samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Basilla amwambia Rais Samia “Kuvujisha Siri ni utovu mkubwa wa maadili ila kufanya yanayovujishwa ni ukosefu mkubwa zaidi”

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi na Miss Tanzania wa Mwaka 1998 amezungumzia mambo kadhaa kuhusu kauli za WanaCCM wenzake, msome hapa… Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa heshima na taadhima na upendo mkuu kwako ❤🇹🇿 Kuvujisha Siri ni utovu mkubwa wa maadili,na...
  2. JamiiForums Tanzania Nionyeshe Mradi Mmoja wa maana wa Samia nikuonyeshe Nane ya Magufuli ndani ya miaka minne ya utawala wao

    Tukimsema vibaya mama wa kizimkazi mnatuona wabaya kafanya nini cha maana hii miaka 4 ya utawala wake Magufuli 1 .GEP Ali centralised Malipo yote ya serikali na kuokoa upotevu.mkubwa wa pesa 2. Bwana la Nyerere. Limemaliza kabisa mgao wa umeme na kuchochea uchumi mara dufu. 3.Toto Afya kadi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanamchimbia Rais Samia shimo!!

    Uwekezaji na misaada tuliyopata hivi miaka ya karibuni ikiwa pamoja wa watalii kuongezeka ni kwasababu Raisi Samia alifanya mabadiliko na mwamko 2021-2022. Haya mabadiliko yalitoa mwanga wa siasa mpya na mazingira mazuri ya uwekezaji Sasa badala ya kuendeleza mazuri kuanzia 2023 Raisi Samia na...
  4. JamiiForums Tanzania Elewa neno alilotumia Rais Samia "Kiumbe"

    Kwa wanazuoni na wajuzi wa mambo huwa tunasoma mstari kwa mstari katika kila tamko la kiongozi. Mhe.Rais Samia ametumia neno moja muhimu sana kwenye mojawapo ya speech yake. "Hakuna kiumbe atakayeruhusiwa kuichezea amani ya Tanzania kwani ameapa kuilinda Tanzania" Ewe mwanaJF, Mtanzania...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia acha kulaumu watu kwa matitizo yako!!

    Raisi Samia acha kulaumu watu na kutuingiza kwenye matatizo yako binafsi 1. Hatuongiliwi na Kenya ni unyanyasaji, utekaji na kesi zisizo na mshiko kwa wapinzani wako ndizo zimeleta matatizo. Ubinafsi wako ndiyo umetufikisha hapa . Sasa usitake kutuletea matatizo na Kenya kwasababu ya uchungu...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Wakenya ugomvi wenu na Samia usiwe ugomvi kati yetu sisi na nyie

    Sisi wananchi wa Tanzania hatuna ugomvi na Wakenya na hatujawasema vibaya wakenya na majirani wengine kama Uganda, Burundi, nk. Aliyewasema vibaya mnamfahamu, tafadhali shughulikeni naye na sio sisi wananchi. Sisi wananchi tunahitaji kufanya biashara zetu ndani ya nchi ya Kenya na nyie...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashindwa kwenda Tabora kuhudhuria Ibada ya kuwekwa Wakfu

  8. JamiiForums Tanzania Najiuliza tu Samia utamjibu na Gwajima?

    Tumezoea kusikia Vijembe kila kukicha kutoka kwa Madam president. Na vijembe hivi hu vidirect kwa watu wanaokosoa na kusema uongozi wake.. Najiuliza Je na la gwajima atajibu mipasho tena?
  9. JamiiForums Tanzania Tulipofika hapa hakuna kurudi nyuma. Vyovyote vile, lazima ICC waje kukuchunguza na kukutolea hati ya kukukamata

    Kwa hapa ulipofika it's too late! Tulikushauri hukusikia. It's just a matter of time. Jiandae kwenda ICC. Tukio la huyu dada wa Uganda kutekwa na kubakwa hakika halijakuacha salama na mark this halitakuacha. Press ya leo ya Gwajima imeonesha kuwa taasisi nyeti ya TISS imejiondoa kwenye haya...
  10. JamiiForums Tanzania Huenda swala la Lisu ndio linampa frustration Mama, na hajui anatoka vipi hapo. Sababu zaweza kuwa hizi

    Ujue sisi tuko huku chini hakuna kitu tunaambulia ila huko juu moto unawaka sana hata alivyo kuja Raisi wa Finiland nasikia moja kitu alicho mwambia Mama ni kwamba Lisu anapaswa kuachiliwa mara moja. Ila sasa kinacho mkosesha usingizi ni kwamba 1. Hatuwezi enda kwenye Uchaguzi huku mpinzani...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: "na kama wanataka kuchukua nje wachukue lakini kwanza tufaidike ndani ya nchi" Nani kaelewa hii kauli?

