sekta binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kero ya Maji: Je, Tuzipe Sekta Binafsi Mamlaka ya Usimamizi?

    Licha ya jitihada za serikali,wananchi wengi bado wanakabiliwa na tatizo la upatikanaji wa maji. Je, umefika wakati taasisi za usambazaji wa maji zisimamiwe na sekta binafsi ili kuongeza ufanisi, uwajibikaji na kuboresha huduma? Maoni yenu ni yapi?
  2. JamiiForums Tanzania RAIS DKT SAMIA APIGANIA SEKTA BINAFSI.

    📌Ndani ya nchi aipendelea fursa, saaa mwelekeo ni hadi nje ya nchi. 📌Mwigulu asema amewasisitiza ishiriki kwenye mipango ya serikali 📌Yatengenezewa mazingira hadi Qatar, nia ni iwajibike Dira 2050
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu: Sekta binafsi ni muhimu kufikia uchumi wa dola trilioni moja

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema ushirikishwaji wa sekta binafsi ni muhimu katika kufanikisha malengo ya maendeleo ya Tanzania, hasa azma ya kufikisha thamani ya uchumi wa Taifa hadi dola za Marekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Jumapili, Septemba...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Deni la dunia limezidi dola trl 300. Kati ya hizo, Serikali zinadaiwa takribani dola trl 100, Sekta Binafsi trl 165 na Kaya trl 40

    Deni la Dunia na Nafasi ya PPP Arusha, TICD Katika muhadhara maalum wa umma, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Tanzania (PPPC), David Kafulila, alieleza kuwa deni la Tanzania bado liko katika kiwango kizuri ukilinganisha na wastani wa deni la dunia na Afrika. Hata hivyo, alisisitiza kuwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Km kuna wafanyakazi wananyanyaswa ni sekta binafsi na serikali imewatelekeza! Mfano VC wa Chuo Kikuu Makumira ni mtu katili, mnyanyasaji, mbaguzi

    Wafanyakazi wa taasisi binafsi ni km watoto yatima tu. Anzia utaratibu wa mifuko ya hifadhi za jamii(NSSF) wao wanakatwa 10% mwajiri anachangia 10%, PSSSF wafanyakazi wanakatwa 5% mwajiri(serikali) anachangia 15%. Siku ya mafao mwajiriwa wa sekta binafsi anapewa 35% ya mkupuo wakati wa serikali...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake afika Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinavyoweza kunufaisha Tanzania na Uganda

    Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake akaribishwa Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinzvyoweza kunufaisha nchi hizi Mbili
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Viwango vya mishahara sekta binafsi haviendani na viwango vilivopangwa na Serikali hasa kada ya watunza kumbu kumbu

    Changamoto ya salary scale kwenye mashirika yanayofanya kazi sekta binafsi baadhi Yao wanalipa mshahara mdogo ambao hauendani na salary scale iliyowekwa na Serikali na ni ajira za mkataba. Hata pale wanapohuisha mkataba mpya badala ya mshahara kuongezeka, unaweza ukabaki pale pale angali...
  8. JamiiForums Tanzania Nilikuwa sekta binafsi nimehamia serikalini, kuna namna naweza nikapewa michango yangu iliyopo NSSF?

    Wakuu salamu. Nilikuwa mwajiriwa wa sekta binafsi ambapo michango yangu ilikuwa ikienda NSSF, sasa nikafanikiwa kuhama huko mwaka 2023 nakuhamia serikalini ambapo mfuko wangun kwa sasa ni PSSSF. Lakini kule NSSF nina michango yangu, hivi nauliza kuna namna naweza nikapewa hiyo michango huko...
  9. JamiiForums Tanzania Walokole ndo chanzo cha migogoro Ofisi za Umma na binafsi

    Hawa watu ndo chanzo cha migogoro yote katika kila ofisi Hawa watu anaweza kua anakuchekea lakn anakufanyia majungu hata shetani mwenye anatamani ajifunze somo kwao Hawa watu wapo kama miungu watu hawakosea na sisi wengine ni subhuman Hawa watu kusengenya ndo kipaji chao kikuuu ondoka...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Museveni; Africa iliachwa nyuma kimaendeleo na Asia kwa sababu ya kutaifisha biashara za sekta binafsi.

