safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kurejea Bara ni leo. Asante Wazanzibar kwa ukarimu wenu hakika nyie ni watu wa Iman

    Ugeni wangu wa Zanzibar ulifana sana! Nimeshuhudia mengi na kujifunza mengi sana; Nimejifunza wazanzibari wengi wanaishi kijamaa sana! Wazanzibari Wana utaratibu wa kufuatilia wageni kimyakimya kwa kila mgeni anaeonekana mtaani ili kujiridhisha alipofikia na kujua ni mgeni wa nani; Hivyo ni...
  2. JamiiForums Tanzania Shirika la Ndege la ATCL laanza safari zake za ndege kwenda Entebbe, Harare na Lusaka

    Baada ya nchi za Zimbabwe, Uganda na Zambia kufungua anga zao zilizofungwa sababu ya Corona Shirika la Ndege la ATCL laanza safari zake za ndege kwenda Entebbe, Harare na Lusaka Karibuni tupae na Ndege alizotununulia Dkt. Magufuli
  3. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

    “Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe. “Miaka...
  4. I

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ule mtaji wa 'vijana hawapigi kura' safari hii haupo

    CCM wamekuwa wakitumia kasoro ndogondogo miongoni mwa wapiga kura kama mtaji wa kisiasa. Kwa miaka na chaguzi kadha, imekuwa ikiaminika kuwa vyama vya upinzani vinapendwa na kujaza vijana katika mikutano yao lakini vijana hawa hawapigi kura pale muda wa kufanya hivyo unapowadia. Dhana hii...
  5. JamiiForums Tanzania Meli mpya kwa ajili ya Ukerewe yakamilika kama ilani ya CCM ilivyotaka, imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Octoba 2020

    CCM Kwenye ilani iliahidi kujenga meli mpya baada ya ile ya MV NYERERE kupata ajali. Leo imekamilika kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020 ina uwezo wa kubeba abiria 300. Tatizo la usafiri Ukerewe kuwa historia. Kama ilani ya...
  6. JamiiForums Tanzania Safari ya Sudani Kusini

    Safari Yangu Nchini Sudani Kusini ------------------------ Nchini Sudan Kusini, Mifugo Ni Mingi Kuliko Wanandamu. ------------------------ Nchi ya Sudani Kusini ni moja ya nchi inayopatikana hapa barani Afrika. Ukiwa hapa barani Afrika nchi ya Sudan Kusini inapatikana upande wa Afrika...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Polisi waondoa kizuizi alichowekewa Tundu Lissu Kiluvya. Asema anaendelea na safari yake

    Baada ya mapema leo polisi kuzuia msafara wa Tundu Lissu eneo la Kiluvya, hatimae wameondoka na kuacha uendelee na safari na Lissu amesema ataendelea na safari yake kama ilivyopangwa na atakutana na wanachama usiku huu. Baada ya polisi kuondoka, Lissu ameongea yafuatayo. LISSU: Nasikia hata...
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    HALIMA MDEE, FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO UMEPELEKA WAPI? Bunge la JMT limetunga Sheria iliyoanzisha na kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo kwa lengo la kurahisisha na kumsaidia Mbunge wa kuchaguliwa Jimboni kupata fedha hizo kwa lengo la kurahisisha kutatua changamoto mbali mbali za Maendeleo...
  9. JamiiForums Tanzania Safari za treni Dar - Arusha kuanza Oktoba 2, 2020

  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Maprofesa Baregu na Safari mko wapi kuisaidia CHADEMA?

    Baregu na Safari mlikuwa maprofesa wawili muliojiweka wazi kuisaidia CHADEMA. Ni muda sasa siwasikii kabisa! CHADEMA iliwakataa au mliishindwa wenyewe? Nawatafuta kwa sababu njema maana ninaposikia na niliposoma ilani ya chama hiki, inasikitisha. Ni ilani isiyo na mikakati lakini inataja...
  11. JamiiForums Tanzania Safari ya kwenda Mbinguni imeahirishwa

