sabufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SSH2025_2030

    PostGE2025 Jumba bovu kumuangukia Wambura & Chala Sabufa!

    Tuendako jumba bovu ataangushiwa Wambura na Chal Sabufa. Kuokoa watu wasiende ICC
  2. nipo online

    Kwa mara ya kwanza namiliki DSTv, lakini nimechemka kupata sauti kupitia sabufa

    Nimetoa Waya wa HDMI umeenda katika TV, na inawaka, pia nikatoa Waya wa two in one kutoka kwa king'amuzi kwenda kwa sabufa hamna sauti, tafadhali nisaidien anakosea wapi, asante wakuu nawapenda
  3. R

    Sabufa aina ya Rising inauzwa

    wakuu na mali nyingine inauzwa Sabufa mpya kabisa japo imetumika, aina ya Rising mdundo wa maana Hometheatre Haoni ndani, Bluetooth, FM Radio, SD/MMC Card, Flash Disc kama kawaida. Bei sawa na Bure 120,000 tu. Nicheki 0784 884 950. Location Vikindu Mkuranga Pwani.
  4. Tanki

    Nauza Sabufa yangu. Ni mpya

    🔊 MziKi mNeNE 🔊 *Sabufa ni mpya, Ina wiki tatu tu tangu itoke dukani. Ina njia mbili za umeme, AC na DC, yaani inapiga kazi hata kwenye solar au betri tu ya gari au pikipiki. Ina Bluetooth FM Radio USB AUX Memory Card NOTE: Ipo na box lake na kila kitu chake, yaani waya zote na remote yake...
  5. M

    Nini chanzo cha sabufa kutoa sauti ya kukwaruza?

    Sabufa yangu inatoa sauti inayokwaruza nini chanzo cha hili tatizo?
  6. Mr_Plan

    INAUZWA Sabufa aina ya Alitop

    Natuma ni wazima wa afya,Nilikuwa na naitaji kununua sabufa katika pita pita nimekutana nahii sabufa kwa mwenye kuifahamu vizuri anipe mrejesho kabla sijayavagaa
  7. Faru Tobbi

    INAUZWA Nauza Sabufa aina ya Sea Piano

    Nauza sabufa aina ya seapiano bei 120,000 imetumika miezi 3 ila kama mpya. Mzigo makini mdundo mnene Inapatikana Ubungo Dar es salaam. Njoo pm tumalize biashara
  8. Buda95

    INAUZWA Sabufa ya gari na bajaji inapatikana kwa bei nafuu

    Subwoofer yenye Amplifier ndani -Watts 1000 Mdundo Kama Wote[emoji344] Kwa ajili ya Gari[emoji593] lako au Bajaji Zinapatikana kwa Jumla na Rejareja Bei 90,000/= Tupo Kariakoo-Dar es Salaam WhatsApp & Calls 0714122948 Delivery Ipo Mikoani Tunatuma Pia
Back
Top Bottom