siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Athari za kukiuka sheria zaitesa CHADEMA kwenye medani ya siasa za Tanzania

    Kwa maoni ya wabobevu katika siasa za Tanzania, wanaeleza bayana kwamba chama hicho kamwe hakiwezi kuamka wala kufurukuta tena kisiasa nchini Tanzania, na wala hakiaminiki tena mbele ya umma. CHADEMA imekua kituo cha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kumechefua wanazuoni wengi, na pia...
  2. Nani ni shujaa wako au msaliti kwenye siasa za Tanzania?

    Kwenye siasa kuna mambo hutokea na kuwafanya watu mashujaa ama wasaliti. Wewe kama mtanzania tangu uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 na mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964, nani unadhani kwako ni shujaa ama msaliti kwa Taifa hili?
  3. Siasa za Tanzania

    Kwa hii overview fupi ya Tanzania unaonaje future yetu ya miska 15 mbele? Tanzania Yalenga Kusaini Mradi wa Gesi (LNG) wa Dola Bilioni 42 Kabla ya Juni Baada ya miaka kadhaa ya kukwama, Serikali ya Tanzania inatarajia kusaini mkataba wa mradi mkubwa wa kusindika gesi asilia (LNG) wenye thamani...
  4. Mene, mene, tekeli, na peresi: Somo kali kwa siasa za Tanzania

    Katika historia ya Tanzania, uongozi umejengwa juu ya misingi ya amani, umoja wa kitaifa, na heshima ya mamlaka ya dola. Hata hivyo, kama ilivyo kwa mataifa mengine, kauli ya “Mene, Mene, Tekeli, na Peresi” (Danieli 5) inabaki kuwa kioo cha kutafakari mwenendo wa siasa zetu. Ni ujumbe wa...
  5. M

    Ni kosa kubwa sana kumpa mwanamke uongozi kwani atategemea akili za wanaume kwa kila kitu

    Mimi naamini hivyo,ukimpa uongozi mwanamke kwani atategemea kila kitu aamuliwe na mwanaume au wanaume. Kibaya zaidi watamuamulia kwa maslahi yao kwanza hawatajali kama huyu mwanamke ataaibika,maana wanajua kwa kila aibu itajulikana aliyeamua ni huyo mwanamke Kizuri mwanaume anapoamua jambo...
  6. Rais Samia, kwanini ‘Masheikh wa awamu ya sita’ wanatukataza kushiriki Vyakula vya Christmas?

    Rais Samia, Kwanini Masheikh wa awamu ya sita wanatukataza kushiriki Vyakula vya Christmas? Watanzania hatujazoea. Na rais ni mtu wa. Dini zote. Mbona hukemei? Rais ni wa wote, haijalishi umezaliwa makunduchi, Mchambawima, Kizimkazi au Kanyamahela Hata rais Samia katika awamu yake ya sita...
  7. Watanzania tusikubali kusahaulishwa vifo vya ndugu zetu waliouawa na CCM

    Watanzania Wote Tukatae Ukatili na Tupiganie Haki! Watanzania wenzangu, tunakabiliwa na changamoto kubwa ya usalama na utu wetu. Kikundi cha wauwaji wa CCMwaliotwaa madaraka kwa mtutu wa bunduki wameua watu wetu watanzania wenzetu wasio na hatia, na hii ni ukiukaji wa Katiba yetu na haki za...
  8. Itafika wakati wataanza kuuana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ya madaraka

    Itafika wakati wataanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe na kutoana roho, kwasababu wamechagua njia ovu kila mmoja atataka yeye madaraka. kwa njia zao za kishetani. Huku ndipo tunapoelekea hawatashikamana siku zote kama mnavyowaona hao wakuu wa majeshi na mafisadi wataanza kuwindana wenyewe katiba...
  9. Napata hasira mno kila nikifuatilia siasa za Tanzania

    Najuta mno kufatilia hizi siasa za Tanzania, Bora hata kipindi kile nikiwa nafatilia Yanga na Simba, Ndo hivo tena Sasa siwezi kuacha kufatilia siasa Yaani nakosa Raha mno na roho inauma mno Tuachane na hizo Habari za kuhizunisha za kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000 ndani ya ardhi Yao na...
  10. Mnaouliza kwanini Watanzania wameichoka CCM na hawataki kuisikia, picha hii imeeleza vizuri. Hata mimi ningechagua jiwe!

