samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania's Samia Suluhu Hassan stepped onto the scene

    TANZANIA'S FIRST FEMALE PRESIDENT HONS. SAMIA SULUHU HASSAN STEPPED ONTO THE SCENE. By Laurie Garrett, Pulitzer Prize-winning science writer and columnist at Foreign Policy When Tanzanian President Samia Suluhu Hassan finally took the stage to deliver her speech at the United Nations General...
  2. JamiiForums Tanzania Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575B kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70

    Hakika Rais Samia anaupepo kwelikweli | Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575bl kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70 " Hakuna kama Rais Samia " Wakati uwekezaji kwa miezi sita ya Rais Samia ukikua kwa 400% kutoka $510M March 2021 hadi $2.98bl Sept karibu...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia; Achana na hoja ya Haki Sawa inakupotezea Ushawishi ndani ya jamii

    RAIS SAMIA, ACHANA NA HOJA YA HAKI SAWA. INAKUPOTEZEA USHAWISHI NDANI YA JAMII. Na, Robert Heriel. Kwa maoni na mtazamo wangu ambao kimsingi nauamini, ninaona mbele zaidi miaka kadhaa ijayo. Naomba Mhe. Rais uachane na hoja ya Haki Sawa bhaina ya Mwanamke na Mwanaume. Hakunaga haki Sawa baina...
  4. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua Kuhusu Samia UN: Kumbe alitaka kuhutubia Kiswahili! Baada ya Kiswahili kuwa Lugha ya Afrika, Rais Samia kukipaisha kuwa Lugha ya Dunia

    Wanabodi, Baada ya Rais Samia kuhutubia Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York nchini Marekani kwa kutumia lugha ya Kiingereza safi kilichonyooka, kuna wajinga fulani huku kwenye mitandao ya Kijamii, walimpongeza Rais Samia kwa kuhutubia kwa Kiingereza safi na huku wakimponda...
  5. JamiiForums Tanzania CCM Kuweka misingi madhubuti kuendeleza sanaa nchini

    CCM KUWEKA MISINGI MADHUBUTI KUENDELEZA SANAA NCHINI Dar es Salaam 25 Septemba, 2021 Akizungumza kupitia jukwaa la wasanii liloandaliwa na kampuni ya Marketing Africa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema serikali ya CCM itaendelea kuweka misingi Imara ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia anavalishwa kweli Majoho ya Kimila au anafanyiwa tu Ushirikina uliochangamka kutoka Mwanza na Dodoma?

    Endeleeni tu kutufanya Watanzania wote ni hamnazo ( tuna Akili za Kipa Katoka ) hivyo mtatuzuga kwa kila namna wakati tuliobobea kwa Mambo hayo ( japo Juzi tulizidiwa na wa Yanga SC ) tumeshajua nini Kinaendelea. Naona kabla hajaiacha Ardhi ya Tanzania kwenda kwa Joe Biden Wasukuma kupitia Zuga...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Huko nyuma tulionya kuwa Rais Samia alindwe sana na Wanaume mkasema Wanawake wanaweza, mbona hivi sasa Wanaume mmewajaza tena?

    Siwadharau na wala siwapuuzi Walinzi wa Kike ila tuacheni Masihara kuwaweka mbali Walinzi wa Kiume mwanzoni ilikuwa ni Hatari japo wengi tuliohoji na kulipinga hilo hapa JamiiForums tulipuuzwa. Asanteni sana USP kwa Kuuimarisha zaidi Ulinzi wa Bi. Hangaya n hasa hasa kwa Kuamua Kuwarudisha...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya umeme wa bei chee zaidi EAC

    Tanzania yatajwa kuwa ndio nchi yenye umeme wa bei chee zaidi Africa mashariki || Rwanda yatajwa kuuza umeme bei ya ghali zaidi nchi za maziwa makuu, " Hakuna kama Samaia " Tanzania baada kutajwa kama nchi yenye gharama ndogo ya mafuta ya taa, Petroli na dizeli ukiilinganisha na nchi zingine...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa viongozi wa jumuiya ya tawala za mitaa Tanzania - ALAT

    Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Samia suluhu hassan akishiriki mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa viongozi wa jumuiya ya tawala za mitaa tanzania - ALAT katika ukumbi wa Jakaya Kikwete convention center jijini Dodoma, tarehe 27 Septemba, 2021. Kuwa nami kukujuza yanayojiri...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeona Afisa Afya Tunduru akipita nyumba kwa nyumba kuchanja, suala hili lisifanyike kwa mabavu

