sauti ya mungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Waumini wa Mashahidi wa Yehova, Wasabato na makanisa mengi ya kilokole wanaona aibu jinsi makanisa yao yalivyo kimya

    Wahenga walisema hata saa mbovu kuna muda husema kweli. Haya yasingetokea waumini wengi sana wasingejua upande wa makanisa yao
  2. Just Pray

    GE2025 Salumu Mwalimu: Nasikia sauti ya Mungu, Siukimbilii urais kwa sababu nautamani kwa masilahi yangu

    "Siukimbilii urais kwa sababu nautamani kwa masilahi yangu, ila naisikia sauti ya Mungu, ikiniambia nenda kawasaidie watanzania wenzako na hiyo ndio inanipa ujasiri." "Nchi hii imejaliwa kila aina ya neema, madini kila kona, bahari, mito na ardhi takatifu, nchi imejaliwa vivutio vya kila aina...
  3. Mikopo Consultant

    GE2025 Mwangwi wa Baragumu la NRNE bado unalitetemesha Taifa; ni sauti ya Mungu kwa watanzania, na Lissu ndio Nabii!

    Shikamooni Wajumbe! Mlimsikia Mke wenu mkubwa? Kaeni mkao kuyasikia ya Ukweni! Kama ambavyo kuna watanzania wenzetu hatunao sasa, waliotamani kuona reforms za uchaguzi zikifanyika, lakini hawakulishughudia hilo likitokea kwenye maisha yao; yawezekana pia hata kizazi hiki kisishughuhudie hilo...
  4. Just Pray

    GE2025 Catherine Ruge: Nimesikia sauti ya Mungu, nitagombea Serengeti

    Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uchumi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Catherine Ruge (Msubhati) amesema ameamua kusimama na kugombea ubunge wa Jimbo la Serengeti Mkoani Mara, kwa lengo la kupigania haki za wananchi na kurejesha matumaini kwa jamii inayokabiliwa na changamoto mbalimbali...
  5. Setfree

    Jinsi ya kuisikia Sauti ya Mungu

    Ndugu zangu, Mungu yupo na amekuwa akiongea na watu wake tangu zamani hadi leo. Katika maisha ya kila siku, Mungu anatumia njia mbalimbali kuwasiliana na sisi. Lakini mara nyingi tunakosa kuisikia sauti yake kwa sababu ya 'kelele' nyingi za ulimwengu huu au mioyo isiyotulia. Katika kitabu cha...
  6. M

    Sauti ya watu ni sauti ya Mungu CHADEMA kwa mafuriko haya tumepona. Mapambano yaendelee

    Kilichofanyika kwenye uchaguzi huu wa Chadema wa kumgo'a Mbowe ni ushindi na sauti ya Mungu. Wanachama walizungumza na Lissu akawa mshindi hii ndiyo Demokrasia. Sasa mtu anasema eti ananyanyaswa na uongozi mpya ndiyo sababu ndogo kabisa ya kuhama huo ni udalali. Chadema ni chama cha wananchi...
  7. Paspii0

    "Vox populi, vox Dei (Sauti ya watu ni sauti ya Mungu)

    👉🏾Katika nadharia isiyoelezeka kisayansi napendelea kusema mapenzi au maoni ya watu wengi yana uzito mkubwa, na yanaweza kuonekana kama ishara ya mapenzi ya Mungu. Katika mitazamo ya kidini,ikiwemo Ukristo na Uislamu, kuna mafundisho yanayosema kwamba Mungu ndiye chanzo cha mamlaka yote...
Back
Top Bottom