samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania RC SHINYANGA: Tunamshukuru Rais Samia ametujengea chuo kikubwa cha VETA Bugarama kwa shilingi bilioni 3.5 kwa sasa hatuna deni nae

    |||Chini ya uongozi wa Rais Samia Kuanzia mwaka 2021 hadi 2025, Mkoa umepokea Shilingi bilioni 155.24 kwa ajili ya kuboresha Elimu kwa kujenga na kukarabati Shule, kuongeza walimu na kuimarisha miundombinu ya Shule za msingi, Sekondari na vyuo vya kati. Mabadiliko haya yamesaidia kuongeza idadi...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia atawabadilikia machawa, hawataamini

    Dr Samia atawabadilikia machawa hawataamini pale atakapotema Bungo dakika za mwishoni
  3. JamiiForums Tanzania Mabango ya Samia kwenye mpira ni ya nini sasa kama sio ushamba?

    Huu ni mpira na sio siasa wala mkutano wa siasa. Kuonyesha mabango yenye picha ya Samia ni kuwa na IQ ndogo sana. At least tungetumia mpira au mashindano haya kutuunganisha na sio kugeuza mpira kuwa siasa. I hate it. Na mkiendelea hivi ujue hata hatua ya makundi hamkatizi. Kenya hakuna bango...
  4. M

    JamiiForums Tanzania RC Mhita: Shinyanga tumepokea shilingi 113.33 bilioni toka kwa Rais Samia kwaajili ya Miradi ya maji

    Tazama hii hapa kazi ya Rais Samia ya miaka minne katika Mkoa wa Shinyanga kwenye sekta ya Maji ambapo tayari TZS113.33bilioni Muhtasari wa Miradi ya Maji – Mkoa wa Shinyanga (2020–2025) Kipengele Taarifa Fedha zilizopokelewa TZS bilioni 113.33 Upatikanaji wa maji safi mijini...
  5. JamiiForums Tanzania TAKUKURU bila upendeleo wanapaswa kumchukulia hatua na Samia kwa kugawa rushwa naona tu rushwa zinahesabiwa kwa wale wa ubunge na udiwani

    TAKUKURU bila upendeleo wanapaswa kumchukulia hatua na Samia kwa kugawa rushwa naona tu rushwa zinahesabiwa kwa wale wa ubunge na udiwani. Walichokifanya hao wa ubunge na udiwani ndio kile kile alichokifanya Samia, kama samia kwake sio rushwa basi hawa wengine nao sio rushwa. lakini kama kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania RC Mboni Mhita: Rais Samia ametupatia TZS155.24bn kwaajili ya kuboresha Elimu mkoa wa Shinyanga kwa kipindi chake cha miaka minne

    https://youtu.be/lSwXl5hBJ7o?si=vbfT9DfFtaDA19Jj Kupitia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Mkoa wa Shinyanga umepokea TZS bilioni 155.24 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya elimu na kuongeza walimu wa shule za msingi, sekondari na vyuo vya kati. Mafanikio haya yameongeza uandikishaji...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM

    Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM kafuata utamaduni wa wajomba zake Familia ya Samia Familia ya Kikwete Familia ya Mwinyi Marafiki na familia sindikizaji Familia ya Pinda Familia ya Lowassa Familia ya Magufuli Familia zilizoachwa za 1. Familia ya Karume 2. Familia ya Nyerere...
  8. JamiiForums Tanzania TASAF: Rais Samia apeleka TZS27bn Tanga kusaidia masikini na wasiojiweza pesa hii sio mkopo wala deni hawatalazimika kuirejesha hapo baadae

    Rais Samia katika Mpango wake wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ameendelea kutekeleza kwa mafanikio makubwa katika Mkoa wa Tanga. Hadi kufikia Machi 2024/2025, mpango huu ulikuwa ukitekelezwa katika vijiji | mitaa 1,039 kutoka awali ya vijiji | mitaa 656...
  9. JamiiForums Tanzania TANGA: Rais Samia atoa TZS4bn kwaajili ya ujenzi wa Sports Academy

    Kituo cha Michezo cha TFF Mnyanjani, Tanga: Kituo Kikuu cha Kukuza Vipaji vya Vijana Serikali kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewekeza kiasi cha shilingi 4,513,000,000.00 katika ujenzi wa kituo cha kisasa cha michezo kinachojengwa eneo la Mnyanjani, Jiji la...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua miradi minne ndani ya wiki moja, adhihirisha kwamba Tanzania ni salama kwa uwekezaji

    Ndani ya wiki moja, Rais Samia Suluhu amezindua miradi minne ya uwekezaji yenye tija kwa taifa na wananchi kwa ujumla. 1. Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited 2. Uzinduzi wa usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa Treni ya umeme ya SGR 3. Uzinduzi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Taifa Stars ikishinda kuna Tuzo ya Mama

