sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa uliyenifanya hivi umenikosea sana💔

    Katikati ya mambo magumu hivi Kuna mtu anafanya muamala na kuweka namba yangu. Hili limeniuma mno 💔 41092 kama upo humu njoo PM nikuelekeze jambo Anyway D9 mstari wa mbele kabisa
  2. JamiiForums Tanzania Moja ya habari ilionisikitisha sana mwaka huu ni hii

    Huko pakistan, wengi wa watoto wa kike wanapozaliwa wanatupwa na mama zao kutokana na utamaduni uliopo katika jamii zao wa kupendelea zaidi watoto wa kiume. Pakistan ni moja ya nchi duniani ambazo wasichana wanapitia uminyaji wa hali ya juu. Ndoa za utotoni, ndoa za kulazimishwa, ubakaji...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hata waliokufa leo walikiona kifo kana kwamba kiko mbaali sana, kisa wewe ni kiongozi unakuwa na Kiburi?

    Kiburi cha wanadamu chatoka wapi? Kwa sababu wewe una cheo fulani na vile unapojiangalia unaona umezungukwa na ulinzi mkali, umezungukwa na kila aina ya silaha ndio sababu ya kuwadhihaki waliokufa leo na wewe kujiona u salama kushinda wao? Unaowadhihaki hao, nao walikiona kifo ni kana kwamba...
  4. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa (Sheikh) ameichambua vizuri sana hotuba ya Samia kwa Wazee wa Dar.

  5. JamiiForums Tanzania Moja ya sababu ya Marekani Kutathimin Uhusiano na TZ ni "Ukandamizaji wa Uhuru wa Kuabudu/Shughuli za Kidini Kwa Wakristo"

    Mwambieni Samia, Marekan inaposema Ukandamizaji wa KIDINI , Huwa inazungumzia UKRISTO. Na Kwa Nchi yetu, Mkristo pekee anayesumbuliwa na Serikali Kila Kukicha ni CATHOLIC . Sambamba na Kanisa la Ufufuo na Uzima, ila CATHOLIC Hawa ndio wamefanya Marekani àzungumzie hivo. Marekani na Ulaya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki kinachoendelea kisichofikia hata robo ya vita, nahamasika kujenga zaidi kijijini, ngoma ikivuma sana ikalipuka tutaishi vichakani kama kuku

    Baada ya matukio ya MO29 (Oktoba 29) na sasa tukiwa tunaelekea kwenye maandamano ya D9 (Desemba 9), hali ya taharuki imeongezeka sana. Yale tuliyoyaona MO29—ambayo hata hayafikii robo ya hali ya vita yamenifanya kuwa makini sana. Mijini hali ni ngumu. Huwezi kutulia wakati mambo yanapowaka...
  7. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally

    Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally Serikali inachukizwa sana na kitendo cha kujivunia mapato kinyume na Sheria Biashara isiyokuwa na Leseni pamoja na biashara isiyolipa kodi Makosa haya yanawezakumwingiza hatiani Kesi yake ingekuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kuwatetea Waislamu, nadhani mmewaona

    TEC hakuna mahali popote walitopo tamka wala kuongelea usislam ama waislamu. Wao wamekuwa specific juu ya hii serikali ya wahuni inayoua na kuteka raia wake. Chaa ajabu kobazi huwezi ona kati ya matamko yao wakiikemea utekaji,uuaji na injustice inayendelea nchini. Waislamu Wao wako bize...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Niffer: 'Mimi niko vizuri' Mungu awabariki sana wote walionipigania

    Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mfanyabiashara wa vipodozi maarufu, Niffer, amewashukuru Watanzania wote waliomwombea na kumpigania alipokuwa mahakamani na gerezani, ambako alikuwa akikabiliwa na tuhuma za uhaini zinazodaiwa kutokana na madai ya kuhusika kuchochea...
  10. JamiiForums Tanzania Huu wimbo unaendana sana na hali ya sasa, Heshima imerudi

    https://youtu.be/VS3BHKMqbu4?si=GoJgDZwYpmbx7N6M
  11. JamiiForums Tanzania Itachukua miongo mingi sana kuipata tena hotuba hii iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan

