samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia unalea tabia zitakazokutesa mwenyewe

    Kitendo cha Sheikh kusimama na kusema mtu yaani Lissu anyongwe halafu ukakaa kimya bila kukemea pale pale inaleta picha mbaya 1. Rais ni National comforter 2. Rais ni Miezi wa nchi 3. Rais anapaswa kuunganisha watu si kuachia chuki zikaenea, Mheshimiwa Mwenyekiti wa CCM pale Kawe ilikuwa ni...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kiswahili ndiyo Lugha ya kutuunganisha Afrika, Tanzania tuko tayari kutoa Walimu na vifaa vya kufundishia kuja Comoro

    Rais Samia amesema Kiswahili kina uwezo wa kuwaunganisha Waafrika na kupendekeza kitumike kama lugha ya mawasiliano, elimu na biashara katika nchi za Afrika, ikiwemo Comoro. "Lugha pekee ya Kiafrika inayoweza kutuunganisha au kuunganisha watu wetu ni kiswahili, hivyo ilikujenga umoja nitumie...
  3. JamiiForums Tanzania Idadi ya Wapiga Kura inavyoshuka licha ya kuongezeka kwa waliojiandikisha – Taifa lenye hofu, hasira na kukata tamaa

    Wakati Tanzania ikiendelea kujigamba kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi, takwimu haziungi mkono propaganda hiyo. Hii hapa ni grafu inayoonesha wazi takwimu kutoka mwaka 1995 hadi 2020 kuhusu: 1.Idadi ya watu (population) 2.Idadi ya waliojiandikisha kupiga kura 3.Idadi ya waliopiga kura...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Samia anataka atuchagulie wakristo hadi makanisa ya kusali!?

    Hichi kitendo cha kuwa anaya ponda baadhi ya makanisa wazi wazi akiwa kwenye hayo matamasha yake ina maana gani wakuu!? Kwamba yeye ndio anajua kanisa lipi la kweli na lipi la uongo mpaka ayaponde wazi wazi vile!?
  5. JamiiForums Tanzania Serikali imempa Mwamposa kiwanja Cha umma lakini Yanga hadi leo wanasumbuliwa ujenzi wa uwanja jangwani

    Mwaka 4 huu yanga bila bila serikali ya Samia imekwamisha vibari na eneo kidogo la kuongezwa kujenga uwanja Je Mwamposa ni special kuliko taasisi zingine za umma? Vibali vya ujenzi wa uwanja kwanini serikali inavikatalia ? Kuna ajenda gani kwenye hizi Simba na Yanga serikali kukwamisha...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

    Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ? Sasahivi kila...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kwa utulivu na amani

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Dar es Salaam, Julai 5, 2025 amezindua hema jipya la ibada la Askofu Mwamposa (Arise and Shine) na kusisitiza kuwa dini zina jukumu la kuwakumbusha wananchi kutunza amani ya nchi. Amesema jana akiwa na wasaidizi wake waliona taarifa mtandaoni ikionyesha kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Usipokuwa na hofu ya Mungu wewe si mwanadamu ni mnywa damu

    "Ni imani yangu hema hili litatumika kujenga jamii yenye maadili na jamii yenye hofu ya Mungu. Ni kupitia tu hofu ya Mungu na ndiomaana Mungu akatushushia dini na miongozo ndiyo mwanadamu anasimama kuitwa mwanadamu, na nilisia hapa mtu mmoja anasema kuna wanadamu na wanywa damu, sasa usipokuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Sheikh Mawinda: Kazi ya Rais Samia ni kubwa, jukumu letu ni kumuombea, sio kumzodoa na kumpinga

    Makamu Mwenyekiti wa Maridhiano na Amani Tanzania kupitia Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Mohammed Abdallah Mawinda amesema "Kwa kazi anayoifanya Rais Samia, jukumu letu ni kumuombea dua ili aone tupo pamoja naye, sio kumpiga vita, kumpinga au kuzodoa" "Urais kazi ndugu...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kauli za Rais Samia zilizokosa uzalendo

    1.Kifo ni kifo tu. 2.Hayo madini tembo hawali kayachimbeni ila kitalu C msikiguse. 3.Bandari ni maji tu watu awahami nayo leteni watu wakabidhini waiendeshe. 4.Utekaji ni drama za wapinzani. 5.Katiba ni kijitabu tu. 6.Kula urefu wa kamba yako ila usivimbewe. Ongezea kauli za Rais Samia...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Aongeza Fedha za miradi ya maendeleo kutoka Trilioni 5.91 Mwaka 2015 Hadi Kufikia Trilioni 15.4 Mwaka 2024

