TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI KUHUSU UTARATIBU WA UGAWAJI WA MASHAMBA KATIKA SHAMBA LA MITI WEST KILIMANJARO
Agosti 27,2026 - Dodoma, Tanzania
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umefuatilia taarifa na madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii na miongoni mwa baadhi ya wananchi kuhusu...
Habari ndugu,
KUNA SHAMBA LA MITI AINA YA MIPAINA LINAUZWA,
Shamba lipo mkoa wa Njombe, wilaya ya Njombe mjini, kata ya Kifanya, kijiji cha Lilombwi.
Lina ukubwa wa ekari 20, na kila ekari inauzwa kwa shilingi 1,200,000/=.
Unaweza kununua kuanzia ekari tano.
Miti ina muda wa miaka minne tangu...
Wakuu naitaji mtu mwenye pesa hiyo aje tuwekeze faida tutagawana ipo hivi nina shamba la miti ya mbao ipo njombe karibia hekari 25 nimekatia/nimeishiwa hela ya uendeshaji endapo atatokea mwenye mtaji huo na tukashilikiana na kwa wema na juhud nipo tayari tukishamaliza kuvuna miti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.