shule ya sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Makongoro - Bunda Vijijini amefariki yadaiwa ni baada ya kuchapwa na Walimu 30

    Kuna Mwanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Makongoro iliyopo mkoani Mara - Bunda Vijijini kachapwa viboko na Walimu takribani 30 mpaka amefariki Dunia, tukio limetokea SaaSaba Mchana Agosti 19, 2026. Jeshi la Polisi latoa tamko ~ RPC Mara: Ni kweli Mwanafunzi wa Form 6 amefariki...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Sekondari Nsongwi Juu - Mbeya Vijijini imekuwa na changamoto ya utawala mbovu

    Shule ya Sekondari Nsongwi Juu (Mbeya Vijijini) imekuwa shule yenye utawala mbovu imefikia hatua mpaka Walimu wanashindwa kufanya kazi kwa sababu ya utawala huo. Kesi zimekuwa nyingi zimefika mpaka kwa Afisa Elimu Kata na Afisa Elimu Wilaya lakini hazitatuliwi, sasa hatujui shida ni nini...
  3. JamiiForums Tanzania Nkasi DC: Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande hawakai chini, hata hivyo tutanunua meza na viti 900 kugawa Shule za Sekondari

    Hoja ya awali ya Mdau ~ Shule ya Sekondari Kipande, Wilayani Nkasi - Rukwa haina madawati, Wanafunzi wanakaa chini Mtakumbuka tarehe 15/07/2026 mtandao wa Kijamii wa JamiiForums ulitoa taarifa kuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa...
  4. JamiiForums Tanzania KERO Mkuu wa shule ya Sekondari Ikulu jijini Mbeya amekuwa kero kwa wazazi

    Habari za muda huu ndugu wapenzi wa jukwaa hili la JamiiForums. Kuna Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Ikulu iliyopo jijini Mbeya, anaye julikana kwa jina la Godfrey Sitayila amekuwa kero kubwa sana kwa wazazi wa wanafunzi wanaosoma shuleni hapo. Amekuwa akitoa kauli ambazo siyo nzuri kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Busega: Mwalimu wa shule ya sekondari Chegeni ashikiliwa kwa mauaji ya Mhandisi Wa idara ya maji,Bwana Sifael Senzota

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limefanikiwa kuwakamata watu wawili kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya aliyekuwa Mhandisi wa Maji wa RUWASA Wilaya ya Busega, Safiel Peter Senzota (37). Tukio hilo lilitokea tarehe 25 Mei 2026 katika eneo la Mwanogi, Wilaya ya Busega. Baada ya uchunguzi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Hongera sana mkuu wa shule ya sekondari Dkt. Nchimbi kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari halmashauri ya Bunda-mji

    Pongezi sana ndugu Ngassa Benard Mahangila kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari katika halmashauri ya mji wa bunda kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari ndani ya halmashauri. Nafikiri pongezi hizi zinastahili kabisa na hazina walakini. Kusimamia mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Nyasura...
  7. S

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya sekondari Wailes Temeke inaongoza kwa viboko na michango

    Walimu wa sekondari wailes wanaongoza kwa kubuni michango shule ni tatizo ni nini? Mtoto asipoenda kusoma jumamosi anadaiwa tofali 5 mpaka 10 za sementi na hela aliyotakiwa kulipa jumamosi anailipa pia ingawa hakusoma, walimu wakujitolea wazazi ndio wanakiwa kuwalipa kwa mwezi 2000, Kuna kusoma...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha DC kuna jambo linastahili kufuatiliwa katika Sekta ya Elimu

    Mimi ni mwalimu wa Shule ya Sekondari katika Halmashauri ya Arusha DC. Hivi karibuni wanafunzi wa kidato cha nne walifanya mitihani ya pre-mock, ambapo kila mwanafunzi alitozwa shilingi 12,000 kwa madai ya kugharamia usahihishaji wa mitihani hiyo. Cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wazazi tunalazimishwa kuchangia chakula kila siku katika Shule ya Sekondari Ipala

    Kuna kero inawakumba wazazi wenye katika shule ya sekondari Ipala. Mwaka jana serikali ilitoa mahindi kwa ajili ya chakula shuleni na mwanafunzi ikalazimu kwenda na mia sita kila siku kwa ajili ya mboga. Mahindi yameisha wanafunzi wametangaziwa kwenda na 1400/= kila siku kwa ajili ya chakula...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi shule ya Sekondari Mgombe yenye mkondo wa amali ya kihandisi, Katavi

    WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI MGOMBE YENYE MKONDO WA AMALI YA KIHANDISI, KATAVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 15, 2026 ameweka jiwe la msingi la Shule ya Sekondari Mgombe yenye mkondo wa Amali ya Kihandisi iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, mkoani...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Makurunge Sekondari, Wanafunzi wa kidato cha Pili na Nne wanalazimishwa kukaa Bweni

    Ni mmoja wa wazazi wa mtoto anae soma shule ya Sekondari Makurunge iliyopo mkoa wa Pwani, wilaya ya kisarawe kata ya Kiluvya. Walimu wa shule hii ya Sekondari wameanzisha mradi binafsi wa kujenga hostel za kukaa wanafunzi hivyo wamekua wakilazimisha wanafunzi hasa wa kidato Cha pili na nne...
  12. W

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Sekondari Kisungu-Dar, Wanafunzi wanapewa adhabu ya kuleta tofali za kujenga uzio

    Nina rafiki yangu ambaye mtoto wake anasoma Shule ya Sekondari Kisungu iliyopo Kinyerezi Dar es salaam. Alikuja kwangu kuniuliza iwapo kwenye saiti yangu nimebakiza walau tofali 20. Nilimuuliza tofali hizo anazihitaji kwa ajili ya nini, ndipo akaniambia kuwa mtoto wake alichelewa kufika shuleni...
  13. JamiiForums Tanzania Responded Mwenyekiti wa Bodi: Shule ya Sekondari Nyampulukano idadi ya Wanafunzi waliohitaji kujiunga kwetu ni wengi kuliko uwezo wa shule

    Kutokana na uhitaji mkubwa wa wanafunzi wanaotaka kuhamia Shule ya Sekondari Nyampulukano iliyopo Sengerema mkoani Mwanza, upande wa mabweni lakini kukosa nafasi, hali hiyo imewasukuma wadau mbalimbali kujitolea kujenga bweni jipya litakaloongeza uwezo wa shule hiyo kupokea wanafunzi wengi zaidi...
  14. JamiiForums Tanzania Ujenzi Shule ya Sekondari Uvinza wakamilika

  15. JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Shule ya Sekondari Makumbusho (Dar) afukuzwa kwa kosa la kutoa adhabu kali kwa Mwanafunzi

    Pia soma ~ Huyu ni mwalimu wa shule gani anayempiga mwanafunzi mateke
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia aahidi ujenzi wa mabweni shule za sekondari Bahi

    Akiwa wilayani Bahi mkoani Dodoma leo Jumanne Septemba 09, 2025 kwenye muendelezo wa kampeni zake kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa wanafikiria kujenga mabweni kwa shule za Sekondari...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo

    Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyojengwa kupitia mradi wa SEQUIP katika Kata ya Udinde Halmashauri ya Wilaya ya Songwe. #KurayakwanzakwaSamia #Haijapatakutokea
  18. JamiiForums Tanzania Wana Lupalilo wa Diaspora Wakabidhi Mfumo wa Sola wa Milioni 20 kwa Shule ya Sekondari Ilumaki

    Wadau wa maendeleo waishio nje ambao wanatoka katika kata ya Lupalilo wilayani Makete mkoani Njombe, wamekabidhi mfumo wa sola wenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa shule ya Sekondari Ilumaki ili nishati ya umeme ipatikane shuleni hapo muda wote Sola hizo zimekabidhiwa Julai 24, 2025 na Dkt...
  19. B

    JamiiForums Tanzania CRDB Yachangia Madawati 111 na Ujenzi wa Uzio Shule ya Sekondari Prof. Adolf Mkenda, Rombo

    Mkuu wa Wilaya Rombo, Raymond Mwangwala (watatu kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bank Foundation, Coletha Ndunguru (wapili kushoto) kwa ajili ya kuchangia ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi Nyashimba Waanza Ujenzi wa Shule ya Sekondari Kupunguza Mateso kwa Wanafunzi

    Hatimaye ndoto ya kupata shule ya sekondari ndani ya kijiji cha Nyashimba(M)wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu inaanza kutimia! Baada ya kilio cha muda mrefu kutoka kwa wazazi na walezi, wananchi wa kijiji hicho wameamua kuchukua hatua—kuanza ujenzi wa shule yao ya sekondari kwa kutumia michango ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…