serikali

  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la Uongozi wa Makete kuhusu Kampeni na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Vyama vya siasa wilayani makete mkoani Njombe vinavyoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa vimetakiwa kufanya kampeni za kistaarabu kwa kunadi sera zao kwa wananchi badala ya kutoa matusi au kufanya fujo Rai hiyo imetolewa Novemba 19, 2024 na Msimamizi wa Uchaguzi ambaye ni Mkurugenzi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi: Tunawashikilia Niffer na Diva kwa mahojiano na hatua nyingine za Kisheria

    Tarehe 16 Novemba 2024 eneo la Kariakoo Dar es salaam kulitokea tukio la kuporomoka kwa jengo la biashara. Wakai jitihada mbalimbali zikifanywa na Serikali na sekta binafsi kuhusiana na jinsi ya kuwaokoa watu katika eneo hilo , zilipatikana taarifa za watu wasio na mamlaka yoyote ya kisheria ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini hii ndege ya serikali imeitwa Musoma na sio jina la mji mwingine wa hapa Tanzania?

    Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii ndege ya serikali imeandikwa musoma. So maybe help me to understand kwa nini iitwe musoma na sio Iringa,kasulu,sumbawanga,ilala au mji mwingine wowote? Asante
  4. JamiiForums Tanzania Dk. Suleiman Serera: Serikali haitamfumbia macho atakayechezea Sekta ya Mkonge

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Dk. Suleiman Serera serikali haitamfumbia macho yeyote atakayechezea Sekta ya Mkonge kwa namna yoyote kwani sekta hiyo mtambuka ni ustawi wa maisha ya Watanzania wengi wa kaliba na kada tofauti. Dk. Serera amesema...
  5. JamiiForums Tanzania Kwako Steve Nyerere: Ombi la kuwasiliana na Viongozi wa Serikali kuhusu msamaha kwa Niffer na Diva

    Mpendwa Steve Nyerere, Kwa heshima kubwa, napenda kukushukuru kwa kazi zako nzuri na mchango wako wa kipekee katika kuleta maelewano ndani ya jamii yetu. Kama mmoja wa viongozi wenye ushawishi mkubwa, nina imani kuwa unaweza kuwa kiungo muhimu katika kutatua suala la Niffer na Diva kwa njia ya...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Nchimbi kuzindua kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Mwanza

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt.Emanuel John Nchimbi atazindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa kwa Wagombea wa CCM Mkoani Mwanza tarehe 20 Novemba ,2024 .
  7. JamiiForums Tanzania KERO Serikali ya Mwanza iboreshe ‘maeneo korofi’ ambapo mvua ikinyesha hali inakuwa mbaya

    Maeneo ya Daraja la Masai Daraja la Masai Moja ya changamoto kubwa wanayoipata wakazi wa eneo hilo ni wakati wa mvua kubwa au mafuriko, inapokuwa hivyo Daraja la Salamani na Daraja la Uhuru ambayo yana kina kifupi athari inazidi kuwa kubwa. Kinachoombwa na watu wengi ni kusafishwa kwa Mto...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri Mkuu: Aliechangisha milioni 37 za maafa asidhuriwe na sheria serikali imuajiri kwenye kamati ya maafa ana uwezo wa kuhamasisha

    Leo Waziri mkuu katembelea eneo ambalo ajali imetokea huko Kariakoo na baadae akateta na wananchi na viongozi mbalimbali wa mkoa na serikali akiwemo waziri alie chini yake William Lukuvi. Lakini ukweli wabakia kuwa ni uleule kwamba bado wapo watu wamekwama huko chini ya kifusi na hatima yao ya...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi Kumuwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na serikali wa SADC

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Daktari Hussein Mwinyi anatarajiwa kumuwakilisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. katika mkutano wa dharura...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ya Brazil na Marekani zilivyoficha Siri ujio wa Aliens

    Tukio La Varginha (Roswell ya Brazil). Tarehe 13 Januari 1996 Komandi Ya Anga Ya Anga Ya Amerika Kaskazini (NORAD) ilitoa tahadhari kwa majeshi ya Brazil, kwamba kuna kitu kisichotambuliwa (UFO) kilomita 300 katika anga la mji wa Sao Paulo. Wakati jeshi la Brazil linaanza kuchukua hatua...
  11. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema hakuna mtu yeyote ambaye anaruhusiwa kuchangisha fedha kufuatia tukio la ajali ya kupomoka kwa grorofa la Kariakoo. Pia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuzungumza katika eneo hilo akasema JENIFER JOVIN maarufu...
  12. JamiiForums Tanzania Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe

    Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo. Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu Makonda kuhusika na jaribio la kumuua lililofanyika mwaka 2017. Akiongea na wanahabari leo...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Mtwara afanya ziara bandarini na vyama 15 vya siasa ili wakawaambie wanachama wao uwekezaji uliofanywa na serikali

    Wakuu, Mambo hayo, kwani matokeo si huwa yanajionesha tu? Kitu kikijitembeza ndio unatuambia hamna kitu hapo, ni garasa. ==== Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala leo Novemba 18,2024 anafanya ziara katika bandari ya Mtwara akiwa na Vyama 15 vya siasa. Akizungumza na waandishi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini magari mengi ya serikali hayaharibiki sana ukilinganisha na magari ya watu binafsi japokua yapo road kila siku?

    Nalizungumza hili kwa experience sababu namimi ni mtumishi wa umma. Magari mengi ya watu binafsi utasikia kila siku garage trip kidogo gari lazima lipate hitilafu. HI ni tofauti hizi gari za serikali zinafanya kazi sana lakini huwezi kisikia kila siku lipo garage utakuta mara nyingi ni service...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA na ACT Wazalendo nendeni mahakamani mkausimamishe Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kwakua mmekubali kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na kujiingiza kwenye mtego wa kuhalalisha haramu ya CCM, basi nawashauri tumieni mbinu zote halali kudai haki yenu. Nendeni mahakani mkaiombe mahakama mambo yafuatayo. 1. Uchaguzi usimamishwe mpaka kasoro kubwa zilizojitokeza zitatuliwe...
  16. JamiiForums Tanzania Maafa Kariakoo: Usichangishe fedha tumia akaunti ya Serikali

    Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt Jim James Yonazi ametoa akaunti maalum ya Serikali ambayo Watanzania wataitumia ili kutuma fedha kwa ajili ya kuwachangia waliopata maafa Kariakoo. Jina la Akaunti National Relief Fund Namba ya Akaunti 9921159801...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Serikali zetu za kulakula bila kujali wananchi kuliko vifaa vya zimamoto na uokoaji

    Serikali hizi zetu za kulakula bila kujali wananchi. Ukijiuliza ni kwanini wanasiasa tu machawa ndiyo wana nunuliwa magari ya milioni 300 na mia nne kwa kazi za kufuta wagombea wa vijiji wakati zimamoto hawana vifaa vya kuokoa watu na mali zao. Hakuna hata mtu mmoja anafukuzwa kazi. Kila kitu...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali kuna haja kuomba msaada kwenye kampuni za uchimbaji madini Maana wana uzoefu Mkubwa na mambo kama hayo

    Kuna umuhimu mkubwa wa kuhusisha kampuni kama Barrick Gold au nyingine za uchimbaji madini ambazo zina vifaa vya kisasa na utaalam wa kushughulikia shughuli za kufukua vifusi kwa haraka na kwa usalama. Kampuni kama hizi zina vifaa na uzoefu unaoweza kuwa msaada mkubwa, hasa katika hali kama hii...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iweke uzio katika Shule ya Msingi Minga (Singida), kuna Watu wanawafanyia ukatili Watoto

    Suala la Watoto wadogo kukumbana na changamoto mbalimbali za kikatili kwenye taasisi za elimu limekuwa ni jambo ambalo linajitokeza mara kwa mara sehemu tofauti. Wadau wa sekta tofauti nao wamekuwa wakipiga kelele juu ta matukio ya aina hiyo kwa kuwa yamechangia pia kuharibu ndoto za Watoto na...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yafunga kiwanda chake cha kutengeneza magari kilichojengwa Syria miaka 20 iliyopita, sababu za kiuchumi na mahusiano mabaya zatajwa

    Wadau hamjamboni nyote? Kiwanda cha magari cha saipa kilijengwa na Serikali ya Iran huko Syria mwaka 2004 kwa ajili ya kuzalisha magari Hakuna kiwanda cha Iran kinachoendelea na uzalishaji nchini Syria kwa sasa Serikali ya Iran ikimiliki asilimia 80 huku Syria ikimiliki asilimia 20 Syria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…