    Hakika Uongozi huwekwa na Mungu. Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongea na wazee wa Dar Es Salaam. Hii ni Hotuba nzito sana iliyoonesha Upole, Ukweli na dhamira njema. Hotuba hii imeonesha kuwa Rais yupo well informed. Hotuba hii imetambulisha adui ni nani...
  12. JamiiForums Tanzania M/Kiti Baraza la Wazee DSM: Sisi tunatambua kampeni za uchaguzi na upigaji kura vilienda vizuri sana.

  13. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dr. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwenye bahati sana

    Kwa kweli sitaongea mengi kuhusu jambo hili, ila itoshe kusema kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwenye bahati sana katika maisha yake na historia yake inaonesha nafasi nyingi kubwa za kiuongozi zimekuwa zikimfuata zenyewe bila yeye kufanya jitihada kubwa. Asanteni.
  14. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliyemshauri Samia leo kuongea na Wazee wa Dar kakosea sana

    Samia anakuja kuongeza hasira za vijana kuandamana badala ya kuja kuponya majeraha. Najua atasema, vijana walilipwa, akijua anawatetea kumbe ni dharau kwao kuwa hawana akili ya kuamua mustakabali wa maisha yao hadi walipwe. Atasema, walioandamana hawakuwa watanzania, wakati waliokamatwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni rahisi sana kutabiri atakachozungumza Samia na Wazee wa Dar Dec 02

    1. Maridhiano 2. Ahadi ya Katiba Mpya. 3. Hadaa na ulaghai mwingi anaodhani utawafanya waTanzania wavumilie utawala wake mbovu Asichoweza kuzungumzia: 1. Mauaji ya waTanzania 2. kukiri na kujutia sababu za msingi zilizopelekea kutokea mauaji
  16. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kuongoza kizazi hichi kwa viongozi waliopitwa na wakati

    Kwanza mnatakiwa kabla hamjafanya chochote kutoa Taarifa kwa umma inabidi mtulie, muichambue kwa makini, vijana wa leo wanajua mambo mengi na wanauwezo mkubwa wa kuchakata mambo. Hii comment hapo chini imenifurahisha sana ikiiilenga shirika la umeme kwa kutoa kanusho.
  17. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe aliona mbali sana aliposema Samia must go

    Haya mambo tunayoona yakiwekwa kwenye agenda ya 9D kuhusu SSH Must Go Mbowe aliyasema siku nyingi na sasa tunaona yanakaribia. Twende mbele.
  18. JamiiForums Tanzania PHD Kitima kanyooka sana akili kubwa hajaja kutusomea yaliyotengenezwa kwenye karatasi bali nondo zinatoka kichwani hapo hapo

    PHD Kitima kanyooka sana akili kubwa hajaja kutusomea yaliyotengenezwa kwenye karatasi bali nondo zinatoka kichwani hapo hapo.
  19. JamiiForums Tanzania Tuliambiwa huyu amesilimu. Sisi huwa tunapenda sana kujidanganya

    FaizaFoxy sheikh gani alikuambia Ronaldo amesilimu? Maana masheikh wengi shule hamna. Na msingi wa imani yetu umejengwa kwenye ulaghai, udanganyifu kwa umma.
  20. JamiiForums Tanzania Kiswahili ni lugha yenye vikwazo sana

    Najua wengi wenu hapa ni wazalendo hivyo itakua ngumu kwenu kukubali hili ntakalosema. Kiswahili ni lugha limiting sana. Ndio, katika maisha yakawaida ya kila siku, haina shida. Leta maji, leta kikombe, nenda pale, nipe hiyo. Hapo hakuna shida, na ni vizuri nchi nzima inaongea kwa kiswahili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…