siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanawake kushiriki kwenye nafasi za uongozi ni chachu ya wengine kufuata nyayo

    Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Tanzania inaongoza katika kuimarisha ushiriki wa wanawake kwenye uongozi. Wanawake wanaochukua nafasi za uongozi wanatoa mfano bora kwa wenzao, wakionesha kuwa uongozi si wa wanaume pekee, bali ni haki ya kila mtu mwenye uwezo na dhamira ya kuleta mabadiliko...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Watanzania wezangu tusilambishwe sukari na wanasiasa, bali tuzipime hoja zao kama kweli zitaleta chachu ya maendeleo

    Nchi kwetu Tanzania katika kipindi hichi cha miaka hii 2, taifa litakuwa bize kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao utafanyika November 27, 2024. Na uchaguzi mkuu ambao utafanyika 2025. Katika kipindi hiki wanasiasa wameshaanda sukari zao za hoja kuja kudanganya au kusema ukweli wakati...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Juma Usonge asambaza vyakula kwa wanafunzi wa kambi watahiniwa wa kidato cha pili Jimbo la Chaani

    Mbunge wa jimbo la Chaani Mhe, Juma Usonge ameendelea na utoaji wa vyakula kwa wanafunzi wa watahiniwa wa kidato cha pili skuli za Sekondari Jimbo la Chaani wilaya ya kaskazin A Unguja. Usonge amesema ikiwa yeye ni kiongozi wa jimbo hilo na mdau mkubwa wa elimu amesema utoaji wa sadaka iyo...
  4. JamiiForums Tanzania Tunajenga nyumba moja, Tusigombanie Fito

    Kinachoendelea nchini kwa wiki kadhaa saaa ni baada ya baadhi ya watu kudaiwa kutekwa , kutoonekana mahali waliko huku mtu mjumbe wa sekreteriet ya CHADEMA kukutwa amauawa . Watu kutekwa,kuteswa,kujeruhiwa si kitu ambacho kimo katika nasabu za utamaduni wa Taifa la Tanzania. Hata hivyo...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika aeleza mikakati ya CHADEMA kukabiliana na Orodha Haramu ya Wapiga Kura Wasiokuwa Halali

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameeleza kuwa chama hicho kimejipanga vema kukabiliana na kile alichokieleza kama dhamira ovu ya kuhamisha orodha haramu ya wapiga kura wasiokuwa halisi. Mnyika amedai kuwa mbinu hii inatekelezwa kupitia mtandao wa...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzazi/Mlezi, Ungependa Binti yako awe Mwanasiasa?

    “Wazazi na walezi, je, mnaona umuhimu wa mabinti wenu kujihusisha na siasa? Je, mko tayari kuwaunga mkono katika safari hiyo ya uongozi na mabadiliko? Tushirikiane mawazo!
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Ado Shaibu: ACT Wazalendo, CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani tuungane kuing'oa CCM madarakani

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu ametoa rai kwa CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani nchini kuungana kupigania mazingira ya kidemokrasia ikiwemo Katiba mpya, Tume Huru ya Uchaguzi, mageuzi ya Jeshi la Polisi na uhuru wa vyama vya siasa kufanya shughuli zake, ambapo amesema kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Iringa: Polisi yakana madai ya kada wa CHADEMA, Vitus Nkuna kushambuliwa na wasiojulikana barabarani, yasema alisababisha ajali kutokana na ulevi

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemkamata kada wa Chadema, Vitus Nkuna kwa kusababisha ajali mnamo Septemba 30, 2024. Kamanda wa Polisi, SACP Allan Bukumbi, ameeleza kuwa Nkuna alikuwa anaendesha gari akiwa na kiwango kikubwa cha ulevi, hali iliyosababisha kugonga gari la kampuni ya KINGS. Hata...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dotto Biteko: Watanzania tufanye kazi, siasa haitaleta mkate mezani

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amewataka Watanzania kuepuka vitendo vya kuwagawa, na badala yake waungane kwa lengo la kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Biteko ametoa wito huo wakati akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Kibondo, mkoani Kigoma, akisisitiza...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Picha hii inatoa unabii wa siku zijazo za uongozi wa Tanzania ikionesha ni wapi watakapokuwa viongozi wakuu wa CHADEMA wakilinganishwa na wale wa CCM

    Hii picha ina takribani miaka 10 hivi na ni picha ya kinabii. Inaongea kimya kimya ni wapi viongozi wakuu wa CCM; Samia na Nchimbi watakapokuwa wakilinganishwa na viongozi wakuu wa CHADEMA Mbowe na Lissu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuna nyakati tunao wasifu hawana msaada na sisi

    Maandiko yatuongoze Kuna nyakati tunao wasifu hawana msaada na sisi. Ni Bora kutumia muda wetu kusoma na kuelewa mifumo ya chama ili tuwe na uwezo wa kusema na kuhoji. Tusiposoma tukasifu sifu tu tutaendelea kuumia huku wenzetu wakila Bata na kuandaa maisha ya vizazi vyao vya kesho kwa kutumia...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi Jeshi la Polisi linatumia kisingizio Cha intelelejinsia kuminya haki ya kufanya siasa Kwa chama Cha CHADEMA?

    Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni haki ya msingi Kwa chama chochote Cha siasa kufanya maandamano ya amani Ili kufikisha ujumbe muhimu Kwa serikali inayotuongoza. Hata hivyo haki hiyo imekuwa ikiminywa na watawala Kwa kulitumia Jeshi la Polisi, Kwa kisingizio tu Cha...
  13. JamiiForums Tanzania Hawa watu watu wakija kukutana watagombana sana maana kila mmoja ana mitazamo inayotofautiana

    Wakikutana watagombana sana maana kila mmoja ana mitazamo inayotofautiana sana. 1. Hamfrey Polepole wa katiba mpya na Hamfrey Polepole wa Magufuli. 2. Peter Msigwa wa CCM na Peter Msigwa wa CHADEMA. 3. Wilbrod Slaa wa Rais Magufuli na Wilbrod Slaa wa Rais Samia 4. Juma Nkamia wa kipindi cha...
  14. JamiiForums Tanzania Morogoro: Mtendaji wa Kijiji akiwasha, ataka kuzuia mkutano wa ACT Wazalendo kwa madai hakuwa na barua kutoka OCD

    Tukio hili limetokea wakati Mtendaji wa Kijiji cha Tuninguo, kata ya Mvuha, alipozuia Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, asiwakaribishe wananchi katika ziara yake. Mtendaji alijitetea kwa kusema kwamba hakuwa na barua kutoka kwa Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD), akizuia pia...
  15. JamiiForums Tanzania Dunia ilivyojaa unafiki wanaojifanya wanamsapoti Tundu Lissu na kumdhihaki anapowaita kwenye maandamano!

    Pindi anapojitokeza lissu kutoa tamko flani utawaona watu wengi wanajitokeza kujifanya wapo pamoja nae, lakini Lissu anapowaita wamuunge mkono kwenye jambo mfano ni 23/9/2024. Kila mmoja bila haya wala soni wanamkatalia kweupe kwa kutokuitika wito kuonyesha jinsi walivyo wanafiki hakuna hata...
  16. JamiiForums Tanzania Alivyokamtwa Lema kwenye ndege ni sawa tu alivyochukuliwa mzee Ali Kibao kwenye basi

    Naanza hivi kwa uhalisia kabisa Nina hakika abilia wanao TUMIA kusafiri wa ngani wengi wenu mnaonekana ni wasomi na ni watu wenye uhakika wa kielemu na kipato. Nanajua kabisa yawezekana haiwezekani RUBANI wa ndege anaweza kuwa na kiwango Cha elimu ila sio Cha Darasa la Saba hasa la Saba ya...
  17. JamiiForums Tanzania Maandamano, Lissu kapoteza, Mbowe Kapata: Uchambuzi wangu

    Maandamano yaliyofanyika leo Tundu Lissu hakuonekana hadharani akiongoza wala kushiriki maandamano. , kuna dalili za mabadiliko ya kipekee katika uongozi wa chama na nguvu za kisiasa ndani ya chama hicho. Kuna mambo kadhaa muhimu ambayo yanahusiana na athari hizi, yakiwemo ushawishi wa viongozi...
  18. JamiiForums Tanzania Godbless Lema asimulia jinsi alivyokamatwa Jumapili na kuandikiwa kosa la kuandamana kwenye ndege

    Nabii wa Mungu, Godbless Lema amesimulia namna alivyokamatwa. Anadai alikamatwa kabla hata hajashuka kwenye ndege siku ya Jumapili na kupelekwa kituo cha Polisi Terminal 1. Alipoulizwa sababu ya kukamatwa akajibiwa kwamba ameandamana ndani ya Ndege. ====== Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA ni karata muhimu kwa Rais Samia na CCM

    Ni wazi kuwa Chadema ilijaribu kucheza karata zake kisiasa kadri ilivyowezekana ili kujirudisha kwenye ramani ya siasa Tanzania. Uchaguzi uliopita uliiacha chadema kwenye anguko kubwa yaani kutokuwepo kwenye eneo muhimu la kimaamuzi kupitia uchaguzi. Naamini baada ya kuliona hili viongozi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya Shinikizo la Kimataifa, Viongozi wa CHADEMA Waanza kuachiwa, Mbowe, Lissu na Lema Waachiwa

    Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua. Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote. Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…