    Huyu mzee ana madini hatari. Msikilize https://www.facebook.com/share/v/18Z3GKN5RQ/
  11. JamiiForums Tanzania Prof. Lettice: Kama mmeshindwa kuziba Mabomba tupeni sekta binafsi

    Profesa ataka sekta binafsi iokoe mamlaka za maji nchini Kongamano la Kitaifa kuhusu Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) katika Sekta ya Maji lililofanyika Mei 9, 2026 jijini Dar es Salaam limeibua mjadala kuhusu changamoto za ufanisi, ucheleweshaji wa huduma na mianya ya rushwa...
  12. JamiiForums Tanzania Prof. Kamuzora: Sekta binafsi haiwezi kuvumilia mabomba yanayovuja ni wakati wa sekta binafsi kusimamia mamlaka za maji

    “Tuna Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anayeelewa umuhimu wa sekta binafsi” Msomi na mchambuzi wa sera za kiuchumi, Aurelia Kamuzora amesema changamoto ya upotevu wa maji na uchakavu wa miundombinu nchini inaweza kupungua kwa kiwango kikubwa iwapo sekta binafsi itapewa nafasi kubwa zaidi katika...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tumkubali Askofu Bagonza: Sekta Binafsi Inapobanwa, Serikali haiwezi kuajiri kila mtu

    Katika nchi yetu, hoja inayotolewa na Askofu Bagonza kuhusu sekta binafsi ni ukweli ambao baadhi ya viongozi bado hawapo tayari kuupokea. Kumekuwa na mtazamo kuwa mwajiri mkuu na pengine wa pekee—ni serikali, huku sekta binafsi ikiwekwa pembeni kana kwamba mchango wake hauonekani. Hali halisi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!

    Kwa ujumla inajulikana Watanzania wengi sio waaminifu unapowaajiri kazi. Tena wana ukosefu wa uaminifu wa kijinga sana. Unakuta umeajiri watu ambao walisota muda mrefu bila kazi, huenda hata wengine ni ndugu zako. Kisha wanatumia hiyo ajira kuiba hadi wanaifilisi biashara au kampuni...
  15. JamiiForums Tanzania Mwongozo Mpya: Kima cha Chini cha Mshahara Sekta Binafsi (Januari 2026)

    Kufuatia marekebisho ya serikali kupitia Labour Institutions (Minimum Wage for Private Sector) Order, 2025, viwango vipya vya mshahara vimeanza kutumika. Ni muhimu kwa kila mfanyakazi na mwajiri kufahamu viwango hivi ili kuhakikisha haki na wajibu vinatekelezwa kwa mujibu wa sheria. Hapa kuna...
  16. JamiiForums Tanzania Je, una jambo lolote linalohusu mifumo ya Serikali au sekta binafsi lakini hujui uanze wapi au ufanyeje?

    Je, una jambo lolote linalohusu mifumo ya Serikali au sekta binafsi lakini hujui uanze wapi au ufanyeje? Je, unajiuliza ni nani wa kumuamini akusaidie kutekeleza majukumu muhimu ya kibiashara au binafsi kwa niaba yako? Jibu ni Amicable Group Holdings Limited. Ni kampuni iliyosajiliwa kisheria...
  17. J

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka adai Wakinga, Wapemba, Wanyantuzu, Waha, na Wachaga, ndio vinara wa sekta binafsi Tanzania.

    ..RC Mtaka anadai Kariakoo haiwezi ku-survive bila ya uwepo wa Wakinga. ..sikiliza mahojiano yake hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=USgtsZ6LwvY
  18. H

    JamiiForums Tanzania Njia madhubuti ya kupunguza tatizo la ajira Tanzania ni kwa kuweka nguvu zaidi kwenye sekta binafsi

    Uimarishaji wa Sekta Binafsi: Sekta binafsi ndio chanzo kikuu cha ajira katika nchi nyingi duniani. Mfano, nchini Kenya, serikali imewekeza katika kuimarisha mazingira ya biashara kwa sekta binafsi kupitia mpango wa Big Four Agenda, ambapo viwanda vya ndani vimepewa kipaumbele. Tanzania pia...
  19. JamiiForums Tanzania Mateso ya Sekta binafsi ye NSSF wanatunyima mafao yetu

    Tuliofanya kazi sekta binafsi kwa mshahara kidogo na mateso makali na mwisho Mungu akajalia tukapata serikali leo tunajua pesa ya NSSF itakuwa msaada kwetu lakini sheria za hovyo alizopitisha Magufuli tunanyimwa. Naomba serikali ione huruma ili tunaopata kazi serikali tulipwe hiyo pesa ili...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza mshahara wa kima cha chini Sekta binafsi mpaka Tsh 358,322

    Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imetangaza kima cha chini cha mshahara wa sekta binafsi ambapo sasa itakuwa ni Sh358,322 kutoka Sh275,060 ikiwa ni ongezeko la asilimia 33.4. Kima hicho kitaanza kutumika rasmi Januari Mosi mwaka 2026. Ikumbukwe Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…