sharti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amenipa sharti la kuacha kazi ya kuajiriwa ili anipe mtaji wa Tshs 200M nianze shughuli yangu mwenyewe lakini sijui nifanye shughuli gani!

    Mara nyingi nimetetea uraia pacha ili wana Diaspora wapewe nafasi za kuwekeza nchini. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba nina ndugu yangu huko nje alichukua uraia wa huko, na sasa anasema inakuwa vigumu kuwekeza Tanzania kwa kuwa yeye sio raia tena wa Tanzania. Sasa juzi hapa kanishauri...
  2. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu kuwepo kwa vyuo ambavyo havijasajiliwa kwa sharti kuwa vijitangaze kuwa havijasajiliwa popote

    Nchi zote zilizoendelea ikiwemo Marekani huwa wana vyuo ambavyo havajiasajiliwa. Ili mradi vijitangaze hivyo kuwa chuo ni unaccredited na kuwa havitoe vyeti vinavyotambuliwa popote. Hivi vyuo huwa ni muhimu sana sababu vingi hutoa knowledge za jinsi ya ku survive mitaani. Pia ndivyo hutumika...
  3. platyhelminthesis

    JamiiForums Tanzania Ni sharti gani la ajabu umewahi kupewa na mwenye nyumba wakati umepanga au unatafuta chumba?

    Asee mimi sharti la kijinga lilikua ni kusema kama unataka kuongeza mkataba wa kupanga miezi miwili kabla ya muda kuisha[emoji23][emoji23][emoji23]
  4. Mrs Gudman

    JamiiForums Tanzania Nahitaji laptop sharti iwe kwenye hali nzuri

    Naomba kuuliza mwenye laptop anauza. RAM iwe kuanzia 3GB na kuendelea. Hard disc kuanzia 200 na kuendelea. Ikae na charge kuanzia masaa mawili na kuendelea. Bei isizidi laki tatu Kama unayo comments chini nikufate au njoo pm. NB: Nipo Dodoma
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nimetoa sharti la kupewa laki kila mwezi ....vinginevyo atambae

    Kuna mtanashati ameonesha nia kutaka kunioa. Nami nikaona niwe muwazi kwake mapema isije ikazua balaa siku za usoni. Nimefunguka kinaga ubaga kuwa mwanamke mazingira, mwanamke matunzo. Nikaenda mbali zaidi kwa kumpa usemi usemao "ukiona mbwa anakonda lawama zinaenda kwa mwenye mbwa". Na mm...
Back
Top Bottom