Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa leo kufanya Kampeni ya kuomba kura Kigoma Mjini, ambapo kupitia Mahojiano ya Wasafi TV baadhi ya wananchi wa Kigoma wameeleza kupendezwa na mgombea huyo wakidai kauli mbiu ya mitano tena haitoshi kuwa ingefaa...
Mchungaji ameongea kwa hisia kali, lakini ni muhimu tukumbuke kuwa tayari Rais Samia alishatoa katazo mahsusi tusichanganye siasa na dini
Katika mahubiri yake akiwa kanisani, mchungaji huyo alizungumzia uchaguzi ujao, akieleza kushangazwa na wasomi na baadhi ya wabunge wanaoanza kampeni za...
My friends ladies, and gentlemen..
Ni wazi,
utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa zaidi ya 95% chini ya serikali sikivu ya CCM inayo ongozwa na rais kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan kutamfanya achaguliwe tena kwa kishindo, kumalizia ngwe yake ya pili muhimu sana ya...
Wakijibu mbele ya waziri mkuu wajumbe wa mabaraza ya jumuiya za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ruangwa Mei 3, 2025 wamesema hawamdai Rais samia na badala yake wamuahidi mitano tena. Waziri Majaliwa baada ya ahadi hiyo amesema atampigia Rais Samia ili kumfikishia salamu hizo.
Wasaniii wa Bongofleva Madee, AY na Chege (Samia Kings) wameshiriki kwenye shangwe za mapokezi ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Mkata Mkoani Tanga ambako anaanza ziara ya kikazi leo.
Soma Pia:
Ziara ya Kikazi ya Rais Samia Mkoani Tanga Februari 23, 2025
Wasanii Ay, Madee na Chege...
Hizi ni baadhi tu ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa;
1. TAA
2. TCRA
3. PPRA
4. BRELA
5. EWURA
6. TACAIDS
7. SUMATRA
8. TANROADS
9. TAKUKURU
10. TRA.
11. MKUKUTA.
12.MKURABITA.
Awamu ya sita ni
👇🏾
1. Samia Legal Aid
2. Goli la Mama
3. Samia App
3. Kazi Iendelee
4...
Naona sasa hivi watu wako bizee kumpigia chapuo mwenyekiti wa CCM ili achaguliwe na wananchi ifikapo October mwaka huu.
Hali hii inaonekana kwenye comments za vijana wa kijani ambao kila hoja utakayoleta hapa JF wao wanacomment tu Samia mitano tena.
Umaskini umechangia udumavu wa akili
Huyu mbunge jau sana, ndio shida ya ubunge wa kupewa, basi tuseme ni suala la muda tu kujiweka wazi kama mwanachama wa CCM, lakini hakupaswa kuwa chawa wa Mama.
Wabunge wa namna hii, wana mchango mdogo katika Taifa. Wanawaza maslahi yao badala ya maslahi Jumuishi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.