  12. JamiiForums Tanzania Ukimsikia rais Samia anaita watu wanaofichua ufisadi sio wazalendo mwambie wasio wazalendo ni hao mafisadi waliofichuliwa na sio watumishi wa umma

    Hivi karibuni kuna fichua fichua ya ufisadi imeonekana cha ajabu, nikamsikia samia badala ya kulaani ufisadi huo na uovu huo anaanza kulaumu mtumishi wa umma aliye fichua ufisadi huo heti "jitu sio mzalendo" hii ni ya wapi ? inasikitisha sana hapana tunataka mabadiliko ya raisi, tunataka...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ramaphosa na Rutto wanajali nchi zao Samia drama za uchaguzi!!

    Raisi wa Africa ya kusini yupo USA ku nadi uwekezaji na kudumisha uwekezaji. Chama chake cha ukombozi kinashieikiana na chama cha africana wazungu ili kuweka nchi mbele ya matakwa binafsi. Ruto ameweka pembeni tofauti zake na Odinga na wameweka nchi mbele na wote walikuwa China kutafuta...
  14. JamiiForums Tanzania Rais William Ruto (Kenya) Amjibu Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania) baada ya kutoa kauli ya kuwabagaza na kuwadharau Wakenya..

    https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg https://youtu.be/LI58lCwODxQ?si=3O5x8UYnDDmWtSL7 #Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya...
  15. JamiiForums Tanzania Samia baada ya kuupiga mwingi sasa anacheza nje ya Uwanja kabisa

    Kwa kauli zake tunafikia wakati hata kumtetea tunajisikia aibu. Tunakaa tunajipanga. Kwa sasa haupigi mwingi tu. Anacheza nje ya uwanja kabisa. Kisha anajifunga. Mashabiki wanamshangilia sana. Anapofunga golini mwake. Anakimbia na mpira mpaka nje anaendelea kukimbia tu huku akihema na kutokwa...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ataka Tanzania ianze kuzalisha umeme wa Uranium, asema rasilimali hiyo itumike kuinufaisha nchi kabla ya kuuzwa nje

    Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Lazaro Jacob Twange, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO, akimtaka kuiongoza taasisi hiyo nyeti kwa weledi, uzalendo, na ufanisi mkubwa. Akimwelekeza rasmi kuanza majukumu, Rais Samia amesema TANESCO ni taasisi ya kimkakati inayohusiana moja kwa moja na...
  17. JamiiForums Tanzania Hii Kauli ya Samia leo imeweka wazi tatizo lipo wapi. Watu Wenye Akili wasikitika sana

    Ameongeza kuwa, "Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi." Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA? WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Wasaidizi wa Rais Samia Ni Washauri au Wasifiaji Tu?"

    Katika historia ya nchi yetu, viongozi wengi wa juu wamekuwa wakitegemea sana ushauri wa watu wa karibu — wasaidizi wao wa kisiasa, wataalamu, na washauri wa kila aina. Ushauri huu unapaswa kuwa dira ya kiongozi kuelekea kwenye maamuzi bora kwa taifa. Lakini swali kubwa linabaki: Je, wasaidizi...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii kauli "Kama washaharibu nchini kwao wasije nchini kwetu kutuharibia pia" Rais Samia alikosea sana

    Mda Mwingine hua najiuliza unayosema unayaelewa au vipi bibi? Ile kauli ya kusema kua "kama washaharibu Nchi kwao wasije Nchini kwetu kutuharibia pia" Inaonyesha Ubinafsi wa hali ya juu sana na inaharibu picha ya Tanzania ambayo ilikua imejengwa enzi na enzi. Mataifa Mengi yanayo tuheshimu...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia "umetuangusha sisi Wana wake"

    Haya maneno yanasemwa na mwanamke mmoja ambae ni rafiki mkubwa sana wa mke wangu tukiwa sebuleni mama huyo pia ni mtu mkubwa ngazi ya halmashauri. Kwakweli haikutegemewa Samia amfunike magufuli kwa maovu. Sasa tusubiri je nayeye ataiba kura amfunike magufuli? Mama unasalitiwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…