    Wakuu Naomba hii picha ikumbushe watawala kwanini watu wamekisusa chama chao Hata ingekuwa wewe upo kwenye ballot box, kwanini usichague jiwe ukaiacha CCM?
  11. Rais Samia ni muumini wa capitalism. Cheza karata zako vizuri kipindi hiki maana akija Rais mwingine hujui misimamo yake

    Moja ya falsafa kali za kutoka kiuchumi ni kua capitalist mzuri, kwa mfano nchi yetu ni changa sana hivo opportunity ni nyingi sana, Yaani kila sehem ukigusa kuna hela lakini sio kiurahisi ivo, unatakiwa uzingatie vitu hivi kadhaaa 1) President aliepo anasimamia wapi katika vita ya uchumi...
  12. Listi ya watu wanaokabia juu kwenye siasa za Tanzania

    Mimi naanza na hawa 1. Prof Utajua hujui 2. Tito Magoti 3. Bongo Zozo Endelea na listi hapo chinii
  13. A

    PostGE2025 Kuendesha uchaguzi usiokizi vigezo ni uhaini, matumizi Mbaya ya fedha za Tanzania ni uhaini, Kusingizia watu kesi za uhaini ni uhaini, kubaka na kujua

    Kumekuwa na matukio kama kichwa cha habari kinavyo eleza Kwa ufupi. Je Mamlaka husika zipo tayari kuwachukulia hatua wahusika kwa kosa la uhaini na uvunjifu wa Katiba
  14. PostGE2025 CCM inatamba na vigogo wa CHADEMA. Joel Nanauka, kijana mzalendo kutoka CHADEMA na badae kuibukia CCM na leo ni waziri

    JOEL NANAUKA ALIONA ISIWE TABU Waziri wa vijana, Mhe. Joel Nanauka aliwahi kugombea ubunge wa Jimbo la mtwara Mjini mwaka 2015 kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo [Chadema] lakini aligonga mwamba akaona isiwe tabu mwaka huu 2025 ameshinda kupitia chama cha Mapinduzi [CCM]. Na hii ikupe...
  15. Daniel Sillo, Kiongozi anayejitengeneza historia katika siasa za Tanzania

    Mbunge wa Babati Vijijini, Ndugu Daniel Baran Sillo, ameendelea kuandika historia katika medani ya siasa nchini, hususan mkoani Manyara. Safari yake ya kisiasa ilianza kwa uthubutu na ujasiri mwaka 2015, alipojitosa kwa mara ya kwanza kuwania ubunge, ingawa hakufanikiwa. Hata hivyo, hakurudi...
  16. Kwanini CCM inawazungumzia sana waliohamsishha maandamano ya amani na imekaa kimya kwa walioua Watanzania?

    Neno langu kwenu ni Moja , MAUAJI YA HALAIKI yaliofanywa nanyi ,HAYAWEZI KUSAHAULIKA KWA NAMNA YOYOTE ILE. Msivyokua na Bahati, Wauaji wengine waliiua huku walisema 'Tunalipa KISASI Cha Wazanzibar walouliwa miaka Ile ". Bahati Mbaya sana, Bunduki na Risasi mlotumia Kuwaua Watanzania...
  17. Kama Taifa tunanufaikaje na huu upuuzi?

    Kichaa kapewa rungu . Tuuseme ukweli Maza hakutosha kuwa hata Mwl wa Primary . Reasoning Capacity yake ni ndogo mnoo. Kunamengine yanayotokea hadi unajiuliza ,hivi hadi hili nalo lilikuwa na sababu gani hasa ? Kama Taifa tunanufaikaje na huu upuuzi? tusipokubali kuungana kumkabili tujiandae...
  18. GE2025 Mwambegele: Tumehakikisha wapiga kura wanapata vituo vya karibu

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, ametembelea na kujionea maandalizi ya ujenzi wa vituo 83 kati ya 90 vya wapiga kura vilivyotengwa maalum kwa ajili ya wakazi wa maeneo ya zamani ya Kata za Ilangu, Ipwaga, Bulamata na Mishamo, zilizokuwa...
  19. L

    Ujinga, kiburi, dharau, majivuno, kutokuona mbele na kukosa maarifa kwa CCM kumewafanya Watanzania wajifunze Ugaidi

    Ukisikia Vijana wa Kitanzania wanavyohamasishana,wanavyofundishana,wanavyopeana mbinu kwa ajili ya maandamano,kwa ajili ya kukabiliana na polisi waziwazi huwezi kuamini kama Tanzania yangu imefikia hapa. Sikuwahi hata siku moja kufikiria kama Watanzania watakuja kufikia Hali hii. Hali hii...
  20. GE2025 Kagera: Viongozi wa CHADEMA washikiliwa na Polisi kwa kuchochea vurugu

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewakamata baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa tuhuma za kuhusika na kupanga mikutano na maandamano kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Brasius Chatanda, amethibitisha kukamatwa kwa viongozi hao na kueleza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…