siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. L

    JamiiForums Tanzania TANZANIA: Siasa, Uongozi na Utawala

    Hiki ni kitabu kinachohusu Historia ya Tanzania: Siasa, Uongozi na Utawala. Hiki sio kitabu cha kukosa, kina madini ya kutosha. Kwa watakaohitaji wawasiliane na mwandishi kwa namba 0686396946 na utatumiwa popote ulipo.
  2. JamiiForums Tanzania Mfumo wa siasa za upambe na kujipendekeza utaendelea kuitafuna CCM

    Mtindo huu utaitafuna sana CCM na kuna baadhi ya mambo wanayajutia kuyakubali kwa upambe lakini ndiyo hali waliyo iruhusu wenyewe CCM ya sasa ukiweza ku mobulise wajumbe kwa namna yeyote ya kuwafurahisha basi unaweza kuwa rais hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi
  3. JamiiForums Tanzania CCM iache Siasa nyepesi za kubebana na Wasanii kutafuta Justification ya Umati mkubwa, LITERACY RATE Kwa watanzania wa Leo ni Kubwa, hawadanganyiki !

    Mbinu zilezile za miaka ya 1960 ,ndizo zinazotumika hata Leo . 🤣
  4. K

    JamiiForums Tanzania Vyanzo vya Udumavu wa Siasa Nchini

    BAADHI YA VIONGOZI WASHIRIKINA WENYE MACHO YA KICHAWI NDIYO VYANZO VYA UDUMAVU WA UTAWALA BORA NCHINI . Nakumbuka Tarehe 02/01/2025 Askofu Mkuu Jimbo katoliki la Dar es salaam Baba Mhashamu Thadeus Ruwa'ichi Alisema Ni lazima tuelewe ( Yesu aliposema) kukaa katika nyumba ya Baba ni kitu gani...
  5. JamiiForums Tanzania Kama 4R za Samia,Zimeweza Kutanzua Mtanziko Siasa za Bara,Kwanini Zisitumike ZnZ, Kutibu Makovu ya Mapinduzi,Uchaguzi wa 2025,Mshindi Halali Apewe?

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi,TAAMULI HURU: 4R zitumike kuponya makovu ya Mapinduzi ya Zanzibar Jumapili ya Tarehe 12 January 2025, imedondokea siku ile ile ya Mapinduzi ya Zanzibar, yaliyotokea Jumapili ya Januari 12, 1964. Tanzania imeadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi...
  6. JamiiForums Tanzania Uhasama wa kisiasa, kugawanyika na kusambaratika kwa CHADEMA kutaimarisha vyama vingine vya siasa nchini

    Ni wazi matokeo yoyote ya ushindani, minyukano na uhasama wa kisiasa baina ya viongozi wanao gombea nafasi ya uenyekiti wa Chadema Taifa, kutaidhoofisha chadema yenyewe na kuimarisha vyama vingine vya siasa nchini, ikiwa ni pamoja na chama tawala. Hakuna atakaeshinda uongozi wa chadema Taifa...
  7. JamiiForums Tanzania Hajawahi kutokea mwenyekiti wa chama cha siasa mwenye nguvu kushinda Mbowe nchi hii

    Mbowe aliwahi kuwaleta CHADEMA wakina Lowasa, Sumaye, Membe, na hawa wote walikuja chadema wakijua kabisa watamuita mbowe bosi 😂😂. Mbowe oyeee ,(Magufuli). Pamoja na yote mazuri ya Mbowe ila mbowe muda umefika aachie chama kwa Lissu.
  8. JamiiForums Tanzania Unamshauri Tundu Lissu ajiunge na chama gani ikiwa atashindwa uenyekiti Taifa CHADEMA?

    Kwasababu ni wazi, mpaka sasa matumaini hakuna tena, Tundu Lisu amekata tamaa kabisa. Nguvu ya kisiasa, uwezo wa kiuchmi na ushawishi wa hoja wa chairman mbowe kwa wajumbe hauzuiliki kabisaa wala hayupo wa kudhoofisha. Na kumbuka, Tundu Lisu mpaka kuamua kugombea uenyekiti na kuacha umakamu...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Tundu Lissu zinadhihirisha usomi wake. Kamuibua Amilcar Cabral. Wenyeviti wangapi wa vyama vya siasa wanamjua?

    Kinachomtofautisha Tundu Lissu wanasiasa wengi hapa Tanzania ni usomi wake. Jenerali Ulimwengu hakukosea aliposema kwamba kila anapozungumza Lissu yeye humsikiliza kwa makini sana. Mara nyingi katika mazungumzo yake Tundu Lissu lazima atatoa neno au somo jipya kwa wasikilizaji wake. Msikilize...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Waafrika Tuna Akili ya Kutumia Utajiri Wetu?

