samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mama yangu Raisi Samia Suluhu Hassan, waziri wa ulinzi pamoja na waziri wa miundombinu. Tumieni DK 5 tu kusoma hili juu ya SGR

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Roho yangu binafsi inaniuma sana kuona kuna baadhi ya watu wanahujumu huu mradi wa SGR, tena wengine ni mafundi au wanahusika kwa namna moja ama nyingine. Opinion yangu; Mh Raisi na waziri wa ulinzi tengeneza taskforce kali sana, zitungiwe sheria ndogo maalumu kwa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Siasa ni akili sana. Akina bashiru, polepole, palamagamba nk wamemtumia mpina kuushale utawala wa Samia mwishowe kapotea mazima.

    Mi huwa naamini kwamba kila mwenye degree basi ana akili sana ya utambuzi. Hii ni kinyume na mpina. Alifikiri zile ngonjera za kutukana na kukosoa na kushangiliwa na laymen wasiojua lolote bali kufurahi mtu anapotumbuliwa ili afanane na wao. Mama aligundua hilo akaamua kufanya divide and rule...
  3. JamiiForums Tanzania PUBLIC RELATIONS: Rais Samia anaweza kutumia busara tu. Ijumaa (December 27, 2024) iwe siku ya mapumziko.

    Kwa kuwa Xmas ni Jumatano na Boxing Day ni Alhamisi, Rais Samia anaweza kutumia busara tu ya ukuu wa nchi Kwa kusema tu, Ijumaa watu wapumzike na kazi zianze rasmi Jumatatu ya December 30. Hata kama sikuu ya Idd mosi ikiangukia Jumatano na Idd Pili Alhamisi, still Ijumaa watu wanaweza...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Biteko anafaa kuwa rais baasa ya Samia kuongoza nchi kwa takribani 40 years mana hatujawahi kuwa na rais aina hii.

    Hakina Samia ni rais na nunu nchi haijawahi kuwa na rais kama huyu tangu tupate uhuru. Rais mpole na msikivu Rais mpenda maendeleo tena kimya kimya bila kelele eti kishindo cha samia kama ilivyokuwa kwa jpm After 10 years to come unemployment rate iliyotengenezwa na jpm itakuwa imeisha na...
  5. JamiiForums Tanzania Mama mwenye watoto mapacha walioungana kifua, amshukuru Rais Samia kwa kumgharamia matibabu

    AHSANTE RAIS SAMIA Huyu ni Hadija Shaban Omar, mama mwenye watoto mapacha walioungana kifua, tumbo na nyonga wenye umri wa miaka Mitatu anapenda kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumgharamia kipindi cha miaka mwaka mmoja wallivyokuwa wanapata...
  6. JamiiForums Tanzania Jarida la Forbes: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama moja ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi Duniani na jar

    Jarida la Forbes Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama moja ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi Duniani na jarida la Forbes. Ushawishi wake katika masuala ya Diplomasia na kuwa kinara wa Nishati safi Duniani ni baadhi ya sababu, namna anavyoendesha nchi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Uchumi Duniani yaonyesha matokeo makubwa Uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia

    Uthibitisho wa ripoti ya Fitch Ratings umeipa Tanzania kiwango cha alama B+ kuwa na Uchumi unaokua kwa kasi na uwezo wa Kulipa Madeni ya Nje kwa Muda Mrefu (IDR). Ripoti hiyo imeonyesha mtazamo thabiti wa mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Sera...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dharau kubwa kwa viongozi wetu wa juu kwa wananchi ni kutokana na vitu hivi

    Dharau kubwa kwa viongozi wetu wa juu kwa wananchi ni kutokana na vitu hivi 1. Uongo kwa viongozi wa juu kabisa 2. Kuiba kura 3. Rushwa Huwezi kuheshimika kama hayo matatu huyashughulikii
  9. JamiiForums Tanzania Uchapakazi na uteuzi wa Samia kwa Gerson Msigwa wawakuna Yericko Nyerere na Malisa, wamwaga pongezi

    Samia ni kama maji, usipoyanywa, utayaoga. Vijana hawa ambao usoni ni wapinzani lakini kwa macho ya rohoni ni CCM lialia wamemwaga pongezi kedekede zilizojaa mazezele (mafuta mafuta).
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: CHADEMA ipo nusu kaputi, Mbowe hataki kupambana na Samia

    MAHOJIANO YA LISSU NA VOICE OF AMERICA (VOA) VOA: Nini kimetokea na uongozi wa sasa? Lissu: Umekuwa madarakani kwa miaka 20 na muafaka tunatakiwa kufanya mabadiliko ya lazima ili tuweze kupeleka chama mbele. VOA: Plani yako nini kama ukiwa M’kti, unapeleka chama vipi? Lissu: Hapa tulipo...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia aipandisha hadhi wilaya Rufiji kwenda kwenye hatua ya kuwa Mji

    Wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan siku ya leo ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji kuwa Halmashauri ya Mji, na Halmashauri ya Mji wa Geita kuwa Manispaa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, alitoa...
  12. JamiiForums Tanzania Mitano tena kwa Samia nini ushauri wako kama Mtanzania mwenye nchi?

