samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamala Harris atarithi Urais kama Samia Suluhu?

    For some reason naona Kamala atakuja kurithi Urais kama Samia. Sioni how Biden atafikisha miaka nane Ikulu..unless otherwise wasipate second term.
  2. H

    Watangazaji Clouds Media wapendekeza siku ya kuzaliwa Rais Samia Suluhu ingizwe kwenye kalenda ya kusheherekea

    Watangazaji wa clouds Media kwa niaba ya media imependekeza siku ya kuzaliwa ya mhe Raisi Mama Samia Suluhu ingizwe kwenye calendar ya kusherekea siku ya kuzaliwa kama ilivyo Nyerere day n.k iwe sehemu ya siku ya kitaifa
  3. Rebranding Tanzania! Ikulu Mawasiliano, Je mnajua ziara ya jana ya Rais Samia nchini Msumbiji ilikuwa moja ya Fursa ya kui-brand Tanzania Nje?

    Mwezi Novemba 2003, Baada ya vita kufukuta nchini Iraq, Rais wa Marekani alifanya ziara ya kushtukiza kwenye eneo la vita Yaani nchini Iraq Kwa Wamarekani ile ilikuwa sehemu ya fursa ya kuitangazia Dunia kuwa ni kwa Jinsi gani wana uwezo wa kijeshi na kiulinzi wa kumsafirisha Rais wao hadi eneo...
  4. IGP Sirro soma alama za nyakati, jiuzulu

    IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi. Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Force Unit, FFU. Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za...
  5. M

    Ripoti ya Upambanaji wa rushwa na Ufisadi kimataifa - Tanzania yang'ara

    ===== Taasisi inayojishughulisha na harakati za kusimamia uwazi na mapambano dhidi ya rushwa na Ufisadi duniani ya " Transparency International " tayari imetoa ripoti yake ya mwaka, Taasisi hii iliyofanya kazi ya kuchunguza kiasi cha rushwa na Ufisadi kwenye nchi zipatazo 180 duniani kwa...
  6. Rais gani aliwahi kukubalika akiwa madarakani Tanzania?

    Baada ya vyama vingi 1995 mpaka 2005 Mkapa alipondwa sana,ooh katili, fisadi n.k akatoka. Watu wakasema bora Mwinyi tu mzee wa ruksa. 2005-2015 Kikwete kasi mpya nguvu mpya ari mpya, rais kijana,mcheshi lakini alikumbatia wezi, majambazi mafisadi tuhuma zote ziliibukia kwake. Akatoka akapondwa...
  7. Rais Samia: Nimeshindwa kufanya PhD kutokana na majukumu kuwa mengi

    Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema alijaribu kufanya Shahada ya Uzamivu lakini kutokana na majukumu mengi ameshindwa huku akisema ataimalizia baadaye. Mkuu huyo wa nchi amesema hayo leo Alhamishi Januari 27, 2022 wakati wa mahojiano maalumu yaliyorushwa na Shirika la...
  8. T

    Hongera kwa Rais kwa kuwaziba mdomo wapinzani kuhusu kuungua kwa Soko la Karume

    Binafsi nimeshangazwa na ukimya wa wapinzani baada ya tukio la kuungua moto soko la Karume. Sijasikia pole yoyote kutoka kwa upinzani si CHADEMA wala ACT walioneshwa kusikitishwa na jambo hilo. Ni kimya kikuu kimetanda. Ni wapinzani hawa hawa ambao polisi wakidhibiti mikusanyiko yao haramu...
  9. Rais Samia, unapoingia mkoani Mara fuatilia kuna chembechembe za watu kula kwa urefu wa kamba pale Musoma Airport

    Nakukumbusha mheshimiwa rais mliidhinisha pesa za upanuzi wa viwanja kadhaa vya ndege hapa nchini na cha Mkoa wa Mara hapo musoma kikiwa ni kimojawapo. PICHA: Sehemu ya mji wa musoma unavyoonekana kutokea juu. Taarifa tulizo nazo pesa ilitolewa ili kufidia wananchi waliopo kwenye eneo la...
  10. Happy Birthday Rais Samia! Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu

    Mnamo tarehe 27 Januari 1960 Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan alizaliwa huko Makundichi Zanzibar. Leo anatimiza umri wa miaka 62. Ni Rais wa kwanza mwanamke nchini kwetu na mfano wa kuigwa kwa wasichana, wanawake na watu wa...
  11. U

    Taarifa kwa Umma: Rais Samia Kufanya Mahojiano na TBC Januari 27, 2022

    Salaam Wazalendo Wote Tafadhali soma Taarifa yote Kama ilivyoambatanishwa hapo chini
  12. Ikulu, Dar: Rais Samia aongea na viongozi wa Machinga Dar es Salaam. Machinga Watambuliwa kama kundi Maalum

