samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaupiga mwingi Sana katika suala la ajira na Mambo mengine

    Jamani kama mtu anafanya vizuri kwanini tusimpongeze? Binafsi bado sijapata ajira ya serikali lakini nina matumaini makubwa kuwa Mambo yatarudi kama zamani. Sasa hivi ajira zinatangazwa utumishi, halmashauri mbalimbali n.k. hii itasaidia kupunguza ugumu wa maisha kwani mzunguko wa pesa utakuwa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafuasi wa Hayati Magufuli wanachukia maridhiano ya Rais Samia na Wapinzani, hawataki amani?

    nimekuwa nikifuatilia mtandaoni na mtaani, Rais Samia akikutana na wapinzani kujadili mambo ya siasa au mambo mengine, wafuasi wa Magufuli wamekuwa wakichukia na kutukana sana Ilianzia Samia alipokutana na Tundu Lissu alipoenda Ubelgiji, wafuasi wa Magufuli walilaumu sana na kudai Samia...
  3. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia Afungua Mkutano wa Tisa wa Chama cha Makatibu Mahsusi (TAPSEA). Ahimiza Utunzaji Siri za Serikali, Maslahi na Fursa Kuzingatiwa

    Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Makatibu Mahsusi Jijini Dodoma. ENG. ZENA AHMED SAID, KATIBU MKUU KIONGOZI – ZANZIBAR Tunatambua umuhimu wa Makatibu Mahsusi, kwakweli wanafanya kazi za viongozi wao kuwa rahisi kwa jinsi wanavyowasaidia kazi. Sasa, ili waweze kufanya...
  4. JamiiForums Tanzania Makundi yanayomuunga mkono Rais Samia Suluhu

    Makundi yanayo muunga mkono Rais Samia Suluhu yana-reflect kwamba mama anaupiga mwingi kwa kazi anazofanya ndani na nje ya Tanzania. Makundi hayo ni: -Vyama vya Siasa vinaumuunga mkono ✅ Wamachinga ✅ Wanasiasa / Wanachama wao✅ Viongozi wa dini ✅ Bodaboda ✅ Wanawake ✅ Vijana ✅ Wazee ✅ Walemavu...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia 2025 ana nafasi kubwa ya kushinda

    2025 Mama atashinda hilo halina ubishi kwani Haijawai tokea kwakweli. Rais anapendwa na watu namna hii. Ameonyesha nia yake ya kupenda, kujali na kutekeleza yale yote aliyoyaahidi. Haki✅ Usawa✅ Mishahara✅ Posho✅ Anayebisha aje na facts.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Bado jambo moja tu Rais Samia awe Rais Bora kuwahi kutokea Tanzania na Afrika nzima

    Kuna sifa kuu Tatu za Mtumishi Bora na Tatu za kiongozi Bora. Sifa za Mtumishi Bora ni: 1. Muwazi 2. Mchapa kazi 3. Mwaminifu Popote pale ukipata mtumishi mwenye sifa hizo usimuache aende zake utakuwa umepoteza hazina kubwa sana. Sifa za Kiongozi Bora: 1. Mtu wa Mfano 2. Muwajibikaji 3...
  7. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kujitahidi kuondoa ukakasi wa uadui wa kisiasa nchini

    Makamba na Kinana wamerudishiwa heshima zao. Membe karudi CCM alikofukuzwa. Mashitaka ya Mbowe yakafutwa. Waliokuwa lupango kwa kesi za kubambikwa wameachiwa. Mikutano ya kisiasa imerudi upya. Polisi wameanza kuwaheshimu wananchi wa itikadi tofauti na chama tawala Tundu Lissu alionana na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama Mbunge ambazo ni kiinua mgongo, Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa. Pia, Serikali ilimuambia aandike barua pamoja na kuambatanisha na nyaraka ili apewe fedha zake za matibabu ambazo Serikali...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaongozwa na Magufuli anakusanya kodi kutekeleza Maono ya Magufuli, wanaobwabwaja wana akili ndogo sana

    Rais wa Tanzania anatekeleza miradi iliyoachwa na Magufuli kwa mfano kila mradi anaouzindua kwa Sasa ni mradi ulioachwa na Magufuli Fedha nyingi zinazokusanywa kwa Sasa zinaenda kuendeleza miradi mipya iliyoanzishwa na Magufuli na Rais Samia Hana mradi wowote mpya aliouanzisha bali anatekeleza...
  10. JamiiForums Tanzania Dar: Rais Samia akabidhi magari 123 kwa Mamlaka za Maeneo ya Utekelezaji kwa Shughuli za TASAF

    AMOS MAKALLA, MKUU WA MKOA WA DAR Kwanza niseme hali ya mkoa ipo salama, hali nishwari tunaendelea na shughuli zetu. Kwahiyo, hata ile operesheni ya panya buku na panya road imefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Kimya kabisa! Lakini, nikuahidi kuwa ni operesheni endelevu. …juzi tulipata matukio ya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kama Nyerere kimataifa