  12. JamiiForums Tanzania Safari yangu Dar - Kahama nayokumbana nayo

    Wana JamiiForums. Leo nmeondoka Dar asubuhi saa 12:00 nikitoka home Tabata Segerea. Nipo peke yangu gari ninayotumia ni Harrier Old Model CC 3000 Six Cylinder. So far gari inafunguka vizuri sana na ni nzito inatulia barabarani muda huu nimepita Bwawani. Nimeendesha kwa mwendo wa Chama na...
  13. JamiiForums Tanzania Miaka mitano iliyopita " alisukumiziwa" lakini safari hii anaomba yeye mwenyewe

    Kumbe Uongozi Raha sana na Ukishauonja tu utaupenda uendelee nao. Nakumbuka kuna Kiongozi Mmoja miaka Mitano iliyopita "Alisukumiziwa" kugombea sasa amenogewa Safari hakusubiria "Kusumiziwa tena" anaomba mwenyewe.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais kutotoka nje ya nchi ndiyo Uzalendo? Hatukusema usitoke kabisa bali tulichukia safari zisizo na tija

    Mgombea wa CCM John Magufuli amenukuliwa siku za hivi karibuni kwenye kampeni zake kuwa alipoapishwa kuwa Rais wa Tano wa Tanzania moja ya mambo aliyoyafanya ni kutotoka nje ya nchi na hasa kutokwenda nchi za Ulaya na Marekani. Sababu za kutokwenda Ulaya na Marekani ni kuwa yeye ni mzalendo na...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania safari za Kenya zimewashinda licha ya kuachiwa uwanja wote

    Ndege za Tanzania zimeshindwa safari za Kenya/Tanzania baada ya kukosa abiria wa kutosha, uwanja wameachiwa wote maana hamna ndege za KQ zinazoruka hiyo ruti, dunia hii ukiendeshwa na chuki utaishia kuteseka mwenyewe badala ya wahanga wa chuki zako. ===== The Tanzania-based Air Precision has...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Precision Air yafuta Safari zote za kwenda Kenya licha ya Kenya kuruhusu Safari zake

    MY TAKE: Lazima baba wa familia ya EA ajulikane na heshima iwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ____________ Shirika la Ndege la Precision Air limetangaza kusitisha kurejeshwa kwa safari zake za Nairobi nchini Kenya kutokana na uhitaji mdogo. Taarifa iliyotolewa na Shirika hilo imesema...
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe afurahishwa na uteuzi wa Wagombea Ubunge wa CCM, awakaribisha ACT-Wazalendo wale waliokatwa

    Mgombea urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amefurahishwa sana na uteuzi wa wagombea Ubunge wa CCM na kuwapa pole wote waliokatwa kwa sababu walikuwa karibu naye. Membe amewakaribisha wale waliokatwa kujiunga na ACT-Wazalendo ili safari iendelee. Ameandika katika akaunti yake ya...
  18. JamiiForums Tanzania The rise and fall of Andrew Chenge: Safari yake ya kisiasa ilivyohitimishwa

    Andrew Chenge alizaliwa Tanganyika Tarehe/Mwezi/Mwaka 24/12/1947 . Kwasasa ana miaka 73. Andrew Chenge ni Mbunge wa Bariadi taangu 2005. KAZI NA TEUZI MBALIMBALI 2005-Sasa -mbunge Bariadi magharibi na Mwenyekiti wa Bunge 2006-2008 Aliteuliwa kuwa waziri wa Miundombinu alijiuzulu mwaka 2008 kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Alichonifanya mume wangu baada kurudi toka safarini

    Money Penny: shoga vipi mbona shingo imejaa rangi nyekundu Nani kakung'ata?! "Shoga: mume uyo, kani-ng'atang'ata Jana alipotokea safari Karudi toka safari, sijaonana nae Miezi 6 tangu aondoke, kufika na kufika ananikumbatia mara aning'ate mara aniulize kama nimemmiss Nikamwambia nimemiss...
  20. JamiiForums Tanzania Mbona Naona safari hii kama Disney kakwama flani hivi

    Habari zenu, Nipo nimecheck hapa trela la Mulan toka kwa Mtayarishaji na Muongozaji Walt Disney ila sijaona movie nyenyewe kabisa lakini trela Naona kabisa kuna kitu kimemiss mule Disney hajaweka sijajua kama nikiangalia Movie nyenyewe nzima labda nitakiona, na kitu chenyewe ni hiki ni yule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…