11/12/2025 when i was sleeping during midnight
I saw ♦️ red crystal from the sky was falling toward the road.
One servant of God said
“She is in the process to have death“
Pray for Tanzania 🇹🇿
Proverbs 14:34
"Righteousness exalts a nation, but sin is a reproach to any people."
Huo ndio ukweli,kale ka hotuba ulikokaandaa kabla ya tnondo za kitima ka edit kwanza au kaa kimya tu!!
Hakuna aliejiandaa kukuelewa kabisa hasta wanaccm wenzangu wengi hawatokuelewa, Tanzania inanuka damu iliyomeagika October 29,Damu haiwezi kulipwa Kwa vijineno kama hivyo na komedi za nchemba...
Unabii uliotolewa kuhusu Nchi ya Tanzania
Mungu hajafurahishwa na Madaraka ya sasa
Watanzania Tuungane Tuombe kwa Pamoja kuombea Nchi kuhusu Utawala
Mungu atatusikiliza (Tumuombe) hii ndio Option tuliyonayo tuliopewa na Mungu
Kabla ya Roho ya Vita kuachiliwa
Kwa muda mrefu Tumepewa Amani...
Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake”
wewe Fanya observation utaona
Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili.
Inaweza kumaanisha pia kuwa hakuna mtu mkamilifu kiakili
kila mtu ana mapambano yake ya ndani...
afya ya akili
akili
binadamu
ccm
chadema
characters
elimu
facts
jamii forums
jitambue
marco seth
mental
mijadala
mind
new posts
no reform no election
psychology
samiah
tabia
tanzania
trending
ufahamu
ukichaa
Ni rahis kusema CCM inaharibu nchi,Samiah kafanya vile pia wanasiasa wanafanya bike ndio maana tumefika hapa!
Kabla samiah hajashika madaraka Tanzania ilikuwepo,kabla ccm haijaanzishwa mwaka 1977 Taifa lilikuwepo,na kabla mwingine hajawa rais was nchi atakuta Taifa liitwalo Tanzania lilisha...
Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na...
Kiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais, toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka, kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.
TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI...
Hakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎.
Namshukuru Mungu alinipa siri yake
Nikawa nafaulu
Baadaye nikafkia stage nikawa napata 97% kwenye Physics
Kila kitu kinawezekana
Physics na Math ni masomo yanayohitaji watu waliotayari kufikiria sio wazembe .
Watu waliopewa uwezo na Mungu
Kuyavumbua na...
God In his Creation
Created Gravitational Force
Gravitational force is the fundamental force of nature that cause objects with to attract each other
According to Universal law of Gravitation
State that
The Universal Law of Gravitation, also known as Newton's Law of Universal Gravitation...