sauti ya wananchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bulama

    KERO Ujumbe wa malalamiko dhidi ya viongozi wa Wilaya ya Missenyi

    Serikali imetangaza kuwepo kwa ukame katika baadhi ya mikoa nchini. Hata hivyo, licha ya taarifa hizi za kitaifa, viongozi wa Wilaya ya Missenyi wamepuuza uhalisia uliopo katika Mkoa wa Kagera—hasa Bukoba na Missenyi—ambapo kumekuwa na mvua za kutosha na mazingira mazuri kwa uzalishaji wa...
  2. ERTUGRUL BEY

    Sauti ya Wananchi inapogeuka kuwa Dhoruba

    My people, Utangulizi Maandamano ni mojawapo ya njia kuu ambazo wananchi hutumia kueleza maoni yao, kudai haki, au kupinga maamuzi ya serikali. Kihistoria, maandamano yamechangia mabadiliko chanya katika jamii nyingi. Hata hivyo, kuna nyakati ambapo maandamano, badala ya kuwa daraja la suluhu...
  3. Genius Man

    Sauti ya wananchi inatosha kuamrisha jeshi wananchi ndio msingi sio mtu mmoja aliyekataliwa na aliyejisimika madarakani kinyume cha sheria

    Sauti ya wananchi inatosha kuamrisha jeshi wananchi ndio msingi sio mtu mmoja aliyekataliwa na aliyejisimika madarakani kinyume cha sheria. Huyu aliyejisimika madarakani atakapo iba inamaana hatakuwa ameiba tu kwa wananchi atakuwa amekuibia na wewe askari.
  4. R

    GE2025 Makonda: Sauti ya wananchi inasikika kwenye sanduku la kupiga kura, Tupeni kura za kutosha tupiganie maendeleo

    Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema wananchi wana wajibu na haki ya kushiriki uchaguzi utakaofanyika Oktoba 29, 2025 akibainisha kuwa sauti yao inasikika zaidi kupitia kura wanazopiga kuwachagua viongozi wanaowataka. Akizungumza na wazee katika...
Back
Top Bottom