safia jongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    PostGE2025 RPC Safia Jongo: SERIKALI imetoa uhakika wa amani, ulinzi na usalama kwa wawekezaji Geita

    SERIKALI imetoa uhakika wa amani, ulinzi na usalama kwa wawekezaji wote ambao tayari wanafanya shughuli zao na wale wenye dhamira ya kufanya uwekezaji katika mkoa wa Geita. Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani Geita imetoa kauli hiyo mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya...
  2. Roving Journalist

    RPC Safia Jongo: UTPC tusaidieni Geita, Waandishi wengi hawana Maadili

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, ACP Safia Jongo ametoa wito kwa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) kuongeza nguvu na kuboresha hali ya utendaji wa Waandishi wa Habari Mkoani hapo kwa kile alichodai kuna changamoto ya utendaji na kukosekana kwa weledi. Akizungumza katika...
  3. Waufukweni

    SACP. Safia Jongo aonya Waganga wa Kienyeji wanaowarubuni Wanawake za Watu na kuwarekodi wakifanya Zinaa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita , SACP. Safia Jongo amewaonya baadhi ya Waganga wa kienyeji ambao wamekuwa wakituhumiwa kuwatibu Wanawake kwa kuwarubuni na kufanya nao zinaa huku wakiwarekodi na kuwatishia kuziachia video hizo endapo wataachana, jambo ambalo ni kosa kwa mujibu wa sheria. Hayo...
  4. JanguKamaJangu

    RPC Geita: Ofisi za Kata sio Kituo cha Polisi

    Jeshi la polisi mkoa wa Geita limepiga marufuku watendaji kuanzisha vituo vya polisi katika ofisi za kata bila kuwa na vibali kutoka serikalini. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamshna Msaidizi Mwandamizi Safia Jongo ameyasema hayo jana wakati wa muendelezo wa semina ya polisi jamii pamoja na...
  5. JanguKamaJangu

    RPC Geita: Askari haruhusiwi kumpiga mtu, anatakiwa kumueleza kosa lake na amfikishe Kituoni

    Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi SACP Safia Jongo ambaye ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita amesema hakuna mtu akiwemo Askari Polisi anayeruhusiwa kumpiga mtu bali anatakiwa amueleze kosa lake na amfikishe Kituo cha Polisi. Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Safia...
Back
Top Bottom