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiona vyaelea Ujue Vimeundwa ,ukiona miradi ya maendeleo inachipua na kumalizika kwa uharaka ,ufanisi na kwa kupendeza ujue juu yake kuna mikono ya Rais Samia ,ukiona Bwawa la Mwalimu Nyerere lililoachwa likiwa 34% limekamilika kwa uharaka na kwa ubora wa 100% ujue ya...
  12. JamiiForums Tanzania Majaliwa aliokua kuitamka "Dakta" Samia Suluhu Hassan

    Mwamba aliipatia Sana kila mara akiongea lazima achomekee Dakta Mama yetu. ila ndo vile kapigwa pin
  13. JamiiForums Tanzania Kauli ya Kikwete 'Kuna mwanasiasa maarufu kumzidi Samia?' Ina maana CCM wanazingatia umaarufu sio ubora wa kiongozi

    Nimesikitishwa sana na kauli ya Kikwete alipokuwa akihutubia katika mkutano mkuu wa CCM, alipokuwa akiwajibu wale waliokuwa wanaonesha nia ya kukitaka kiti cha uenyekiti na urais kwa kutaka kuchukua fomu kuomba ridhaa ya kuwa mgombea urais ndani ya CCM. Katika maelezo yake Kikwete anawahoji...
  14. JamiiForums Tanzania Samia amebaki na wakina nani serikali mbona kituko?

    Kipindi Cha Nyerere wasomi walisoma kuja kulitumikia Taifa kweli kweli na Nyerere aliwatumia baada ya kuwasomesha nje Mwinyi,Mkapa, Kikwete the same Magufuli ndio usiseme alifuata ma professor mpaka vyuoni Udsm na Mzumbe. Ndalichako Kabudi Kijazi Mfugale Mawaziri CV zilishiba kweli kweli watu...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere Angefufuka Leo Hii Angebubujikwa Machozi ya Furaha Utafikiri amepigwa Bomu la Machozi na Kumshukuru Rais Samia kwa kutimiza Ndoto Zake

    Ndugu zangu Watanzania, Kama leo hii Kungetokea muujiza Wa Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kufufuka kutoka Kaburini Butiama alikofumba macho na alikolala Usingizi wa Milele na kurejea hapa Nchini na kutazama yale yanayofanywa Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  16. JamiiForums Tanzania Aliyepinga utaratibu wa Samia kupitishwa kuwa mgombea u-Rais wa CCM mwaka 2025 atangaza kwenda Dodoma 1/7/2025 kuchukua fomu ya kugombea u - Rais

    https://youtu.be/6IzjauB7SKs?si=Wf1SZWRYBy-7f1eJ Ilikuwa awe ameenda siku ya J'nne tarehe 1/7/2025 sijui ni kitu gani kilimsibu hakufanya hivyo... Tunajaribu kufuatilia kujua kitu gani kilimkwamisha japo tetesi zinasema wazee "wasiojulikana" walitanda na kuziba kila njia za kutoka ktk mji wa...
  17. JamiiForums Tanzania Samia anatakiwa kupumzika it's over!

    Nashauri Samia apumzike apishe wengine wafanye kazi Pia watu wake wa karibu wote WANATAKIWA kupumzika Asipokubali atatoka kwa aibu Ni ushauri anaweza kuuchukua au kuuacha ila aongee na nafsi yake pia aongee na Mungu wake Asije kusema atukumwambia Samia anayekwambia ukweli anakupenda Sana ...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Ina maana hizi barua zote Samia na Serikali yake hawazioni au wanazipuuza

    Marekani imeonya. Nchi za Ulaya zinaonya. DUA-Africa inaonya. IDU-The International Democracy Union ilionya. Kwamba sisi ni special sana duniani au ni kibri na jeuri tu tuone watafanya nini. Yetu macho, Ila aonywaye mara nyingi huvunjika shingo.
  19. JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia, ondoa uonevu huu dhidi ya watoto wa kiume wa Tanzania, na nature itakushuru vizazi na vizazi

    Rais wangu Samia, ninakuomba Sana utakapo rejea madarakani, ubadilishe sheria hii kandamizi dhidi ya vijana wa kiume nchini Tanzania. Sheria yenyewe ni sheria ya makosa ya jinai ( Penal Code, Cap. 16,R.E 2017) Kwa ufupi sheria hii inasema mwanaume mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ninawatakia kila la kheri wanachama wote wa CCM wanaoendelea kuchukua fomu

    Ninawatakia kila la kheri wanachama wote wa chama chetu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaoendelea kujitokeza katika maeneo mbalimbali nchini, kuchukua fomu za maombi ya kugombea nafasi za uongozi katika vyombo vya dola. Hatua hii ndiyo msingi wa maandalizi ya kwenda kwa wananchi, kuwaomba ridhaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…