samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Samia au mtoto kwa kikwete walikuwa wana nafasi nzuri ya kushinda uraisi kwa haki sio kwa njia hii wanayoitumia

    Katika uhalisia samia alianza vizuri na alikuwa na njia zote za kujenga akubalike kama raisi ambapo hata tungeweka tume huru angeshinda lakini amefanya makosa na amechagua njia mbaya inayomchafua kwenye sura za nchi na za kimataifa njia mbaya sana. Mtoto wa raisi mstaafu kikwete pia alikuwa na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anadanganywa, kutawala nchi kuanzia 2026 ni mzigo

    Hii nchi ya mitandao na Watanzania pamoja na kwamba wapo slow wamesha anza kugawanyika hasa vijana. Haitakuwa rahisi kama mnavyofikiria na tatizo sio chadema bali watanzania wamenadilika. Askari pekee hawatatosha
  3. JamiiForums Tanzania Mh Babu aliponusurika mwanao walikuwa wamekuda 10 siku hiyo kwa uzembe wao, kusema ukweli Dr Samia katurudisha enzi za jakaya

    Mh Babu, kama utanibishia tafadhali familia vifo vya siku hiyo vipo 10 watoto walikufa WA uzembe wa watumishi. Kama unabisha njoo mm Niko hapa uone ni aibu mawenzi watu wanakula mnoooó
  4. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia akiwasili kwa Bashasha na Tabasamu Mlimani City katika Harambee ya Kuichangia CCM Billion 100. Watu Waandaa Maburungutu ya Pesa kuimiminia

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Samia na CCM wanajiandaa kutumia Billion 700 na Billion 100 ya CCM kutanua wakati wa kampeni

    Wakati wakandarasi hawalipwi na wanalazimika kulipa 10% hata kama pesa imechelewa serikali na Mama Samia wanajiandaa kutanua wakati wa kampeni na chama cha ubwabwa Wamajiwekea buget ya kutumia Billion 700 na Billion 100 ya CCM pekee. Kati ya pesa hizi vyama sindikizi vitasaidiwa
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 RC Kihongosi aongoza Wananchi wa Arusha kumdhamini mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kenani Laban Kihongosi leo Jumanne Agosti 12, 2025 amewaongoza wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Arusha kujitokeza kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Arusha, kumdhamini Mgombea Urais wa Chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Simiyu umefikia shiling trilioni 3.5 ndani ya miaka minne

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anamringi Macha, ameeleza kuwa hali ya uchumi ya mkoa imeendelea kuimarika ambapo Pato la Mkoa limeongezeka kutoka shilingi Trilioni 2.5 mwaka 2020 hadi shilingi Trilioni 3.5 mwaka 2024, sawa na ongezeko la asilimia 40%. Aidha, pato la mtu mmoja mmoja limeongezeka...
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Anamringi Macha: Samia legal Aid yaokoa 177,000 Simiyu

    Akiongea na Wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anamringi Macha, amesema kuwa kupitia kampeni ya Kitaifa ya Samia Legal Aid, wananchi 177,114 (wanaume 80,000 na wanawake 97,114) wamepata elimu ya msaada wa kisheria ili kuongeza uelewa wa haki zao na taratibu za kisheria. Vilevile, watoa...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais, Coaster Kibonde: Nikishinda Urais, Rais Samia atabaki Ikulu

    Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Demokrasia Makini Coaster Jimmy Kibonde amesema "nikishinda urais, Rais Samia atabaki Ikulu"
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama w CCM Tabora wajitokeza kumdhamini rais Samia

    Wanachama wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Tabora wamejitokeza kushiriki zoezi la kujaza fomu ya kumdhamini mgombea mteule wa nafasi ya Urais kupitia Chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Mwakajumba na moyo wa shukrani kwa rais Samia na wajumbe wa CCM Kyela

