Hongera waziri wa ardhi Jerry Silaa nili kunukuu kuhusu swala la wageni mnafanya maboresho kuhusu wageni kumiliki ardhi.
Tatizo linaweza kutokea mbeleni kwenye sheria hii sababu wananchi wengi wako kwenye wimbi la umaskini ususani vijijini ambapo ndio maeneo yenye rasilimali kama madini,kilimo...
Inasemekana:
Kwa Sheria ya Tanzania, hakuna mtu anayeweza kumiliki ardhi. Anaweza kupangishwa tu, labda kwa kipindi cha miaka 99.
Kwa Sheria za Tanzania, Rais ndiye "mmiliki" wa ardhi yote nchini. Sijui itakuwaje pale Serikali itakapoitamani ardhi iliyokupangisha! Sijui itakupokonya!
Kwa...
Tathmini ya maeneo ya Kata ya Nyatwali, Wilaya ya Bunda ilifanyika mwezi Januari, 2023 na wananchi kuahidiwa kuwa watalipwa siyo zaidi ya mwezi. Mpaka sasa malipo hayajafanyika licha ya ufuatiliaji wa muda mrefu.
Wananchi walizuiwa kulima kitu chochote katika maeneo hayo wakiahidiwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.