samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kugharamia matibabu ya Sativa hadi apone, aagiza uchunguzi wa tukio hilo

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema yeye binafsi atabeba gharama zote za matibabu ya Kijana Edgar Mwakabela (27) maarufu Sativa, kuanzia sasa mpaka atakapopona kabisa pamoja na kuhakikisha unafanyika uchunguzi wa tukio lililomtokea Kijana huyo ambaye hivi karibuni alikiri kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Magufuli aliondoa 'Service Charge' Tanesco ya 7,000 lakini Serikali ya sasa inazirudisha tozo kidogokidogo kupitia mfumo wa Luku

    Watu wengi wanaweza kuwa wamesahau, wakati Serikali ya awamu ya tano inaingia madarakani ilikuta shirika la umeme nchini(TANESCO) wanakata 7000 kila mwezi kama gharama ya kuhudumia laini. Ilikuwa pesa flani ya mtelezo kwa Serikali na shirika la umeme, 7000 ukizidisha na wateja wote wa kawaida...
  3. JamiiForums Tanzania Taasisi ya goodwill foundation waungana na Rais Samia kuponya maisha ya watanzania

    Zaidi ya vijana 70 wanaounda Taasisi ya GoodWill Foundation wamemuunga mkono Rais Samia suluhu Hassan kwa kujitokeza kujitolea damu kwenye Kituo cha damu salama kilichopo Muhimbili jijini Dar es Salaam. Wanafunzi walijumuika kutoka Vyuo mbalimbali vya Dar es salaam, wamefika uamuzi huo baada ya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Itapendeza baada ya Dr Samia Suluhu, atuachie Mwanaye kama Ni Abdul au mwingine itapendeza

    Hakuna ubishi kwamba Uwezo wa Dr Samia Suluhu wa kuongoza Nchi hadi ikatulia tumeuona. Japo kuna changamoto ndogo ndogo za Hapa na Pale. Napendekeza Baada ya Dr Samia kupitia Chama cha Mapinduzi tumpitishe Mwanaye. Sababu ya kusema hivi ni kutokana na uzoefu kwamba Mtu akiwa na Roho Nzuri pia...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na wewe unafanya ya Magufuli kuwanunua wapinzani?

    It is a pity! sasa 4R zipo wapi? Kama umefanya hili, kwanini mtu asiseme kwa uhakika kuwa ume sanction matendo mengine ya magufuli kuwateka/kuwaua/na kuwapoteza wapinzani yanayoendelea sasa hivi?
  6. JamiiForums Tanzania Mama Samia yupo Sahihi

    Akiongea na waandishi wa habari katika kongamano la vyombo vya habari alisema "huko nje watu wanaisifia sana Tanzania lakini huku ndani tunasema vibaya kuhusu jitihada mbali mbali za serikali" mwisho wa kunuu Na hii ndio hali ambayo tunayo sasa baada ya hawa vichaa wa gen z huko Kenya kuonekana...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nilitetemeka kwa hofu siku niliposikia rais Samia akisema kuwa yeye na Magufuli ni wamoja!

    Rais Samia alipoingia madarakani mwaka 2021 katika hotuba zake za mwanzoni kabisa aliwahi kusema kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Nakumbuka siku ile niliposikia matamshi hayo nilipatwa na hofu ndani yangu kwani kwanza sikutegemea angesema hayo na pili mimi nilielewa maneno hayo yalimaanisha...
  8. JamiiForums Tanzania Mama Samia ungefuata ushauri wangu wa tar29/03/2021" Mapema tu baada ya kuapishwa aibu hii isingekukuta

    Mnamo tarehe 29/03/2021 niliikosoa hadharani hotuba ya kwanza kabisa ya Rais wa JMT Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani nilimweleza wazi kwamba sera zake za uchumi hazina tija kwa baadaye na nikamkumbusha ilani ya kurasa zaidi ya 200 zinazotaka kufanyiwa kazi na nikamsihi asitoboe matundu ya pesa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Karibu Mama Samia katika Jiji la Mwanza

    Mh.Rais atakuwepo jijini mwanza katika tamasha la kukuza mila za ziwa Viktoria ( BULABO) tamasha ilo litafanyika kisesa mwanza. Nyote mnakaribishwa....
  10. JamiiForums Tanzania Leo ndio nimeshangaa! Kumbe idara ya Usalama wa Taifa inatakiwa kumwambia rais Wananchi wanataka nini? Mbona Rais Samia haambiwi ukweli?

