sheria za tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    Kuna muda mwingine naona sheria za Tanzania zipo kwa sisi wananchi wa kawaida sio viongozi. Embu angalia hii

    Kukamatwa kwa wachina wakadai bilioni 6 sijui walihesabu vipi baadae taarifa inasema bilioni 2 wametangaza labda wamechota wakati wa kubeba. Sasa unapotaka sheria embu fanya hivi ingia nyumba za wakubwa basi si walikuwa wanajipost
  2. Fbn

    Kuna mda mwengine naona sheria za Tanzania zipo kwa sisi sio viongozi.Embu angalia hii

    Kukamatwa kwa wachina wakadai bilioni 6 sijui walihesabu vipi baadae taarifa inasema bilioni 2 wametangaza labda wamechota wakati wa kubeba. Sasa unapotaka sheria embu fanya hivi ingia nyumba za wakubwa basi si walikuwa wanajipost
  3. MUME MASKINI

    Hakuna sheria yoyote,katika sheria za Tanzania imepiga marufuku “kukinukisha”

    Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, hakuna kifungu kinachopiga marufuku moja kwa moja kutumia neno au kauli ya "kukinukisha." Hii ni kauli ya kisiasa au ya mtaani ambayo haijaainishwa katika sheria kama kosa. Katika mjadala wa Jamiiforums, baadhi ya wachangiaji walisisitiza kuwa hakuna sheria...
  4. W

    How CCM Government excludes opposition agents in elcteral processes

    In every functioning democracy, polling agents play a critical role in ensuring transparency, accountability, and integrity at polling stations. However, in Tanzania, the legal provisions permitting the deployment of polling agents by opposition parties are routinely undermined. While electoral...
  5. S.M.P2503

    Kuzuiwa kwa CHADEMA kunalisitisha Bunge zima kwa mujibu wa katiba na Sheria za Tanzania

    KUZUIWA KWA CHADEMA KUNALISITISHA BUNGE ZIMA KWA MUJIBU WA KATIBA NA SHERIA ZA TANZANIA Maamuzi ya mahakama yaliyotolewa jana dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwamba kisitishe shughuli zake za kisiasa kwa muda wa siku 14, yameibua maswali mazito ya kikatiba, kisheria na...
  6. S.M.P2503

    Kuisimamisha taasisi kama CHADEMA kutofanya shughuli zake ni kama kulizuia jeshi la polisi kutokufanya kazi – ni maamuzi yasiyo na mantiki kisheria

    Katika hali ya kawaida ya kikatiba na kisheria, uamuzi wa kuzuia chama cha siasa kama CHADEMA kufanya shughuli zake za kisiasa ni suala zito linalogusa moja kwa moja haki za kikatiba za uhuru wa kushiriki shughuli za kisiasa, uhuru wa kujieleza, na uhuru wa kujiunga na vyama. Katika andiko hili...
  7. Pascal Mayalla

    Funga Kazi ya Urekebu wa Sheria za Tanzania, Kesho Rais Samia Atatoa Tangazo Rasmi, la Kuanza Kutumika kwa Sheria Zaidi 400 Zilizorekebishwa!.

    Wanabodi Funga kazi ya urekebu wa sheria za Tanzania, kesho Rais Samia atatoa tangazo rasmi, la kuanza kutumika kwa sheria zaidi 400 zilizorekebishwa. kuanza kutumika. Taarifa hii imetolewa live mubashara on Jambo Tanzania, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari. Paskali
  8. Saa 7 mchana

    Je nikikana uraia wa Tanzania na kupewa uraia wa nchi nyengine mali zangu zitataifishwa?

    Habari zenu wataalam, Tunafahamu Serikali ya jamhuli ya muungano wa Tanzania haitambui uraia pacha. Kwa kesi ya namna hii mali za raia aliebadili uraia mali zake utafishwa. Naomba wabobezi wa sheria watufahamishe.
  9. Bams

    Kwanini Sheria za Tanzania zinalenga zaidi kulinda uovu badala ya kutetea Haki?

    Nchi yetu kadiri siku zinavyoenda mbele, imeshuhudia zikitungwa sheria nyingi za kuirudisha nchi nyuma, yaani sheria nyingi zimekuwa za kuwatesa na kuwaonea wananchi. Ni sheria za kuhalalisha uovu dhidi ya wananchi: 1. Tulikuwa na sheria ya vyama vya siasa, lakini baadaye ikabadilishwa hiyo...
  10. Yoda

    Sheria za Tanzania zinaruhusu wateule wa Rais kufikishwa mahakamani bila kutenguliwa au ridhaa yake?

    Kwa sheria tulizo nazo inawezekana RC, Waziri, DC, Katibu mkuu au Mkurugenzi wa shirika kukamatwa na kufukishwa mahakamani kwa tuhuma yoyote bila kutenguliwa au ridhaa ya mamlaka yake ya uteuzi ? Tofauti na ma DED Kuna mteule yoyote wa Rais katika nafasi za juu aliwahi kufikishwa mahakamani...
  11. GoldDhahabu

    Ni kweli hakuna aliye juu ya Sheria nchini?

    Nimeshasikia hivyo tokea nikiwa mdogo, lakini kama si sahihi kwa asilimia mia moja. Kwenye nchi hii, kuna watu ambao ni kama vile hawagusiki, haijalishi watakachofanya! Hapo siwaongelei viongozi, bali vigogo wanaoweza kuonekana kama vile wameiweka Serikali mfukoni. Kikatiba, Rais wa Tz...
Back
Top Bottom