    RAIS SAMIA ANAMUENZI NYERERE KUREJESHA NAFASI YA TANZANIA KIMATAIFA- KAFULILA ==== Mkuu wa Mkoa Simiyu , Mhe David Kafulila amesema kuwa ziara za Mhe. Rais duniani mbali ya faida lukuki za kiuchumi ni za kimkakati kurejesha nafasi ya Tanzania kwenye jukwaa la kimataifa. Mhe Kafulila amesema...
  12. JamiiForums Tanzania Tusipomsemea Rais Samia Watanzania; dunia, miti, wanyama na viumbe vingine vitanena kwa ajili yake

    WAUNGWANA WALINENA HAKUNA KAMA MAMA ILA WATANZANIA TUNASEMA HAKUNA KAMA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN (aka Mama wa Taifa)! Ukimuangalia Mh Rais kwa jicho la akili haraka haraka utagundua kuwa ni: •JASIRI • MKOMAVU KI UONGOZI •HANA PAPARA • ANA JIAMINI AFANYACHO NA KUBWA ZAIDI ANA MAPENZI YA...
  13. JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni Mosi

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni mosi, huku kukiwa na unafuu kutoka na ruzuku ya shilingi Bilioni 100 iliyotolewa na Rais Samia mapema mwanzoni mwa mwezi huu. Bei mpya zilizotangazwa na EWURA zinaonesha kuwa petrol itauzwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia neema ilioletwa kurejesha utu na Haki za Binadamu

    May 13, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan alikua mgeni katika maadhimisho ya miaka 10 ya kuanzishwa kwa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC). Katika mkutano huo alitunukiwa tuzo ya kutambua mchango wake wa kulinda na kusimamia haki za binadamu na utawala wa sheria ikiwa ni...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia apongeza daraja la Tanzanite kutumika kuonesha mpira

    Rais Samia Suluhu amepongeza daraja kutumika kuonesha mpira kwani imelitambulisha duniani. ======= Rais Samia: Natoa pongezi kwa wizara kwa kazi kubwa wanayoifanya, juzi niliona wako pale daraja la Tanzanite wakionesha mechi ya mpira sijui baina ya nani na nani, Liverpool timu mmoja sababu...
  16. JamiiForums Tanzania Mzee wa upako: Haina maana Samia Suluhu anafurahia kifo cha Magufuli, ni ramani ya Mungu. Adai Magufuli alimwambia 'alideep' Urais

    Mzee wa upako akiwa kwenye kongamano la viongozi wa dini la kumuombea na kumpongeza Rais Samia ameongelea kuhusu uongozi na ameongelea jinsi viongozi wa Tanzania walivyopatikana ikiwemo Samia, Magufuli na mwl Nyerere. Mzee wa Upako(Anthony Lusekelo): Wakati Jakaya anamaliza uenyekiti wa chama...
  17. JamiiForums Tanzania Makongamano, warsha, semina nk vimeongezeka kwa kasi awamu ya Rais Samia, vinaligharimu Taifa

    Televisheni ya Taifa imekata matangazo ya Bunge la Bajeti na sasa wanarusha kongamano la viongozi wa dini kumuombea na kumpongeza Rais Samia kwa uongozi bora linalofanyika ukumbi wa mikutano wa Tughimbe mkoani Mbeya. Wapo viongozi wa dini, Serikali na waimbaji kutoka kona mbalimbali za nchi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia huwa anacheza vizuri halafu mambo yanapoelekea kukaa sawa anabutua?

    Samia alipoingia Madarakani alianza vizuri sana, akatuliza Taifa, Taifa likampenda, mambo yakawa yanaenda vizuri. Kha Ghafla akamkamata Mbowe, akamuweka ndani, Sehemu kubwa ya Taifa ikaanza kumuangalia kwa jicho baya! Likaja suala la wamachinga, Mwanzo alitoa hotuba, akasema wapangwe vizuri na...
  19. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alimpenda sana Nape Nnauye na alikuwa mwalimu bora kwake, ipo siku Nape atamkumbuka sana Magufuli

    Nape Moses Nnauye anamchukia Magufuli kwa sababu Magufuli alikuwa anamtaka Nape aishi maisha ya uhalisia aishi maisha ya kutokula rushwa atosheke na mshahara wake Magufuli alijua kuwa Nape ni kijana mdogo akiishi kwa kufanywa vuvuzela ataharibikiwa hapo baadaye endapo wanaombeba wakipotea lkn...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia apewe haki yake katika haya

    Hakika mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Anachokifanya Rais Samia Suluhu Hassan kwa watumishi wa umma na wengine, hakiwezi kupita bila kuungwa mkono. Rais Samia amefanya mambo makubwa sana kwa watumishi katika namna tatu. Hivi karibuni Serikali ilitangaza ongezeko la kima cha chini cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…