samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mauaji ya Kibao hayakubaliki. Uchunguzi umeanzishwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na Watanzania katika kulaani mauaji ya aliyekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ali Kibao yaliyosababisha mshtuko na hisia kali nchini. Akizungumza Septemba 17, 2024, kwenye maadhimisho ya...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia wale jamaa hawatishiwi!

    Naona leo umejitutumua mama yangu! Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli. Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote! Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi...
  3. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Rais Samia 'kutowawajibisha' Waziri Masauni na IGP Wambura ni dharau tosha kwa Watanzania

    Nina uhakika haya Matukio yangetokea katika nchi zenye Viongozi wanaojitambua hivi sasa Watu wenye Vyeo kama vya Waziri Masauni na IGP Wambura zamani sana wangekuwa wameshawawajibishwa kwa Kutumbuliwa na kuletwa Watu wapya wenye kujua Majukumu yao ila kamwe si kwa Tanzania.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli, Rais Samia na Tanzania

    Habari za jioni, nimekaa nimewaza lakini naona Samia utawala wake wote will always be compared na wa Magufuli, Ila sababu yeye bado yupo madarakani ana uwezo wakufanya makubwa sana kama akiwa na nia na uwezo wa kusimama imara maana vikwazo ni vingi sana na wengi hawataki kuona Tanzania imefika...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Utangulizi Ndugu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ninaandika ushauri huu kwa lengo la kuboresha mchakato wa uchaguzi wa wagombea kuanzia ngazi ya Wilaya, Mkoa, hadi Taifa. Ni wazi kwamba mfumo wa sasa una changamoto nyingi ambazo zinahitaji kutatuliwa ili kuhakikisha kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA tuachieni Yanga na Simba zetu, zilipambania uhuru wetu. Ninyi mmefanikiwa tu kutuambia Abdul ni mtoto wa Rais Samia

    CHADEMA wanazionea gere Yanga na Simba ambazo katika maisha ya watanzania ni kama usiku na mchana
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango wa Magufuli alistahili kuwa waziri wa Fedha, Mpango wa Samia hafai kuwa hata mkuu wa Mkoa

    Dr. Philip Mpango alikuwa waziri wa Fedha wakati wa utawala wa Rais John Magufuli, ambapo alionesha uwezo wa kipekee katika kusimamia masuala ya kifedha ya nchi. Katika nafasi yake, alifanya kazi kubwa katika kuimarisha ukusanyaji wa mapato na kuendesha mipango ya maendeleo, na hivyo kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Majaliwa wa Magufuli alistahili kuwa waziri Mkuu, Majaliwa wa Samia hafai hata Ukuu wa Wilaya

    Amani iwe nanyi wapendwa wezangu Nimekubali kweli kuwa ukali mbwa hutegemea anayemiliki Kuna mbwa kama pambo na kuna mbwa muwindaji Naona sura mbili za Kassim Majaliwa enzi za Magu na enzi za Mama yetu kipenzi. LONDON BOY
  9. JamiiForums Tanzania Haki Tanzania na 4R za Samia, Ni Mabadiliko ya Kweli au ni Kiinimacho?. Watanzania Waelimishwe Haki Zao, 4R Zisiwe Maneno Matupu, Tuombe Vitendo au?

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la Jumapili ya leo Kama kawa kila siku za Jumapili hutiririka na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa zenye swali hoja majibu utayatoa wewe msomaji mwenyewe. Swali la leo ni kuhusu haki nchini Tanzania na falsafa ya...
  10. JamiiForums Tanzania Joseph Butiku: Vyombo vya Ulinzi na Usalama visijifanye havijui mambo yanayoendelea nchini

    TAARIFA YA TAASISI YA MWALIMU NYERERE KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TABIA MBAYA ZINAZOHATARISHA USALAMA WA MAISHA YA WATANZANIA NA MALI ZAO Ndugu wanahabari nimewaiteni hapa, kuwaombeni kwanza; muisaidie Taasisi ya Mwalimu Nyerere kuwataarifu Watanzania wote na kuwaomba sisi sote tushirikiane...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: We were too quick to give President Samia Suluhu Hassan the benefit of doubt

    Tundu Lissu has apologise to the nation and international community, for being too naive https://m.youtube.com/watch?v=9djeud3m8Ic And Tundu Lissu went further by saying he and many tanzanians have to bare that heavy burden of wrongly thinking that any leader assuming the office under the...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Wimbo Wa "Muuaji Samia Must Go" Je, ni ishara kwamba Demokrasia imekua nchini?