    Kauli "Mitano tena kwa Samia" nadhani si ngeni masikioni mwa watanzania walio wengi. Ina maanisha kuwa baada ya kumaliza kipindi cha urais uliopatikana kwa mkono wa Mungu, rais Samia apewe miaka mitano tena ya kuongoza kuanzia mwakani baada ya uchaguzi mkuu. Je wewe kama mtanzania mwenye nchi...
  13. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Demokrasia CHADEMA ni kubwa kuliko CCM. Sidhani kuna mtu atathubutu kutangaza nia yake kugombea uenyekiti wa CCM dhidi ya rais Samia Suluhu Hassan

    Hongera CDM kwa kuonesha upeo mkubwa wa ki-demokrasia kwa kuwa na mfumo unaoruhusu wanachama kugombea vyeo mbalimbali ikiwa ni pamoja na uenyekiti wa chama. Huwezi kusikia mwanachama wa CCM anatangaza nia yake ya kugombea uenyekiti wa CCM dhidi ya mwenyekiti aliyepo madarakani. Chadema...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia Ajihadhari na Mtego wa Wa Fomu 1.

    Rais Samia alipoingia madarakani, kutokana na yale aliyoweza kuyatenda mwanzoni, alisifiwa, alipendwa na kuungwa mkono na watanzania wengi wenye akili timamu wenye mapenzi mema kwa Taifa: 1) Alifuta kesi za kuwabambikia wapinzani 2) Mara kadhaa alikemea vitendo vya kishetani vilivyokuwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wale tuliofurahi Dr Magufuli Kuongoza Nchi Milele tufurahie pia Dr Samia aendelee hadi atakapo choka.

    Watu waache ubaguzi. Kama enzi za Hayati Dr Magufuli mlifurahi aendelee kutawala endless kwanini ionekane ni kosa kwa Dr Samia kuendelea mpaka atakapoona amechoka mwenyewe? After all wote wanatokea kwenye chama tawala kimoja na wanachama ni wale wale. Uvccm ni wale wale. Wabunge ni wale wale...
  16. JamiiForums Tanzania Samia atajwa na Forbes kama moja ya wanawake wenye nguvu zaidi duniani kwenye mwaka 2024

    Wakuu, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametajwa kwenye orodha ya wanawake wenye nguvu zaidi duniani. Samia ambaye alitajwa pia mwaka 2023 amewekwa kwenye nafasi ya 91 katika list hiyo ambayo pia ilihusisha viongozi na wanawake mbalimbali maarufu duniani...
  17. JamiiForums Tanzania US dola imejaa mpaka inamwagika, hongera sana Samia, hongera mwigulu

    Hakuna rais wala waziri wa fedha hata mmoja aliyewahi kuishusha us dola namna hii, Hongereni sana, kutoka 2850/= mpaka 2400/=? Hakuna kama Mama, kama mitaa tu ni hivi, je uchaguzi mkuu si tutaogelea kwenye asali na maziwa? Mama na akae mpaka achoke NB: Mkijua kulaumu, mjue na kupongeza
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 BIMA ya Afya,Toto Afya Kete Murua kwa Rais Samia 2025

    Afya ni Mtaji kwa Binadamu yoyote madhali Tu huyo Binadamu anapumua Kwa Nchi zinazoendelea Tanzania ikiwepo BIMA ya Afya kipaumbele kwa Wananchi wote Kwa Tanzania Wananchi wengi wanaishi kwenye kipato cha chini hiyo pindi Afya inapokuwa mgogoro huna Bima ya Afya inakuwa shida kubwa Siku za...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Namshauri Paul Makonda asiwe anapenda kulia na kutoa machozi hadharani. Ajifunze kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa kiongozi Mkubwa na wa cheo kikubwa kama kuwa Mkuu wa Mkoa yaani Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa na kiongozi mwenye Ndoto ya kuja kuwa kiongozi Mkubwa siku za usoni . Siyo Vyema sana kuelemewa na hisia mpaka kufikia hatua ya kulia na kutoa au...
  20. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Ujumbe wa Kodi wenye picha ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wafika kilele cha Mlima Kilimanjaro

    Bendera yenye nembo ya TRA na picha ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa na ujumbe wa kodi wa “TUWAJIBIKE kulipa kodi kwa hiari kwa maendeleo ya Taifa letu” imefika katika kilele cha mlima Kilimanjaro tarehe 09 Desemba, 2024, mlima mrefu kuliko yote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…