shinikizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia apende-asipende siku yaja atamfuta Uwaziri January kwa shinikizo la wananchi

    January nahisi nyota yake ina giza sana! Haiwezekani yeye tu kutajwa na hata kusemwa kwa ubaya tuuuu! Ukiona jamii inayokuzunguka haishi vigenge vya kukusema kwa ubaya tambua kutoboa kwako katika jambo fulani itakuwa vigumu sana. Ukweli ni kwamba 75% ya Watanzania hawamweli na zaidi...
  2. T

    Uchezaji wa kamari chanzo kikubwa cha shinikizo na mashambulizi ya moyo

    Ahlan wa sahlan Nikiwa kama Ex-mkamaria kuanzia sasa, ninelifanyia uchunguzi suala hili na kugundua kuwa Kamari ni jambo linaloweza kumpelekea mchezaji kupata shambulizi la moyo la ghafla. Kwa mchezaji kamari yoyote naomba ajiangalie hali yake ya mapigo ya moyo pindi anapobeti mpaka pale...
  3. JITIBU Kisukari, Shinikizo la damu, Arthritis, Vidonda vya tumbo nk kwa dawa hii

    WATER THERAPY Faida zake; Utaondokana na changamoto zifuatazo: 1. Uzito usiotakiwa 2. uchovu kwa wakati usiostahili 3. kutopata usingizi kwa wakati muafaka wa kulala 4. Maumivu sugu ya Tumbo, Kichwa, viungo nk 5. kupunguza Tumbo/ Kitambi 6. Cancer, Kisukari, asthma, Shinikizo la damu( la juu...
  4. Apple yashinikizwa na China kuondoa app maarufu ya Quran

    Shirika la Apple limechukua uamuzi wa kushangaza wa kufuta apu hiyo yenye Qur'ani Tukufu kwa lugha asili ya Kiarabu na pia tarjuma kwa lugha nyinginezo pamoja na mafundisho mengine ya Kiislamu. Apu hiyo imefutwa kwenye jukwaa la App Store lenye kubeba aplikesheni zote za simu za iPhone na iPad...
  5. Shinikizo laongezeka dhidi ya serikali ya Ethiopia kuhusu jimbo la Tigray

    Marekani yasema itaiwekea vikwazo Ethiopia baada ya serikali ya nchi hiyo kuwafukuza maafisa saba wa mashirika ya kutoa misaada ya Umoja wa Mataifa ambao wanadaiwa kujihusisha na maswala ya ndani ya nchi hiyo. Wizara ya mambo ya nje ya Ethiopia imewapa maafisa saba wa Umoja wa Mataifa muda...
  6. Somo la 'Historia ya Tanzania' alilotaka Magufuli lasitishwa

    Hayati Magufuli naona kaangukia pua tena Somo la historia ya Tanzania lasitishwa Katibu mkuu wizara ya elimu amesema syllabus hiyo imesitishwa haraka na haitafundishwa kokote. Source ITV news ============== Waziri wa elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia...
  7. Maneno ya viongozi wa CHADEMA kukutana na Rais yanatia doa dhamira yao

    SHINIKIZO LA CHADEMA KUKUTANA NA RAIS LINATIA MASHAKA. Na Elius Ndabila 0768239284 Baada ya Mhe Rais kula kiapo Cha kuliongoza Taifa hili, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mwenyekiti wake Mzee Freeman Mbowe waliutangazia umma kuwa wamemwandika barua Rais ya kutaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…