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Samia Suluhu leo aanaongea na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam pamoja na viongozi wa wamachinga Ikulu ya Dar es Saam. Kumekuwa na badiliko la sera ya wamachinga karibuni kutoka utawala uliopita kwa 'kupangwa upya' ama kwa wengine kuondolewa na vibanda...
  13. I

    Asante Rais Samia kufufua utalii mahoteli, Sasa hivi yanaogelea faida. Kipindi cha Magufuli utalii ulikuwa umekufa

    Asante mama kila unachoshika kinazaa matunda bila ubabe Wala mbwembwe za eti kishindo Cha jpm tofauti mtangulizi wako ambaye kitu kidogo tu kelele nyingi. Tumeona watalii wanavyomwagika nchini na bila shaka watanzania vinana maskini wameanza kuona umuhimu wako baada ya kilazimishwa kuwa...
  14. Rais Samia: Serikali itashirikiana na Machifu, Viongozi wa Kimila

    Akishiriki Tamasha la Utamaduni lililofanyika leo Januari 22, 2022 Mkoani Kilimanjaro Rais Salia Suluhu Hassan ameeleza, "Kumekuwa na maneno mengi ndani ya Tanzania kuhusu Serikali na Uchifu. Tumeamua kuwa na jukwaa la pamoja baina ya Serikali, Machifu na Wazee wa Kimila ili kuhifadhi Mila na...
  15. J

    Rais Samia - Wachagga tupunguze matayarisho ya pombe kutokana na upungufu wa nafaka

    "Niwaombe sana ndugu zangu wa Kilimanjaro, tupunguze kidogo matayarisho ya Mbege na vinywaji vingine kwa kutumia nafaka, tujue kwamba mwezi wa 10 hatukupanda, tutapanda Machi na kutakuwa na upungufu kidogo wa chakula,,"-Samia Source-Nipashe Tanzania.
  16. 5

    Kauli ya Rais Samia "Ukinizingua Nitakuzingua" Je kwa yaliyotokea hivi karibuni Rais amepata Heshima?

    Wadau habari za mchana huu., Nimeona nije na hii kauli ya Mama Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba "Ukinizingua nitakuzingua" na kile kilichotokea hivi karibuni je mama alikuwa anamaanisha ile kauli yake., nakumbuka siku aliposema pale bungeni ukumbi wa bunge walicheka saana...
  17. J

    Rais Samia aalikwa kama mgeni rasmi Tamasha la Utamaduni la Mkoa wa Kilimanjaro

    Watu ni wengi sana wakiongozwa na machifu/ watemi wa maeneo yao. Vikundi vya ngoma na sanaa nyingine za Wachagga na Wapare ni vingi sana na bila kusahau vinywaji kikiwemo kinywaji pendwa cha mkoa wa Kilimanjaro. Tukio liko mubashara Clouds tv, TBC na Channel ten. Karibuni nyote Updates;
  18. Rais Samia achana na siasa za watemi na machifu, ni hatari, hazikusaidii na hazilisaidii taifa

    Tangu Rais Samia ashike madaraka amekuwa busy sana kuzing'ang'ania na kuzipigia debe siasa za kuwaenzi na kuuenzi utamaduni wa machifu na watemi hapa Tanzania. Hapa nitaweka kweli kadhaa kuhusu ubaya wa siasa hizo kwa nchi yetu na vizazi vijavyo. 1. Utamaduni wa watemi na machifu ni utamaduni...
  19. Wizara ya Fedha inamsaidia sana Rais Samia kutekeleza miradi ya maendeleo

    Nchi inaenda vizuri sana. Mungu ni mwema. Ukizunguka huko mikoani (nje ya Majiji) utaona jinsi ambavyo halmashauri na maeneo yote ya kiutendaji yanavyofanya kazi za miradi kwa bidii na bila malalamiko. Kwa wasiofahamu, Serikali imemwaga fedha nyingi kwenye halmshauri zote nchi nzima. Huko ndipo...
  20. F

    Rais Samia, haya mambo ya kupotea watu ni doa kwenye serikali yako

    Mheshimiwa Rais, naomba nichukue nafasi hii nikupongeze kwa mambo mengi mazuri unayoyafanya ila kwa hili la watu kuanza kupotea kwenye utawala wako tayari ni doa kwenye serikali yako. Wiki mbili zilizopita kuna habari zimetokea magazeti kuwa kuna vijana watano wamepotea wakiwa wanaenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…