samia hana

Samia al-Amoudi (Arabic: ساميه العمودي) is a Saudi Arabian obstetrician and gynecologist, healthcare activist and professor. She is the head of the Sheikh Mohammed Hussein Al-Amoudi Center of Excellence in breast cancer. She is best known for her work in raising breast cancer awareness, after diagnosing herself with the disease. She is also the first woman from the Gulf Cooperation Council to sit on the Union for International Cancer Control board.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    PostGE2025 CHADEMA: Rais Samia hana uhalali wa kuiongoza nchi yetu, Serikali yake ni haramu

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara John Heche amesema kuwa Rais Samia hana uhalali wakuiongoza nchi yetu kwa kuwa serikali yake ni haramu na ni mtawala asiye halali. Ameyasema hayo leo Desemba 11,2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari akiwaambia kuwa huo ndio msimamo wa chama hicho...
  2. H

    PostGE2025 Rais Samia hana kosa lolote makosa yako kwenye wingi wa wasaidizi wabovu anaowakumbatia

    Habarini,ni wazi uongozi au jeshi bora siku zote hutikana na watu wake wa chini kuwa bora kwa uadirifu katika nidhamu,hekima,ukweli na uwajibikaji. Wasaidizi wengi wa Rais ni mamburura wa kutupa wanaomuingiza chaka Rais kwa kumpa taarifa za uongo na utendaji kazi wao mbovu. MaRC, maDc, maDas...
  3. Genius Man

    PostGE2025 Samia hana uwezo wa kuingia mitaani kuongea na wananchi. Kadri anavyoendelea kuua anaongeza hasira za watu!

    Samia hana uwezo wa kutoka kuingia mitaani kuongea na wananchi kadri anavyo endelea kuuwa wananchi ndio anaongeza hasira watu. washauri wake ni akina kingwendu au ? samahani kingwendu.
  4. E

    MAMA SAMIA HANA KIPENGELE LABDA KIPENGELE UJE NACHO WEWE

    Sina mengi ya kuongea, Kipengele uje nacho wewe Asanteni sana
  5. Kabende Msakila

    Tusimwonee Samia, Tusimbeze Polepole - Katiba ya nchi inasemaje? SAMIA HANA KOSA!

    Team! Jana nilifuatilia kwa karibu wasilisho la Balozi Polepole na usiku huu nimerudia kusikiliza hoja yake kuhusu Rais kutogombea kwa hoja inayojengwa juu ya utamaduni. Hizi ni fikra mbovu kiasi fulani. # Wapi ilikoandikwa ktk Katiba kuwa VP, PM, Speaker hawaruhusiwi kuwa Rais miongoni mwao...
  6. Roving Journalist

    PreGE2025 Rais Samia achangia Milioni 150 na wafanyakazi ofisi yake wachangia milioni 100 Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maalum Kanisa la KKKT

    Rais Samia akishiriki Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maluum Kanisa la KKKT Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam, leo tarehe 5 Juni, 2025. =============================== RC Chalamila: "Nikupe pole Rais Samia. Tunaona kwenye mitandao wachache katika Taifa...
  7. Waufukweni

    LGE2024 Tundu Lissu: Samia hana tofauti na Magufuli, tofauti ni jinsia tu. Ana honga watu kwa hela ya wizi

    Akiwa kwenye muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mjini Tarime Tundu Lissu amesemaRais Dkt. Samia hana tofauti na mtangulizi wake hayati John Magufuli, tofauti yao ni jinsia tu. Ana honga watu kwa hela ya wizi.
Back
Top Bottom