samia legal aid

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    GE2025 RC Anamringi Macha: Samia legal Aid yaokoa 177,000 Simiyu

    Akiongea na Wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anamringi Macha, amesema kuwa kupitia kampeni ya Kitaifa ya Samia Legal Aid, wananchi 177,114 (wanaume 80,000 na wanawake 97,114) wamepata elimu ya msaada wa kisheria ili kuongeza uelewa wa haki zao na taratibu za kisheria. Vilevile, watoa...
  2. W

    PreGE2025 Ndumbaro anaposema Samia Legal Aid siyo bure ni kwamba wote tumelipiwa na Rais anamaanisha hizo hela zinatoka mfukoni mwake ama?

    Akizungumza katika Uzinduzi wa msaada wa Kisheria wa mama Samia, waziri wa katiba na sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa kampeni hiyo inaonekana ni bure na inatolewa bure kwa wananchi lakini ki uhalisia huduma hiyo imelipiwa na Rais Samia.
  3. W

    PreGE2025 Ndumbaro: Samia Legal Aid siyo bure ni kwamba wote mmelipiwa na Rais Samia

  4. Nipe Maji

    PreGE2025 Damas Ndumbaro: Mama Samia Legal Aid imewafikia wananchi zaidi ya milioni mbili

    Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mpaka sasa imefika katika mikoa 23, ambapo imesikiliza na kutatua kero na changamoto za Wananchi ambapo mpaka sasa takribani wananchi milioni mbili, laki moja na tisini na mbili, mia tatu...
  5. Mindyou

    PreGE2025 Wilbroad Slaa: Huwezi kumsifia Rais kwa kodi yangu. Samia Legal Aid ilikuwepo tangu kipindi cha Nyerere

    Wakuu, Akizungumza hivi karibuni kwenye mahojiano ya moja kwa moja na Jambo TV, mwanasiasa maarufu ambaye alishawahi kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2010, Wilbroad Slaa amesema kuwa sio sahihi kwa Rais kusifiwa kwa kutekeleza miradi ambayo imefadhiliwa na kodi za watanzania.
  6. Just Pray

    Rufiji: 16003 wanufaika na msaada wa kisheria wa Samia Legal Aid

    Jumla ya watu 16003 wakazi wa vijiji 30 wilayani Rufiji mkoani Pwani wamenufaika na msaada wa kisheria bila malipo kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria wa Mama Samia. Hayo yamebainishwa na mratibu wa kampeni hiyo Wilayani humo Gloria Baltazari ambaye pia ni Wakili wa Serikali anayehudumu...
  7. Just Pray

    PreGE2025 Mrisho Gambo: Rais Samia anaishi 4R kupitia Samia Legal Aid

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuanzisha Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, akibainisha kuwa kampeni hiyo imekuwa msaada mkubwa kwa wananchi wa Arusha na maeneo mengine nchini. Akizungumza Ijumaa, Machi 7, 2025, katika...
  8. M

    PreGE2025 Makonda: Rais Samia amelipia gharama zote za Samia Legal Aid, wananchi msiwe waoga kudai haki zenu

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amepongeza juhudi za Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha haki inapatikana kwa wote kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia. Akizungumza Alhamisi, Machi 6, 2025, katika Uwanja wa TBA jijini Arusha, Makonda amebainisha kuwa...
  9. W

    PreGE2025 Mawakili wa Samia Legal Aid kusimamia kesi za wananchi mahakamani

    Wizara ya Katiba na sheria imetuma Mawakili wa serikali takribani 50 ambao kwa siku nane mfululizo watakuwa Mkoani Arusha, kusikiliza na kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi wa Mkoa huo kupitia kampeni ya Kitaifa ya msaada wa kisheria ya Mama Samia inayokwenda sambamba na maadhimisho ya siku ya...
  10. W

    PreGE2025 Lindi: Zaidi ya watu 120,000 wanufaika Samia Legal Aid

    Kamati ya msaada wa Kisheria imewasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli hiyo iliyodumu kwa muda wa siku 10 ndani ya mkoa wa Lindi tangu ilipozinduliwa Februari 19, 2025 wilyani Ruangwa na Mhe. Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kupata taarifa na matukio...
  11. Mindyou

    PreGE2025 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Jumanne Sagini: Kampeni ya msaada wa Kisheria (Samia Legal Aid) itafikia mikoa yote mpaka Mei 2025

    Serikali imezindua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Pwani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhakikisha haki inapatikana kwa wananchi wote, hususan wale wenye changamoto za kisheria lakini wasio na uwezo wa kugharamia huduma hizo. Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika leo...
  12. Mindyou

    PreGE2025 Picha: Haya maandamano ya kuzindua Samia Legal Aid Campaign mkoani Mbeya yalikuwa na umuhimu gani?