    BAADA ya kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zilizofanyika Agosti 4,2025 nimejipa jukumu la kuzungumza na baadhi ya wagombea ambao wapo tayari. Mmoja wa wagombea niliyezungumza naye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutoka Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya. Mwakajumba ni mmoja wa...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Mambo muhimu ya kumdai Rais Samia kwa mwaka 2025-2030

    Hii ni thread muhimu ya Mambo muhimu ya kumdai mgombea Urais kupitia CCM tunapoelekea kufanya uchaguzi oktoba 29. Katika thread hii tuweke bila aibu ni mambo gani muhimu anatakiwa atimize iwapo atachaguliwa kushika kiti adhimu cha Urais mwaka 2025 hadi 2030. Ni wazi na bila shaka watanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Samia haoni aibu kushindana na Mpina na Salim Mwalim

    Nimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia watu 100.
  14. J

    JamiiForums Tanzania RC Kanali Evans Mtambi: Chini ya Rais Samia Hati Miliki mpya 4,400, Hati za Kimila 7,400 zilitolewa na migogoro 840 ilitatuliwa kwa haki na uwazi

    == Chini ya Rais Samia, Serikali ya Awamu ya Sita imetoa mkopo wa shilingi bilioni 2.8 kwa Halmashauri mbalimbali kwa ajili ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi, hatua iliyosaidia kupunguza migogoro ya ardhi kutoka 964 mwaka 2020 hadi 125 mwaka 2025. Aidha, utoaji wa hati miliki umeongezeka...
  15. J

    JamiiForums Tanzania RC TABORA: Mkoa umepokea kiasi cha TZS226bn kwa ajili ya barabara tayari kilometa mpya 100 za lami zimejenjwa ndani ya miaka minne ya Rais Samia

    Katika ripoti yake kwa waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora amesema yafuatayo namnukuu Katika kipindi cha 2021|25 Serikali ya Rais Samia imetumia TZS225.993bn kwa mchanganuo ufuatao TANROADS TZS124.277bilioni, TARURA TZS101.716bilioni kuimarisha mtandao wa barabara wa kilometa 10,592...
  16. J

    JamiiForums Tanzania RC Paul Matiko: Uzalishaji wa Maziwa Mkoa wa Tabora umeongezeka kwa 200%

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe Paul Matiko Chacha anasema Chini ya Rais Samia sekta ya Mifugo Mkoa wa Tabora imeimarika kupitia ujenzi wa majosho 16 mapya na kufikisha jumla ya 95 yenye uwezo wa kuhudumia ng’ombe 889,183. Ananendelea kwa kusema Serikali pia imetoa pikipiki 44 kwa maafisa mifugo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa Tumbaku umeongezeka mara mbili kwa kipindi cha miaka minne

    Akiongea na waandishi wa Habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora anasema Serikali ya Awamu ya Sita imetoa TZS 52.8 bilioni kwa ruzuku ya mbolea, mbegu na miradi ya umwagiliaji ili kuongeza tija na usalama wa chakula. Skimu za umwagiliaji nazo zimeongezeka kutoka 25 mwaka 2020 hadi 46 mwaka 2025 na eneo...
  18. J

    JamiiForums Tanzania TISS na wasaidizi wengine wa Rais Samia, chukueni hili

    Rais anao wasaidizi waliosomea fani za Idara au Kitengo husika. Katika kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu japo Kampeni hazijaanza rasmi kwa ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi, lakini ukweli ni kwamba tupo busy na Kampeni. Ukizunguka huku na kule utaona mapikipiki, khanga, baiskeli nk. Hivi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Wazazi pelekeni watoto shule wasome

    Katika hotuba yake kwa wanahabari anasema Chini ya uongozi wa Rais Samia utoaji wa huduma za elimu mkoani umeimarika kwa kiasi kikubwa kupitia ujenzi na ukarabati wa miundombinu pamoja na ongezeko la walimu. Serikali imetoa jumla ya TZS 146.69 bilioni kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2025 kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tazama matukio muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu 04 - 10 Agosti 2025

    #IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii. 📆 Tarehe 04 - 10 Agosti, 2025
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…