serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa vyama vya upinzani wako mubashara Channel ten wanazungumzia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani wako mubashara katika kipindi cha Baragumu studio za channel ten wakizungumzia ushiriki wao katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Viongozi hao nguli wa kisiasa nchini wanamwaga cheche zao muda huu. Karibu!
  2. JamiiForums Tanzania Video: Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Serikali za mitaa CCM, nchi yatikisika, watu wakanyagana

    Mwenye macho haambiwi tazama
  3. JamiiForums Tanzania Vyama 7 vilivyojitoa uchaguzi wa mitaa vyatoa tamko la pamoja

    Nimesikia viongozi wa vyama vya upinzani wakiwaambia watu watege masikio ili wasikie maamuzi yatakayotolewa na viongozi wao kuhusu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwani serikali ya CCM wamekuwa wakijiamulia kufanya wanayotaka. Sasa hapa si ajabu ukasikia viongozi hao wamekamatwa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iagize waliopita mgambo waanze mazoezi nchi nzima ili wawe tayari kuwapiga watanzania watakaoharibu uchaguzi serikali za mitaa

    Nashauri kwamba watu wote waliopita mgambo nchi nzima wawekwe tayari na siku mbili kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa, wafanye mazoezi makali kabisa mitaani kama ishara ya onyo kwa watanzania wanaojiandaa kuvuruga amani. Serikali iinunue makontena ya rungu mpya na kuwagawia watu hawa
  5. JamiiForums Tanzania Serikali imetangaza kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uko palepale licha ya malalamiko mengi kutaka usifanyike

    Waziri Mkuu akoleza uchaguzi serikali za mitaa Mwananchi, Ijumaa, November 15 2019, Dodoma. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa Hakuna kulala uchaguzi wa serikali za mitaa uko palepape. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kauli ya Waziri Mkuu wa Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Walijitoa uchaguzi wa serikali za mitaa Kuishtakiwa?

    Tangia mwanzoni kulikuwepo na sintofahamu kwa wagombea wa upinzani kutotendewa haki. Jambo hili lilijitokeza pia kwenye kura za maoni ndani ya ccm ambapo uongozi wa juu ulimweka mtu waliomtaka na si yule aliyependekezwa na wananchi/wapiga kura wake. Kitendo hicho kilifanya zoezi la...
  7. JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kenya wamfagilia Magufuli

    WABUNGE wa Kenya wamemfagilia Rais John Magufuli, kutokana na kusimamia vizuri mapato na matumizi na ujenzi wa miradi, ambayo thamani ya fedha inaonekana katika utekelezaji wake nchini. Wakizungumza katika ziara nchini ya kujifunza namna Mfuko wa Jimbo unavyofanya kazi na kutembelea miradi...
  8. JamiiForums Tanzania Wapinzani Chukueni Tahadhari, Njama Walizopanga CCM Kuelekea Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa 2019

    Chama cha mapinduzi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwezi huu, kimepanga yafuatayo baada ya mipango ya awali kufeli, mipango iliyohusisha maelekezo kwa Watendaji wa kata, makatibu tawala wa wilaya, maafisa usalama wa taifa wa wilaya na waziri waziri mwenye dhamana wa Tamisemi. Sina haja...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Katibu Mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Hai alalamikia uamuzi wa Halmashauri Kuu kujitoa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    KATIBU mwenezi wa chama cha demokrasia na maendeleo, ndugu humphrey Munisi akihojiwa na waandishi wa habari ametoa malalamiko yake ya kutoridhishwa na uamuzi uliofanya na halmashauri kuu ya chama, kujitoa na kuelekeza wagombea wote kujitoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa. Amedai kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania NLD nayo yajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Chama cha upinzani cha NLD nchini Tanzania kimetangaza kutoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa nchini humo utakaofanyika Novemba 24, 2019. NLD inaungana na vyama vingine sita kususia uchaguzi huo. Vyama hivyo ni; Chadema, ACT- Wazalendo, UPDP, CUF, Chaumma pamoja na NCCR-Mageuzi. Taarifa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru mbona uko kimya kwa hili la uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

    Unajinadi kutetea haki, kusema kweli, CCM mpya na mapambio mengi tu kutoka kwenye kinywa chako na kwako kwa ujumla! Nimekusikiliza sana! Leo mbona ume -mute kama vile nothing is going on on your side, as if all is clean! Kweli unafiki, uzandiki and all sorts of filth ndio mwendo wa maisha ya...
  12. JamiiForums Tanzania UPDP nayo yajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa

    Hayo yamebainishwa leo na Mh Fahmi Dovutwa alipokuwa anaongea na waandishi wa habari , ambapo amewaagiza wagombea wote wa chama hicho nchi nzima kutoshiriki uchafu huo
  13. I

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umeharibiwa na Rais Magufuli mwenyewe

    watanzania ni wagumu kupambanunuwa mambo kwelikweli. Nimekuwa nikisikia watanzania wengi wakiwemo wanasiasa wakilaumu wasimamizi wa uchaguzi kwa kuharibu uchaguzi. Na wengine wakitaka raisi Magufuli atowe tamko la kukemea uchafuzi huo na kuchukuwa hatua dhidi ya walio husika na uhalibifu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa ufutwe

    Hakuna kuendelea na taratibu za Uchaguzi ambao umejaa hujuma na maigizo ya kisanii.Tuziombe taasisi zote za haki za binadamu,asasi za kiraria na vyama vya siasa waungane kushinikiza serikali kuondoa tarehe iliyopangwa Uchaguzi kufanyika na kupanga upya zoezi lianze upya. Hatuwezi kuingia kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

    Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
  16. JamiiForums Tanzania Rasmi NCCR Mageuzi yajitoa Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Chama cha NCCR-Mageuzi kimetangaza kujitoa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24. Msimamo huo umetolewa leo na Mwenyekiti James Mbatia jijini Dodoma. ==== Chama cha NCCR-Mageuzi kimetangaza kujitoa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Ulaya na baadhi ya balozi za nchi za Magharibi kutoa tamko juu ya uchaguzi Serikali za Mitaa

    Halo JF siasa. Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

    MATOKEO YA RUFAA ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTOLEWA NOVEMBA 10. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI SELEMANI JAFO akizungumza Jijini Dodoma amesema katika zoezi la kuchukua fomu kuna makosa mbalimbali yalifanyika katika kujaza fomu nyingi ikiwa ni pamoja na kaukosea majina ya eneo...
  19. JamiiForums Tanzania Vyama vilivyojitoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa wawashauri waliokuwa wagombea waandike barua ya kujitoa rasmi

    Hivi punde kuna taarifa ya Waziri wa TAMISEMI ikisema baada ya rufaa wagombea wote waliokuwa wamekata rufaa watarudishwa kwenye kinyang'anyiro. https://www.jamiiforums.com/threads/waziri-jafo-asema-atabandika-majina-hata-ya-wale-waliojitoa-na-kura-zitapigwa.1649064/unread Na ninavyofahamu mimi...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli wapitishe wagombea wa Serikali za Mitaa njia ile uliyopita wewe 2015 vinginevyo hawatakuwa makini

    Ninafahamu dhamana ya wizara ya Tamisemi iko direct mikononi mwa Rais Magufuli hivyo ushauri huu nampa akiwa katika nafasi yake ya ukuu wa Tamisemi. Ni kwamba wagombea wanaobebwa siku zote hawawezi kuwatumikia wananchi hivyo ni heri tukaachana na hii dhana ya kupita bila kupingwa ili tupate...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…