Ushauri wa Lissu wa kizalendo wa kusogeza uchaguzi mbele sasa ndiyo mnaulewa! tusipinge kila kitu
Lissu alitoa ushauri Samia aendelee wakati wa mchakato wa katiba ili twende kwenye uchaguzi tukiwa wamoja.
Badala ya kuchukuwa huu ushauri mzuri amekuwa akibezwa na kufunguliwa kesi za uaini...
“Wanaohamasisha maandamano kwa kutumia akaunti feki wasifikiri hawawezi kutambulika, watatambulika tu, Watanzania wengi ambao ni wema wanaoipigania amani watatuambia tu huyu siyo.
“Tukio kama hilo lilishawahi kutolewa siku za nyuma na walitambulika na wakachukuliwa hatua.”
Hiyo ni kauli ya...
hekima
kutuma
madini
mbalimbali
motivational quotes
nukuu
quotes
siasaafrikasiasaafrika mashariki
taifa langu
tanzania
tanzania 2025
tanzania kwanza
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa wadhamini waliokwenda katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumdhamini Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakiwa kituoni hapo.
Taarifa ya chama hicho imeeleza kuwa waliokamatwa...
Wakuu,
Wakati hapa Tanzania wapinzani wakiwa wanalalamikia kukamatwa kwa Tundu Lissu huko nchini Kenya mambo pia yameeendelea kuwa sukari.
Hivi karibuni Rigathi Gachagua, aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, amedai kuwa kumekuwa na njama ya kumuua na kuhatarisha usalama wa familia yake tangu aondoke...
Habarini za asubuhi wakuu, mimi niko na swali kuna hizi ajira zinatangazwa na kampuni ya Dangote kila siku tunaomba ila hatupati ata majibu kuna mwanazuoni alishawahi pata hizi ajira au ata kuitwa interview atupe abc za kuomba hizi kazi tufanikiwe wote jamani😄
Mbowe alifanya maridhiano, ruzuku inapatikana na chama kikaendelea kujitangaza. Lakini Lissu na watu wake wanamuita msaliti na mnafiki.
Leo humu Jamiiforums kunapita thread ya kumpongeza Lissu kwa mara ya kwanza ruzuku ya chama imepita kwenye akaunti ya chama. Mimi nilitegemea, kwa kuwa Lissu...
Huo ndio ukweli CCM ni baba wa Siasa za Africa Mashariki
Ukiangalia sinema ya Ruto kumtoa Gachagua utagundua Siasa za Jirani zimefeli kwa haraka sana
Makanga na Dereva wote Must Go 😂😂😂😂
Kwa aliye fuatilia kampeni za kuziba pengo liloachwa na Dk Shogo Mlozi aliyekuwa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki R.I.P.kwake
Kuna kabinti kamejitokeza kwanza nampa hongera kwa ujasiri na uthubutu wa kuamua kugombea lakini kuna kitu.
Amenishangaza katika kujinadi kwake
Kwanza kasema yeye...
Tume ya uchaguzi ya Tunisia imeidhinisha wagombea watatu pekee kugombea katika uchaguzi wa urais mwezi Oktoba 6, 2024, ikipuuza uamuzi wa mahakama wa kuwarejesha wagombea wengine watatu. Wagombea hao ni Mbunge wa zamani Zouhair Maghzaoui, Mfanyabiashara Ayachi Zammel na Rais wa sasa Kais Saied...
Mchezo huo mchafu unaamua nani awe Rais wa nchi
2. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Makamu wa Rais
3. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri mkuu
4. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri
5. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Mkuu wa majeshi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mkuu wa Idara ya...
Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.
Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.
Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024
Huku kwetu Africa, Rais...