samia ajiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Nadhani ili Taifa lipone, Samia ajiuzulu. Kinyume na hapo vikwazo kutoka nje ya nchi vitaongezeka, misaada itafutwa na maisha yatazidi kuwa magumu

    Tangu October 29 2025 mpaka leo nchi haijarudi kuwa sawa mivutano ya huku na kule haiishi , mambo ya msingi yanashindwa kufanyika zaidi na zaidi mazungumzo ni yaleyale ya oct 29 pesa nyingi inatumika kusaulisha / kusafisha tukio la oct 29 lakini mbaya zaidi kadri ccm wanavyotaka kujisafisha...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kurejesha na kulinda heshima ya Taifa letu Rais Samia ajiuzulu, uchaguzi urudiwe tukiwa na Katiba mpya

    Taifa letu limechafuka. Sio tu kuwa limepata doa kama yeye mwenyewe rais Samia alivyosema bali limechafuka. Anaonekana kuwa sio rais halali na ameingia madarakani kwa mtutu wa Bunduki kwa kumwaga damu za raia wasiomtaka kuwa kiongozi wao. Waangalizi toka jumuia ya SADC waliweka wazi kuwa...
  3. Mi mi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Matatizo hayatoondoshwa kwa Samia pekee kuachia madaraka

    Matatizo ya Tanzania yanayo pigiwa kelele kwa muda mrefu na wananchi hayato ondoshwa au kupunguzwa kwa Samia pekee kujiuzulu na kuundwa katiba mpya. Kama CCM itaendelea kusalia madarakani basi ifahamike hakuna jambo la maana litakuwa limefanyika na damu za watu zitakuwa zimenda bure...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Malisa: Rais Samia ajiuzulu kabla ya Disemba 9 au Akabili Maandamano makubwa ambayo hayajawahitokea Barani Afrika

    Katika video aliyo-post kwenye chaneli yake ya YouTube, aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godfrey Malisa ameeleza maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania) baada ya kutangaza kuundwa kwa kamati hiyo siku chache zilizopita. Amesema...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mzee Malisa atoa tamko zito, asema rais Samia ajiuzulu mara moja iundwe serikali ya mpito

    Bila kuongeza maneno mengi video na tamko la mzee Malisa hili hapa:
  6. Agent-47

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mnaosema Samia ajiuzulu, ajiuzulu nini?

    Samia siyo Rais wa Tanzania kwa mujibu wa katiba. Uchaguzi haukuwepo kwahiyo hajachaguliwa tena. Hana cha kujiuzulu. Labda tu asaidiane na wengine kutuletea serikali ya mpito, aende apumzike tutamuita kujibu tuhuma za mauaji dhidi ya wapendwa wetu. Hivyo tu.
Back
Top Bottom