Ndugai; alipata madaraka makubwa na katika maeneo yote aliyowahi kuongoza hakuna eneo alifanikiwa kupewa sifa Bali siasa ilimfedgeesha. Kwa SASA amezeeka lakini uzee wake umeambatana na fedhea kubwa Sana yakuondolewa uspika kabla ya kumaliza muda wake. Mdomo uleule uliompa nafasi ndio...
  10. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wanasiasa wanaofanya siasa za matusi, na kashfa zilizosababisha mikutano ya hadhara ya kisiasa kuzuiwa

    Taarifa zilizotoka za kuruhusu mikutano ya hadhara ya kisiasa hapo majuzi zinadai kuwa mikutano hiyo ilizuiwa baada ya baadhi ya wanasiasa kufanya mikutano hiyo kuwa pango la matusi,kashfa na uchochezi. Hebu kwa uchache tukaone haadhi ya video za wanasiasa hao
  11. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia, lakini siasa siyo uadui

    Hongera mh. Rais Samia kwa mtazamo na maono yako kuzingatia misingi na falsafa za maridhiano. Safari hii ni ndefu sana ambayo bado naviona visiki kwenye msamaha wa mikutano ya hadhara ambayo ilizuiwa kwa upande mmoja ili kudhoofisha upande wa pili. Nakupongeza kwa kuwa umezingatia misingi...
  12. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na Mbowe wanaharibu maisha ya watanzania kwa kutanguliza matumbo yao na kufanya siasa za kihuni

    Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti. Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa. Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu? Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo...
  13. JamiiForums Tanzania Kiongozi yoyote wa chama cha siasa akikaa madarakani zaidi ya miaka 20 bila kuleta mafanikio hafai, anajaza tumbo lake

    ~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi. ~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola. ~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde. Hufai kuwa kiongozi.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Wanasiasa: Kati ya Shetani na Binadamu nani ni baba wa Uongo?

    Inadaiwa Shetani alimdanganya Eva pale katika bustani ya Eden, alimdanganya nini? Ni nani aliyemuambia Adam kwamba yu uchi baada ya kula tunda alilokatazwa na Mungu asile? Yawezekana shetani anasingiziwa mengi. Maoni na Majawabu tafadhali!
  15. JamiiForums Tanzania Hili ni moja ya tatizo kubwa kwa vijana wanaojihusisha na siasa nchini

    Huwa nafuatilia sana, kusoma na kufuatilia mijadala na hoja nyingi zitolewazo na vijana wa vyama mbalimbali vya siasa nchini. Nimeona shida kubwa sana kwa vijana wetu ambao wengi wanaonekana dhahiri wanatamani kuwa na madaraka au nafasi kubwa ndani ya serikali. Shida iliyopo ni kwamba vijana...
  16. JamiiForums Tanzania Magufuli: Mikutano ya siasa haijazuiwa

    Magufuli: Mikutano ya siasa haijazuiwa Jumatano, Januari 23, 2019 — updated on Februari 15, 2021 Rais John Magufuli amesema hakuna kiongozi aliyezuiliwa kufanya mikutano ndani ya jimbo lake bali wanapaswa kuzingatia taratibu za kupata vibali Dar es Salaam. Rais John Magufuli amesema hakuna...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya siasa wamebana, wameachia

    Safari kuelekea ukombozi kamili haijawahi kuwa rahisi. Waliozuia mikutano ya hadhara kwa sababu zile ni hawa hawa walioiruhusu leo kwa sababu hizi. Hivi kwa kumchuuza nani vile? Kwamba tuwapongeze sasa kwa lipi kwenye kuamua kuanza kuiheshimu katiba? Nani asiyejua walijua nini yalikuwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tujiulize, Rais anavyosema Utamaduni wetu kwenye siasa ni upi hasa?

    Rais anavyosema mikutano ya siasa ifanyike kwa kuzingatia utamaduni wetu. Tanzania haina utamaduni mmoja kama nchi nyingi za Asia. Tanzania kuna tamaduni nyingi sana kuna makabila ambayo wanajifunika mpaka uso lakini makabila mengine wana kaa nusu uchi! sasa utamaduni wa Tanzania ni upi. Kama...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi: Wapinzani Tanzania wajivue gamba siasa wanazofanya haziakisi utashi wao kutatua matatizo yaliyopo

    Akizungumza jioni hii kupitia kipindi cha BBC kinachotathimini mwekekeo wa mambo katika mwaka tuanaouanza, mchambuzi huyo amesema kwa upande wa Tanzania wapinzani wanatakiwa wajifungie na kujivua gamba. Amesema vyama vya upinzani vinapaswa kujitazama upya namna vinavyofanya siasa na hali ya...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kukutana na Vyama vya Siasa Januari 3, 2022

    Kauli ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu juu ya vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara aliyoitoa Desemba 2021. Januari 3, 2023 atazungumza na viongozi vya vyama vya siasa juu ya hali na mwelekeo wa hali ya kisiasa nchini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…