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka Watanzania kuwakaribisha Wageni wanaokuja kushiriki katika Mashindano ya CHAN Barani Afrika yatakayofunguliwa kesho August 2 kwa kuhimiza Utulivu, Heshima, Ukarimu na kwa Amani. Soma zaidi: Rais Samia kuipa Taifa Stars Tsh. Bilioni 1 ikishinda...
  12. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi na chuki dhidi ya Rais Samia na wazanzibar

    Inasikitisha kuona mtu kama Maria Sarungi anayejiita mwanaharakati wa haki za binadamu, akiendelea kuonyesha chuki waziwazi dhidi ya Rais Samia na Wazanzibari kwa ujumla. Kila jambo linalotokea nchini kwake linageuzwa lawama kwa Rais Samia, hata yale yasiyomhusu moja kwa moja. Mbaya zaidi...
  13. JamiiForums Tanzania Fatma Mwasa: Rais Samia ametoa TZS327bn kwaajili ya barabara za mkoa wa Kagera| Angalia hii orodha uone kama kuna barabara inakuhusu kwa safari zako

    https://www.youtube.com/live/sypEPTFaiCI?si=GsKjBWqJIDu50RpP Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara Mkoa wa Kagera Katika Kipindi cha Rais Samia Katika hotuba yake kwa wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bi Fatma Maswa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais Samia Suluhu...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Kwa ilipofika Tanzania sasa, Samia hata akiamua kuwa Rais post 2030 atafanikiwa na hakuna wa kumfanya chochote!

    Kwenye Taifa lolote lile, vyombo vya kuilinda Katiba vinapokufa lolote lile linaweza kutokea na hakuna wa kufanya chochote kile. Ni ukweli mchungu kuwa sasa Tanzania Katiba inavunjwa waziwazi kwa Watu kuzuiwa kutekeleza Haki zao za Uhuru wa Kuabudu na hakuna lolote linalofanyika. Haki za...
  15. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe alichosema Rais Samia kuhusu wanasiasa wenye "Stress" za 2025

    Wakuu, Wakuu nakumbuka Rais Samia akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO - 19 alionya kuhusu watu wa Serikalini ambao walikuwa na fever ya Uchaguzi
  16. JamiiForums Tanzania Mama Samia kaona apige chini kwanza SGR lot 5.

    Mama Samia ameona ni bora kuachana na kipande cha 5 cha SGR kutoka Mwanza kwenda Isaka Shinyanga. Itakumbukwa miaka miwili iliyopita tulileta uzi ukionyesha ujenzi wa daraja la juu mkuyuni, miaka miwili baadae daraja hilo bado kukamilika na ujenzi wake umesimama kabisa. Baada ya miaka 2000...
  17. JamiiForums Tanzania Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya Samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu

    Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu. Suala la kufungia mitandao kwasababu watu wasiongee, linaminya uhuru wa kujielezea na haki za binadamu ungekuwa wewe ungejisikiaje ?
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia kulivunja Bunge rasmi Agosti 3, 2025

    Rais Samia Suluhu Hassan, ametangaza kulivunja rasmi Bunge Agosti 3, 2025, ili kutoa nafasi kwa uteuzi wa wagombea wa Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu. Taarifa hiyo imetolewa leo, ikiwa ni utekelezaji wa Ibara ya 90(2)(a) ya Katiba ya Tanzania, inayompa Rais mamlaka ya...
  19. JamiiForums Tanzania Nina wasi wasi waliotekwa wapo ukonga wameukumiwa kunyongwa ndio hao 27 waliotajwa na Lissu Jana Mh Samia hii ni dhambi mbaya mno muue Lissu

    Walio tajwa na Lissu Jana yakuwa wako ukonga wameukumiwa kunyongwa ndio wakina Soka,kipanya na wenzake paspo kumsaau mdude nyangali Najiuliza wanafanya hivyo mnapata Nini mbele za Mungu Muumba mbingu na Nchi? Natoa Rai kwa Mh Rais mnyonge Tundu Lissu Ili uepuke kuvuliwa nguo dhidi ya uovu ULIO...
  20. JamiiForums Tanzania RAIS SAMIA: MRADI WA MKUJU KUIWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA URANI DUNIANI

    RAIS SAMIA: MRADI WA MKUJU KUIWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA URANI DUNIANI ✅️ Azindua Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Urani Namtumbo- Ruvuma ✅️ Asema Tanzania kuwa miongoni mwa nchi 10 zinazozalisha Urani kwa wingi duniani. ✅️ Mradi kuzalisha tani laki 3 za Urani kwa mwaka ✅️ Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…