siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kushabikia siasa za upinzani Tanzania yakupasa uwe na moyo kama wa Mwendawazimu

    Mosi, hakuna Tume huru ya uchaguzi Pili, uchaguzi wa madiwani unasimamiwa na makada wa CCM Tatu, matumizi ya ruzuku kwa vyama vya upinzani hayaeleweki Nne, vyama vya upinzani havifanyi uchaguzi wa viongozi wao mfano Wenyeviti ni kama wa kudumu. Tano, ukiwa mbunge ni lazima kuchangia fedha za...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Wizara ya elimu inafanya majaribio hatari kwa elimu ya watoto wetu?

    Mwaka 2016 kulitolewa sera na muongozo mpya wa elimu ya msingi. Mitaala ikabadilishwa na kutolewa maelezo kwamba elumu ya msingi itaishia darasa la 6 badala ya darasa la 7 kama zamani. Wazazi, wanafunzi na shule wote wakajiandaa na jambo hilo ikiwemo kuhusu plani ya bajeti namna watakavyo...
  3. JamiiForums Tanzania Is Tanzania discarding Nyerere’s freedom-fighting legacy?

    Tanzania Palestine: Former Palestinian leader Yasser Arafat with Tanzania’s former President Julius Nyerere. Tanzania’s stance on Palestine suggests its history of fighting global injustice could be making way for a more pragmatic “economic diplomacy”. In November 2018, representatives of...
  4. JamiiForums Tanzania Fikra za Katuni, Siasa za Siasa nchini!

    Fikiria nje ya Box na Wachora Vibonzo Mbalimbali.
  5. JamiiForums Tanzania Utapeli mpya Tanzania

    Unaijua biashara ya mtandao? Hii ni siri nzito usiyoijua Biashara ya mtandao – hii ni biashara tofauti na watu kama Facebook, Zoom, matangazo ya kulipia au tovuti na barua pepe. Biashara hii au mfumo huu ambao unaitwa ujasiriamali, mara nyingi si halisi kama watu wanavyouuza mtaani. Watu wengi...
  6. JamiiForums Tanzania Zero IQ mtayarishaji wa JF-HardTalk umepotea nini tatizo?

    Ndugu Zero IQ mratibu, muandaaji na mtayarishaji wa JF Hardtalk umepotea ni muda sasa nini tatizo?! Uhitaji wa hardtalk ungali upo kwa sababu ilianza kusaidia kuwatambua wana-JF uwezo, mitazamo na maono yao kwa uwazi mkubwa. Ndugu Zero IQ kama ulisitisha muendelezo wa hardtalk tafadhari anza...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania ipo kwenye balehe...

    Nchi yaweza kuchukuliwa kama kiumbe ambacho kina baathi ya sifa ambazo mwanadamu anazo na sifa ambazo haiwezi kuzipata kutokana limitation ya kwamba nchi inaexist katika mind construct ( shared belief) kwamba watu ambao wapo ndani ya mipaka ambayo inaweza kuwa physical au imaginary line drawn...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Nasema "alitaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua. Niungane na Watanzania wenzangu kumuombea Tundu Lissu dua/sala ili apone kikamilifu, Amin. Nimejiuliza maswali mengi kuhusu shambulio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…