    Jana nilipowasikia wanachama wa chadema wakiimba Samia muuaji must go! mwili wangu ulisisimka. Watanzania wote na dunia kwa ujumla tunajua na tunashuhudia ni kwa namna gani rais wetu SSH anavyopambana kutuletea maendeleo. Rais anapambana kuhakikisha democrasia inashamiri nchini. Watu wako huru...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Mgodi wa CATA Mining Mara waandamana, wakidai Mishahara, NSSF, wamwangukia Rais Samia

    Waliokuwa wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu wa CATA MINE uliopo kijiji cha Kyabakari, Wilayani Butiama Mkoani Mara, jana wameandamana kwa mara nyingine kuelekea katika Ofisi za mgodi huo, kushinikiza mwekezaji kuwalipa malimbikizo ya mishahara yao pamoja na NSSF. Wakiwa na mabango yenye jumbe...
  14. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukiona imefika mahali Freeman Mbowe akaja na kampeni ya Samia Must Go, basi ujue amechoka sana na mambo ni mabaya mno

    Freeman Mbowe ni mwanasiasa mtulivu, mwenye werevu na uvumilivu mkubwa sana. Hadi imefika Mbowe anaamua kuwa Samia Must Go, basi ujue kwa kweli mambo hayaendi vizuri katika nchi hii na kuna tatizo kubwa mno. Pamoja na kwamba uvumilivu ni jambo jema sana kila wakati, kuna mahali inafika hata...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili la mauaji Rais Samia amekasimu madaraka hafiki moja kwa moja kwa wananchi tumpe haki yake

    Habarini, Yawezekana kabisa Rais Samia hausiki kwenye mauaji au uvunjifu wa sheria uliopo sasa kwani amekasimu madaraka kwa watu wenye kujua majukumu yao na kujiona wanaweredi,hivyo basi hao waliokasimiwa na kwenda kinyume ndiyo wawajibishwe na nguvu ya umma hasa nguvu ya mila na albadiri,huo...
  16. JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 Freeman Mbowe amemshukuru Rais Samia kwa kuungana na CHADEMA kuomboleza msiba wa mzee Kibao

    Nimeona poster ya The Chanzo yenye picha ya Freeman Mbowe ikiwa na maelezo ya kwamba Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amemshukuru Rais Samia kwa kuungana na CHADEMA Kuomboleza msiba wa mzee Kibao, je taarifa hii ni ya kweli na chanzo chake ni The Chanzo.
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameizawadia Serengeti Girls Milioni TSh 30 kwa Kutwaa Ubingwa wa Unaf

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameizawadia timu ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Girls’ kiasi cha Sh30 milioni baada ya kutwaa ubingwa wa Unaf huko Tunisia wiki iliyopita. Fedha hizo zimekabidhiwa Septemba 11, 2024 na Waziri wa Utamaduni...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt Samia kama emperor Commodus

    GTs, Kwa sisi watalaamu wachache wa historia, kama ulisoma kitabu cha utawala wa Warumi (Roman Empire), utakubaliana kuwa utawala wa Dkt Samia ni kama wa emperor Commodus. Yaani Dkt Samia toka mwanzo sisi wananchi wa kawaida tilimuuma masikio kuwa Mama kuna wanakuhujumu achana na safari za nje...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe, achana na Samia Must Go. Ni Uhaini mtupu na mtatesa familia zenu

    Samia Must Go ni uhaini, unaenda kujitesa mwenyewe na kutesa familia za wenzako, Lissu mkewe na watoto hawako nchini, Lema naye ni hivyo hivyo mkewe analishwa na wazungu huko Canada. Hiyo Samia Must Go akifa mtu siku hiyo mshtakiwa wa kwanza ni wewe kwa sababu dunia nzima imekusikia. Samia...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anaetaka kumpinga Rais Samia asigombee 2025 anaweza kuja na hoja gani? Anahujumiwa?

    Inafahamika kuwa 4Rs zilimnyanyua juu juu juu zaidi kimataifa Rais Samia kwenye nyanja ya demokrasia. Hii inaweza kuwa chanzo cha hasira kwa wale wote waliokuwa wakisema hataweza. Bwawa limekwisha, SGR anabeba watu, madaraja yanamalizika kujengwa, barabara za mabasi ya haraka vumbi linatimka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…