serikali

  1. JamiiForums Tanzania CCM sikio la Kufa Zungu Hawezi kuendesha bunge la kuisimamia Serikali sahau

    GT Nadhani kwa sasa mnaona wote jinsi serikali ilivyoanza na uhuni bungeni. Zungu ni team msoga genge la wahuni hawezi kuruhusu mjadala wowote wa maana wenye tija kwa taifa. Amewekwa pale kulinda maslahi ya mafisadi hakuna jingine tumwombe tu mungu afanye yake mapema
  2. JamiiForums Tanzania Serikali imekuja na propaganda ya kuonyesha Mali zilizohalibika Wananchi na Nyie Endeleeni kuonyesha Maiti za Marehemu

    Propaganda ya kuonyesha mali ni nzuri wananchi nao waendelee kuonyesha Maiti za Marehemu tuone vitu vinarudishwa uhai wa watu Je?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo chama na serikali kwa ukilaza wenu huko ndani mnaambiana mkae kimya watanzania mnawajua watasahau na litapita na maisha yataendelea sio!

    Sawa endeleeni kuamini hivyo na kuaminishana hivyo.
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Makamu wa Rais Nchimbi: Tanzania ipo salama, mazungumzo ya MARIDHIANO kuanza

    Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesisitiza kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imechukua hatua madhubuti za kulinda umoja wa kitaifa na kuhakikisha wananchi wanaishi kwa utawala wa sheria. Kauli hiyo alitoa akiwa mwakilishi wa Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali yathibitisha kupatikana kwa mwili wa Joshua aliyeuwawa nchini Israel

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imethibitisha taarifa za kupatikana kwa mabaki ya mwili wa Mtanzania Joshua Loitu Mollel (21) aliyeuwawa nchini Israel. Joshua alikuwa miongoni mwa vijana 260 wa Kitanzania waliokwenda Israel kwenye mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa...
  6. O

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njama za kuficha uhalifu wa Serikali: Imefungua kesi za mchongo za uhaini dhidi ya Wananchi kwa mauaji ilioyapanga.

    Wakuu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki moja kwa moja katika mauaji ya halaiki ya Watanganyika zaidi ya 2,000, yaliyotekelezwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na askari wa kukodi (mercenaries) waliotoka Uganda na Zanzibar, katika kipindi cha uchaguzi mkuu...
  7. JamiiForums Tanzania Hongera sana serikali kwa kuanzisha mkakati wa kuwasaka vinara wa machafuko

    Friends and Our Enemies... La mgambo limeliaaa,La mgambo limeliaa.. Serikali sasa imetangaza msako,dhidi ya wale wezi,walanguzi,wahaini na wanaohujumu miundombinu ya taifaa... Lilikuwa ni suala la muda tuh kabla ya mkono wa sheria kuwafikia hawa vibaka na wahamasishaji wao wa fujo na wizi kwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kimeumana kesi ya wahaini: Mahakama yaiamuru Serikali kutaja uraia wa watuhumiwa

    Tokea hotuba za uapisho, tumeambiwa waandamanaji na wahamasishaji hawakuwa Watanzania. Na baadae maafande wa polisi na wasemaji wa serikali na makada wa chama wamekuwa wakiiga na wakurudia maneno hayo. Sasa kimeumania mahakamani. Charge sheet ya Niffer na wapanga uhaini wenzie 147...
  9. JamiiForums Tanzania Mzee wetu Clemence Mwandambo ana ujumbe kwa vyombo vya serikali

    Huyu mzee ana vitu tunavitaka, yupo zake huko vijijini anawachapa CCM na serikali yake.
  10. JamiiForums Tanzania Tukiwa wakweli, kuna kosa la uhaini wakati serikali inayodhaniwa kutaka kupinduliwa ilikuwa bado kuchaguliwa wala kuundwa?

    Kosa la uhaini uhusisha nia, kujaribu, hata kutenda kitendo cha kutaka kuiangusha serikali. Sasa najiuliza na kushangaa. Ni serikali gani iliyokuwa 'ipinduliwe' wakati uchaguzi wa kuchagua watakaounda serikali na mihimili yake ndo walikuwa bado kuchaguliwa? Huu ni ujanja au uzwazwa wa watawala...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa serikali, iache ku-play victim bali iwajibike

    Kimsingi mzizi wa fitna (root cause) ni au umeanzia serikalini. Haiwezekani watu wote hao wakawa wamekosea harafu viongozi ndio mkawa sahihi. Hadi hayo yote yanatokea serikali ilikua wapi? maana ndie viongozi! wanaotegemewa na wananchi. Kutokua muwazi kunaweza kusababisha suluhu isipatikane...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Ili kuiaibisha Serikali, Polisi na Mahakama, watuhumiwa wote wa Uhaini wakiri makosa yao