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ameongoza maandamano kutoka eneo la Mafiati hadi Viwanja vya Stendi ya Kabwe panapofanyika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) katika mkoa huo. Kampeni hiyo inaratibiwa na Wizara ya Katiba na Sheria.
  13. Just Pray

    Samia Legal Aid wamaliza mgogoro wa majirani Mwanza

    Jopo la Wanasheria wa Serikali kutoka Wizara ya Katiba na Sheria wakiongozwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Haki za Binadamu Bi. Beatrice Mpembo Februari 19, 2025 Jijini Mwanza wamefanikiwa kutatua changamoto ya ardhi iliyokuwa ikiwakabili wananchi wa Kata ya Nyamagana. Hayo ya yamejili kufuatia...
  14. Mindyou

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua kampeni ya Mama Samia Legal Aid mkoani Lindi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 19, 2025 atazindua kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika mkoa wa Lindi, kwenye viwanja vya Madini, Ruangwa Mkoani humo. Lengo la Kampeni hiyo ni kuwafikia wananchi wenye uhitaji na wasio na uwezo wa kumudu gharama za huduma za...
  15. Mindyou

    PreGE2025 Kampeni ya Samia Legal Aid yatua mkoani Lindi kutatua changamoto za wananchi za kisheria

    Wananchi Mkoani Lindi wametakiwa kujitokeza kupata elimu ya msaada wa kisheria kupitia kampeni ya mama Samia Legal AID inayolenga kutatua changamoto za kisheria ambazo zinawakumba wananchi. Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack,ambaye amewakilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani...
  16. Mindyou

    Kampeni ya Mama Samia Legal Aid yatarajiwa kuanza Mwanza kuanzia Februari 18 hadi 27. Mkuu wa mkoa atoa neno

    Mkoa wa Mwanza unatarajia kuzindua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia itakayodumu kwa muda wa siku 10 kutoka Februari 18 hadi 27 mwaka huu katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amesema mara baada...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Wananchi wangekuwa wanamkubali kwa dhati Rais Samia kungekuwa na haja ya kuanzisha Samia Cup, Samia Legal Aid, Cheka na Samia na kadhalika?

    Wakuu Ni wazi kuwa kuna jitihada kubwa zinafanyika kumpaisha Rais Samia kila kona ya nchi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu. Kwenye michezo yupo! Mama Ntilie na gesi, machinga yupo! Sekta za afya na sheria yupo! Pesa kuendesha nchi ndio kabisa, kwa 200% yupo! Tujiulize je, hii ni ishara...
  18. Mindyou

    Kilimanjaro: Samia Legal Aid Campaign yatatua mgogoro wa ardhi uliodumu miaka zaidi ya 30

    Timu ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) imefanikiwa kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu miaka zaidi ya 30 na hatimaye kufikia tamati. Hayo yalijiri Februari 8,2025 baada ya timu hiyo kumkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu, taarifa ya utendaji kazi ya...
  19. Ojuolegbha

    Geita: Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aid yawafikia Wananchi 161,154

    Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) Mkoa wa Geita imewafikia Wananchi 161,154 ambapo kati ya hao wanaume ni 80,810 na wanawake ni 80,344. Kampeni hii inatoa msaada wa kisheria BURE huku elimu ya sheria imetolewa kwenye maswala ya ardhi,ndoa, mirathi, na...
  20. Mindyou

    Kampeni ya Samia Legal Aid imefika Mpanda mkoani Rukwa

    Timu ya Wataalam ya kampeni ya msaada wa kisheria wa mama Samia Legal Aid (MSLAC) ikiongozwa na Salome Mwakalonge ambaye ni Mratibu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria imeendelea kutoa elimu ya kisheria kwa Wananchi wa Manispaa ya Mpanda. Timu hii ya wataalamu imefanikiwa kutatua mgogoro baina ya...
Back
Top Bottom