    Samia amesema anaunga mkono chanjo ya nyumba kwa nyumba inayopendekezwa na mkuu wa mkoa wa mbeya. Swali hizo cost zinazotumika kulazimisha watu wachanjwe zinatoka wapi? Kwanini pesa zisielekezwe kwenye mambo mengine ya msingi. Mama wanaomshauri wanamponza Sana. --- Rais Samia Suluhu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Konki aiombea nchi na Rais Samia

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Elim Pentekoste Tanzania, Peter Konki amewaomba Watanzania kila mmoja kwa nafasi yake kufanya maombi kwa ajili ya taifa la Tanzania na rais Samia Suluhu Hassan Mungu aweke walinzi juu ya ufahamu wake ili uamuzi atakaoufanya katika nchi uwe wa busara na wenye tija kwa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ataka vikundi vipewe milioni 100 badala ya vijipesa

    Rais Samia: Jingine ni lile la asilimia kumi, Dodoma wamesema vizuri hapa, hongera mstahiki meya na mkuu wa mkoa. Wamesema vizuri kwamba wanajipanga sasa kwa ajili ya kutoa visenti vichache kwa kila kundi na mimi huwa nasema, fungu lile lilikuwa linatumika kama mfuko wa kisiasa wa madiwani, kila...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia inatekeleza miradi yenye thamani ya TZS 53bl mkoani Singida

    Anyampanda isomeni hii polepole kwa kutulia mtajua ni kwa kiasi gani Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan anawapenda watu wa Singinda, _________________________________________ SERIKALI imetoa Sh.Bilioni 52.975 mkoani Singida kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo...
  14. JamiiForums Tanzania Maendeleo hayana chama/Twende na Samia

    Wakuu bwana hawe nanyi: Kiukweli Rais Samia hangeruhusu mchakato wa katiba mpya ufanyike, kwa Hali tuliyopitia kipindi Cha Rais aliyepita, ilikuwa ni kutokana na madhaifu ya katiba iliyopo na Ngosha alitumia madhaifu ya katiba ya sasa kufanya baadhi ya mahamuzi kwa utashi wake, mengine...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wangu Kwako Mama Samia Kuhusu Elimu

    hali ya elimu kwa sasa ni mbaya, hilo halina mjadala! 1. Ushindani umegeukia kwenye kufaulisha wanafunzi wote na kufuta 'zero'. Kutokana na hilo, suala la kukutana na lundo la wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika ni kawaida huku kwenye masekondari yetu ya kata. Kumkuta mwanafunzi anayeitwa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais benki ya dunia kutua Tanzania 27/09/2021

    Masaa machache baada ya Rais Samia kuhutubia UN Gen Assembly huko New York Marekani na kurejea nchini || Sasa rasmi Makamu wa Rais benki ya dunia kutua Tanzania 27|28|09|2021. ____________________________________________ Makamu wa Rais wa benki ya dunia anayeshughulikia Ukanda huu wa Mashariki...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mtu mzuri

    Ni ukweli usio pingika kuwa Samia ni mtu mzuri ukiyatazama haya:- Ni mwenye heshima na anajiheshimu mwenyewe mfano utumia kauli za staha, Uongozi ni mzuri zaidi ya mmoja analizingatia ilo mfano amewaagiza viongozi kuwajibika. Anaheshimu sheria na anazifuata mfano ameagiza mara kadhaa polisi...
  18. JamiiForums Tanzania Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

    Wanabodi, Moja ya topic ngumu sana humu JF, ni topic za kitu kinachoitwa Trends Readings za psychoanalysis trends, kinacho tokana na ku Psychoanalyse Trends kisaikolojia kwa kutumia tabia za mtu za nyuma, tabia zake za sasa kuweza ku détermine tabia zake za huko tunakwenda na ni nini...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara ya mwisho juu ya polisi, nanawa mikono juu yao

    Mh Rais Samia Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara nyingine tena ili kusiwe na hatia juu yako Ila ni wazi kabisa polisi wetu wanakuchafulia na kukutia doa utawala wako. Mpumzushe Sirro msaidie apumzike kwa heshima jeshi la polisi chini yake limechafuka Sana na Askari wengi wanaumizwa...
  20. JamiiForums Tanzania TANESCO hali mbaya, Serikali yasuasua kununua mita na nyaya za kuunganishia umeme

    Tanesco katika maeneo Mbalimbali Hasa Jiji la Mwanza imeshangaza wananchi zaidi 2000 katika eneo la Nyakato kushindwa kuunganishia watu umeme, Hali hiyo inafanya baadhi ya watu kupitia njia za panya kutoa rushwa ili kufungiwa umeme, wananchi wamelalamika bila msaada Tunatumaini 1)Uteuzi Mpya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…