samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge ataka Wanaompinga Samia CCM Washughulikiwe

    Ataka Dotto Magari aachiwe kazi ya kumsafisha Samia Kenya. https://youtube.com/shorts/ON_WpZu8iGA?si=GzigTRdyde9LV3_4
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan je ndio kiongozi anayependwa kuliko wanasiasa, viongozi na marais wote waliowahi kuwepo Tanzania tangu tupate uhuru?

    Hapa jukwaani naona sifa zake zimejaa na kusheheni, kuanzia asubuhi hadi usiku, kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah , kavulata, Pascal Mayalla , ChoiceVariable na CHAWA wengine wengi kutwa kumsia. Je hizo sifa ni halisi na wanamaanisha au wanafanya kumpamba ili wapate ugali wao wa kila siku...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ipo kazini hamna kupoa

  4. JamiiForums Tanzania President Samia Celebrated for MCH Leadership at UNGA 81

    On the sideline of UNGA 81in New York, Tanzania co-hosted a side event with Qatar, Saudi Arabia and Indonesia to celebrate President Samia Suluhu Hassan, AU Champion for Maternal and Child Health, and women leadership on fighting maternal and child health. The event was also brought together for...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia ametoa Boti za Kisasa za Uokoaji na Kuzima Moto huko Ziwa Nyasa

    Boti hiyo yenye injini mbili zenye nguvu ya jumla ya HP 500 na uwezo wa kubeba abiria 12, itaongeza uwezo wa mamlaka kukabiliana na dharura Ziwa Nyasa, kuokoa maisha na kuimarisha usalama wa wasafiri pamoja na shughuli za usafiri majini.
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia ametuma salamu kifo cha bilionea Chivayo ,Je kuna uwezekano,kwenda kuhudhuria mazishi yake akiwa yuko EDA?

    Wakuu wa Vyombo,nimeuliza tu! Mkija kunijibu, muwe mnanukuu baadhi ya vifungu vya Quran Takatifu,ili kutupa uelewa zaidi. Karibuni
  7. JamiiForums Tanzania Nampa pole ndugu Samia Suluhu Hassan kwa kuondokewa na rafiki yake Kipenzi Wicknell Chivayo

    Wahenga walisema kifo ni kifo tu tusizue taharuki lakini kuna wakati kifo ni msiba mzito. Najaribu kupata picha ya uchungu ulionao, hivi majuzi umempoteza mume wako halali, na Chivayo alikuja kukupa pole. Jana nayeye kafariki na mke na watoto, najua imekuuma sana. Ingawa binafsi nimepokea...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rutto kapeleka $17B Kenya je Mama Samia kaleta uwekezaji gani unao onekana? Uraisi wa kuiba ni janga

    Rutto kapeleka $17B kenya je Mama Samia kaleta uwekezaji gani unao onekana? Tofauti ya Raisi wa nchi ya demokrasia na Raisi wa kuiba kura.
  9. JamiiForums Tanzania Tone la kwanza la maji lafuguliwa Kilwa

    Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kijiji cha Mavuji, Kilwa Masoko, umeanza kutoa huduma kwa wananchi baada ya kufunguliwa kwa tone la kwanza la maji. Wananchi wamepokea mradi huo kwa furaha, huku wazee wakimuombea dua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mradi huo umegharimu Sh bilioni 44, umefikia...
  10. JamiiForums Tanzania Haki Imetendeka, huko Moshi Manispaa, sasa kutakuwa na amani,na Tabasamu la Rais Samia litaonekana! Bado Afisa habari wa Manispaa

    Haki imetendeka! Sasa wa kuhamisha Moshi Manispaa, ni Afisa habari wa Moshi Manispaa, Bwana Rama. Huyu ndiye mtengeneza majungu,fitina na elimu yake ina shida! Msipo mhamisha,mapema,kazi yake ni kuharibu wakurugenzi wapya wanaporipoti tu. Huyu ni mtumishi hatari sana na amedumu kituo hicho...
  11. JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro unawaka Moto, lakini Samia yupo zake Kizimkazi anaongelea

