safari za treni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nicolas J Clinton Gabone

    Kusitishwa kwa safari za treni ya SGR kati ya Morogoro na Dodoma, nidhamu ya kitaifa inatakiwa kuwa mjadala wa kisera na na kisheria

    KUSITISHWA KWA SAFARI ZA TRENI YA SGR DAR ES SALAAM–DODOMA Na, Nicolas Jovin Clinton Gabone Hivi karibuni, Shirika la Reli Tanzania TRC limethibitisha rasmi kusitishwa kwa muda usiyojulikana kwa safari za treni ya SGR kati ya Morogoro na Dodoma, hatua inayosababisha athari za moja kwa moja...
  2. Waufukweni

    Abiria SGR wasota stesheni, Mvua zakwamisha safari za Treni

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema limepata changamoto kwenye mfumo wa umeme karibu na Stesheni ya Ruvu mkoani Pwani, hali iliyosababishwa na mvua inayoendelea kunyesha nchini. Akizungumza na Swahili Times, Afisa Habari wa TRC, Fred Mwanjala amesema kwa sasa mafundi wako eneo la tukio...
  3. T

    Nilicho-experience katika safari za treni za SGR hadi sasa

    Nimesafiri na aina zote za train tokea ile ya enzi za mkoloni aka gari moshi hadi hii SGR ile express na Ordinary. Wastani wa safar zangu kwa sasa ni kama mara 24 nikipanda madaraja ya uchumi (economy) na biashara (Business). Royal class ipo njian pia. Naipongeza serikali kwa huu mradi, hakika...
  4. Waufukweni

    TRC yaomba radhi baada ya Treni ya SGR kukwama njiani Januari 8, 2025

    Shirika la Reli Tanzania (TRC), linapenda kutoa pole kwa abiria waliokuwa wakisafiri kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma Januari 8, 2025 kufuatia usumbufu uliojitokeza kutokana na hitilafu ya kiufundi iliyotokea katika kituo cha Ihumwa Dodoma majira ya saa 5:38 usiku. Tunajua kuwa safari...
  5. Roving Journalist

    Kuelekea Sikukuu, TRC yaongeza safari za treni kuelekea mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha

    ONGEZEKO SAFARI ZA TRENI NA NAULI Dar es Salaam, Tarehe 07 Disemba 2024. Shirika la Reli Tanzania - TRC linauarifu umma kuwa kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka, kutakuwa na ongezeko la safari za treni kuelekea mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha. Siku ya Jumatano itaongezeka kujumuisha...
  6. mtungu

    Tarehe 14 mwezi huu safari za treni zinatarajia kuanza

    Cha ajabu hadi leo nauli hazijatoka ata matangazo kwenye redio na tv, hamna kuwajulisha wananchi mbalawa na kadogosa. Mlisema kweli au kamba ngoja tuone zimebaki siku 10 tu Morogoro iwe saa 1 na nusu watu wamefika kama kweli.
Back
Top Bottom