    Ufisadi halimashauri? Uzembe makazini? Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini? Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya? Waarabu wameleta ufanisi bandari za Tanganyika? Migomo ya kodi na tozo😅😂 Huko Kenya Rigath Anawalaumu Nis hawakutonya Ruto...
  11. JamiiForums Tanzania Ujumbe Wangu kwa Rais Samia siku ya Leo kuhusu Wafanya Biashara

    Rais wangu wa Tanzania, Wasalaam! Iwapo kweli umechagua kuwa chura kiziwi, itoshe kukushauri kwamba uchague tena na maeneo ya kuwa kiziwi. Sio kile kelele ihahitaji kuwa kiziwi, nashauri hili swala la wafanya biashara ujitokeze mwenyewe na iwe baada ya kupata ushauri wa kina. Kwa sasa ubebaki...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Zanzibar imetoa wapi mahela yote yale mpaka bajeti imeongezwa mara 2: Samia ametuuza

    Baada ya kifo cha Magufuli Zanzibar imekuwa na mabadiliko makubwa kiuchumi, barabara zumepigwa lami nyingi sana. Hawajaanza kuchimba mafuta, zile pesa wamezitoa wapi? Ji ukweli Samia kuna namna amefanya, pesa zetu inajenga Zanzibar ndio maana wanataka kumwongezea Mwinyi muda wa uongozi. Ni wazi...
  13. JamiiForums Tanzania Rais wetu, mama Samia, ingilia kati mgogoro wa wafanyabiashara, watakuelewa wewe zaidi kuliko yeyote yule kwa sasa.

    Ombi kwa Rais wangu mpendwa mama Samia, nakuomba uongee na wafanyabiashara wa kariakoo kwa kuita viongozi wao wachache katika timu yao ya Uongozi, maana nadhani wamezingukana katika kutoa kauli, nakuomba Waite kesho Jumatano saa 4,asb, ongea nao kwa kifupi mno, na watakuelewa zaidi ya yeyote...
  14. JamiiForums Tanzania Madai 20 ya Lost Genarations: Tunataka yafuatayo kutoka Serikali ya Rais Samia yafanyiwe kazi

    Kwako mheshimiwa Samia Hassan Rais wa Tanzania, Tunahitaji maswala yafuatayo yatatatuliwe kwa faida yetu sote, hii nchi ni ya Watanzania wote, kama kuna kuteseka tuteseke wote na tufurahie maisha wote. 1. Serikali iachane na Uraibu wa Magari ya Kifahari ambayo ni mzigo mkubwa sana kwa walipa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Natamani Rais Samia awe kama Kim Jong Un

    Hakuna Kutumia Simu -Hakuna kutoka nje ya nchi -Hakuna mtu kuitumia la KIM kama jina lake. Hakuna kuangalia movie 🔶Ongeza kingine unachokijua kuhusu North Korea.
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia ampokea Rais wa Guinea-Bissau, Ikulu ya Dar - Juni 22, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=Gr7yLxJrtRE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kumpokea Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, leo Juni 22, 2024, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais Embaló ana ziara ya kikazi kwa siku mbili nchini, ikiwa ni...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Rais Samia waanza kutumia silaha ya Uzushi na uongo kumshambulia baada ya njia zao kushindwa.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni mtu anayeishi mbele ya wakati na muda na kiongozi Mwenye akili na upeo wa hali ya juu sana,ni mtu Mwenye jicho la tatu nje na haya mawili ya kibinadamu.ni kiongozi aliyejaliwa macho ya Rohoni yenye uwezo wa kuona asipoweza kuona Mwenye macho ya kawaida. Ni...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia amefeli wapi? Gerson Msigwa amkumbuka shujaa wa Afrika hayati JPM

  19. J

    JamiiForums Tanzania Watatezi wa makahaba, ndio mnataka Tanzania yetu iendelee kuwa hivi? Rais Samia mpandishe Bomboko cheo

    Ni picha imepigwa mitaa ya Sinza, baadhi ya wanawake wamekuwa wapo radhi kutoka nje almost uchi kabisa kwenda kujiuza Ukikutana na mdada anayejielewa na anayefanya kazi atakuambia watu hawa wanadhalilisha wanawake, Wanafanya wanawake kunekana kama bidhaa za nyanya au parachichi sokoni, ambapo...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yammiminia Sifa na pongezi Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa Anaendelea kukonga na kukosha mioyo ya watu mbalimbali na mataifa mbalimbali, kutokana na uchapakazi wake pamoja na mapinduzi na mabadiliko mbalimbali ambayo amayaleta katika Secta na maeneo mbalimbali,ambapo yameleta nuru na mwanga katika Taifa letu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…