    Sitaeleza sana maana naamini kwa ufupi naweza kueleweka. Hawa vijana wa Kitanzania wa kiume na kike zaidi ya 200 wanaoshitakiwa kwa UHAINI, nawashauri wote kwa umoja wao wakiri mashitaka yao yote. Naamini Serikali imejipanga kuwaozesha jela kwa kesi ndeeefu halafu mambo yakipoa utasikia...
  13. JamiiForums Tanzania TBC jifunzeni Kutoka kwa CGTN: Badala ya Kuisifu serikali, tumie Nguvu zenu pia kukuza Ubunifu na Utamaduni wa Kitanzania

    Wakati Shirika la Habari la China, CGTN (China Global Television Network), linaendelea kuonesha umahiri wake katika kukuza utamaduni, sanaa, na fikra za kitaifa kupitia filamu kama “The Legend of the Monkey King” na “Nezha”, Shirika la Utangazaji la Taifa Tanzania (TBC) linaendelea kutumia...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Why Samia Anaiogopa Ikulu ya Dar?, je ndo rasmi Serikali imehamia Dodoma

    Kumekuwa na malalamiko muda mrefu kwa matumizi makubwa ya pesa za Umma toka ikulu ihame dae kwenda Dodoma, Kwani Rais Samia alipendelea sana kufanyia kazi ikulu ya Dar kuliko ile ya Dodoma, hivyo kusababisha viongozi wengi wa serikali kulipwa pesa za safari nyingi. wanapokuwa ikulu ya Dar. cha...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Matukio wakati wa uchaguzi, Serikali lazima iseme ile ni Collateral damage

    Tumeomboleza tumechoka, Serikali isiendelee kutia aibu kwa jàmbo walilofanya la kuua watu. Wakubali vile vifo, uharibifu na majeruhi ni collateral damage wao walikuwa wanajaribu kudhibiti fujo ila yaliotokea yalikuwa nje ya uwezo wao Waombe radhi hata wasipolipa mtu, wawakabidhi marehemu kwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania IMF, Benki ya Dunia na nchi wafadhili, wataendelea kutoa mikopo na misaada kwa serikali hii ya Tanzania?

    Kutokana na uchaguzi usiokidhi vigezo vya kimataifa plus mauji ya raia wengi wasio na hatia waliojitokeza kupinga huu uchaguzi wa tarehe 29 October 2025, IMF, Benki ya Dunia na nchi wahisani, wataendelea kutoa mikopo na misaada kwa hiii serikali? Tukumbuke hata ripoti za waangalizi karibu zote...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kauli za viongozi wa CCM na serikali yake dhidi ya wananchi waliopoteza wapendwa wao zinadhihirisha dharau dhidi yetu

    Naomba Watanzania wenzangu, tufanye jambo muhimu. Viongozi wa CCM na wale wote wanaodhihaki vifo vya wenzetu hawapaswi kuendelea kuwa sehemu ya jamii yetu kwa namna ya kawaida. Tuwatengue kwa amani, bila chuki, lakini kwa msimamo thabiti. Tusionekane kushiriki katika shughuli zao wala kutoa...
  18. JamiiForums Tanzania What if Mange ni mpango wa serikali?

    Kwa wale ambao mlifuatilia research nzima ya september 11, tutakubaliana lile tukio lilifanyika na serikali ya marekani wenyewe, zipo research karibia 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea tukio la sep 11 na 70% walisema tukio lilifanyika na serikali yenyewe, kwa lugha nyepesi (INSIDE JOB) kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya serikali kupoteza muda kufanya maridhiano na wahalifu

    Maridhiano na kina Mange, Mwamakula, Maria, Sativa, Bagonza na wahalifu wengine ni kupoteza muda. Serikali ikamate wote waliohusika na huu uhalifu uliosababisha vifo na kuwafikisha mahakamani. Serikali isipoteze muda kujadiliana na wahalifu. Mtu aliyechoma vituo vya mabasi ya mwendokasi...
  20. JamiiForums Tanzania Wakati wa Mabadiliko: Wito wa Serikali ya Mpito kwa Ajili ya Tanzania Mpya

    Ili Tanzania irudi tulipokuwa nchi ya amani, utu na heshima tunahitaji kwanza kuwa na Serikali ya Mpito (Interim Government). Hii ni kwa sababu kile kinachoitwa serikali ya sasa kimekuwa chanzo kikuu cha migogoro, mateso na maumivu makubwa kwa wananchi. Kwa muda mrefu tumeona na kushuhudia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…