    Yaani kwa Ufupi, hakuna anayejali kuhusu Tanganyika. Mtajijua wenyewe. Mlima Kilimanjaro unawaka Moto, Watendaji wa Serikali ni kama hakuna kilichotokea. Malori yamegoma, lakini watendaji wa Serikali wapo kwenye Vikao vya posho. Nchi haina mwenye. Shamba la Bibi. Polisi wanalwta vitisho...
  12. JamiiForums Tanzania RAIS DKT SAMIA APIGANIA SEKTA BINAFSI.

    📌Ndani ya nchi aipendelea fursa, saaa mwelekeo ni hadi nje ya nchi. 📌Mwigulu asema amewasisitiza ishiriki kwenye mipango ya serikali 📌Yatengenezewa mazingira hadi Qatar, nia ni iwajibike Dira 2050
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti

    Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti. Lissu mwenyewe kasema, kesi ya uhaini haina kosa dogo ni either kunyongwa au kuachiwa huru, means yupo tayari kunyongwa. Ikitokea Lissu akanyongwa, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza kunyonga mpinzani wake wa kisiasa...
  14. JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka mpe sapoti Rais Samia kwaajili ya wasichana wa shule yako.

    Professor umefanya kazi nzuri sana kuonyesha mfano kuwa wanawake wanaweza kama wakipewa nafasi. Shule yako ya wasichana ni miongoni mwa shule bora hapa nchini. Najua hizo ni jitihada za kufanya women empowerment kwa vitendo. Mwanamke kuwa Rais wa nchi ndiyo empowerment kubwa kupita zote kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tafiti: Bomoa bomoa ya vibanda vya wamachinga ni kwa sababu hawakumchagua rais Samia pamoja na kupewa Tisheti na pesa

    Hii bomoa bomoa ya vibanda vya wajasiriamali ni hasira za raisa aliyepo madarakani bila ridhaa ya umma. Amekasirika kiasi cha kuita wafanyabiashara ni takakataka. Kisa tu mwaka jana hawakumpigia kura na hawamtaki. Politika science has revelead.
  16. JamiiForums Tanzania Uwekezaji Afya SAMIA: Kivutio UNGA-81

    "Uwekezaji wa SAMIA Afya kivutio UNGA"
  17. JamiiForums Tanzania President Samia Suluhu Hassan is “overrated,”

    Leadership should not be measured only by economic statistics, infrastructure projects or political popularity. It should also be measured by respect for constitutional rights, peaceful political competition, freedom of expression, accountability of security institutions and the ability of...
  18. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma wanalojambo kubwa sana La kumshukuru Rais Samia Suluhu!

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Katika kundi ambalo limeneemeka miongoni mwao ni kundi la watumishi wa Umma, Rais amelitendea haki na kuhakikisha wanapata stahiki zao, Lipo jambo kubwa sana la Kumshukuru Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi mkuu, Mungu akubariki sa uendelee kuwakumbuka na...
  19. JamiiForums Tanzania TONE LA MAJI LA KWANZA KILWA LAFUNGULIWA,WAZEE WAOMBA DUA KWA RAIS SAMIA

    Mradi mkubwa wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa katika Kijiji cha Mavuji kilwa Masoko umekamilika na wananchi wameanza kupata huduma ya maji na kuondokana na changamoto ya magonjwa kama kipindupindu ulokua unawakumba mara kwa mara kutokana na adha ya maji. Baada ya kufunguliwa kwa tone la kwanza...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kutangaza nchi kwa kutumia jina Samia badala ya Tanzania!

    Karibu Tanzania eti na picha sa Samia badala ya picha za vivutio kama mbuga na sehemu za utalii. Mama hauziki wazungu wengine wakiona picha ya Mama ndiyo hawaji kabisa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…