    Kwa karne nyingi, Afrika imekuwa ikijulikana kama bara tajiri kwa rasilimali zake za asili. Tunapenda kujigamba kuwa tuna dhahabu, almasi, mafuta, gesi, ardhi yenye rutuba, na madini adimu. Lakini ukitazama takwimu za rasilimali duniani, hali ni tofauti. Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Italia, na...
  11. JamiiForums Tanzania Dk. Wilbroad Slaa ni mwanachama wa chama gani cha siasa Tanzania?

    Anaaminika kwa lipi hasa hata apewe taarifa na kujulishwa mambo kadha wa kadha ya kitaifa na watu anaowaita wana usalama juu ya kinachoendelea nchini? Ana umuhimu gani au ana ushawishi kwenye lipi hasa humu nchini hasa ukilinganisha historia ya maisha yake ya kifamilia na siasa ilivyogubikwa na...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wadau washangazwa na Kitendo cha Mkutano Mkuu wa CCM kupuuzwa, huku wa Chadema ukiwa Gumzo

    Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema...
  13. JamiiForums Tanzania PICHA: Kazi ya Padre au Askofu ni kupatanisha sio katika siasa tu hata kwenye ndoa. Wanaoshangaa Dkt Kitima kuwapatanisha CHADEMA hao si wakatoliki

    === Kwanza, Nataka nyie msio wakatoliki mfahamu kuwa Mapadre na maaskofu wa Katoliki sio ngurumbili kama baadhi ya Viongozi wetu wengine wa dini hapa nchini. Mapadre na maaskofu wa kikatoliki ni watu wasomi na wabobevu wakubwa katika maswala mbalimbali ya Kijamii kama siasa, Uchumi, Elimu etc...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Athari za TAL kwa siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2025.

    Lissu akimaliza mchakato wa uchaguzi wa ndani wa Chadema, kuna uwezekano mkubwa kwamba atahamishia mapambano yake kwenye serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Hii ni kutokana na historia yake ya kisiasa na mbinu zake za kukabiliana na changamoto zinazohusiana na utawala. Hivyo, ni muhimu kwa...
  15. JamiiForums Tanzania SIASA

    DAR ES SALAAM; MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesema ana sifa na uwezo wa kuongoza nafasi ya uenyekiti kwa weledi. - Lissu amesema kutokana na weledi wake kwenye uongozi, ndio maana Chadema ilimuona anafaa kugombea Urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti Mbowe, sisi wananchi hatutaki tena siasa za Ki UNCLE TOM tunataka siasa za kuwapelekea CCM moto. Huelewi wapi?

    Ndugu Freeman Aikael Mbowe nakusabahi. Nakuandikia huu waraka huu ili ujue sisi wananchi huku kitaa tunataka nini. nifuatilie kwa makini. 1. Mosi umefanya blunders nyingi ila chama kilikulinda kwa mfano. *Ulipomleta Lowasa CHADEMA wakati ukijua chama kilikuwa na msimamo thabiti dhidi yake...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa responses kutoka kwa wasomaji kuhus Lissu kusema sasa ni siasa za mshike mshike, siyo maridhiano tena

    Lissu: "Hakuna kuimbiana maridhiano yasiyokuwepo, hakuna tena habari ya kualikana kwenye vikao vya kuzungumza mambo yasiyojulikana. Bali ni muda wa mapambano ya kudai mabadiliko ya kimsingi ya nchi yetu na zinatakuwa siasa za mshike mshike kweli kweli" Tundu Lisu , Makamu Mwenyekiti Bara wa...
  18. JamiiForums Tanzania Ndani ya Unabii 2025, Siasa, Tanzania, Afrika Mashariki na Dunia nzima

    Heri ya mwaka mpya! Mnapongezwa tena kwa kazi yenu njema ya kufahamisha na kuelimisha kote duniani. Ujumbe unaofuata (umewasilishwa kama shairi lenye unabii wa mambo yanayoenda kutokea 2025). Ujumbe unaweza kuchapishwa n.k. Shukrani. NDANI YA ROHO WA UNABII 2025! Kenya +254729011324, Tanzania...
  19. JamiiForums Tanzania Uchaguzi CHADEMA na kutawala siasa za Tanzania

    Bila kujali nani atashinda ama kushindwa na nini kitatokea baada ya uchaguzi, nimeona ukubwa wa CDM katika siasa za Tz. Uchaguzi wa Mwenyekiti CDM Taifa umetawala siasa za Tanzania kwa wiki kadhaa. Hakuna Chama tawala wala vyama vingine vya upinzani ambavyo vina-trend kwa sasa. Hili ni jambo...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi vyama vya siasa vinawajibika kutoa taarifa ya mapato na matumizi kwa umma? Vinakaguliwa na CAG?

    Ukizingatia kuwa vinapewa ruzuku ambayo ni pesa ya umma. Je vinawajibika kuujulisha umma kuhusu mapato na matumizi? Vinakaguliwa na CAG?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…