s2kizzy

Salmin Kasimu Maengo (born 9 May 1996)popularly known by his producer-artist name S2KIZZY, is a Tanzanian record producer and songwriter. He is best known for producing Bongo Flava songs "Amaboko" and "Tetema" by Rayvanny featuring Diamond platnumz. He has produced albums for and overseen the careers of Diamond Platnumz, Rayvanny, Bill Nass and Vanessa Mdee. He is credited as a 'super-producer' in contemporary Bongo-Flava, Bongo-Trap, Afrobeats and Afro-pop.

View More On Wikipedia.org
  1. Damaso

    S2kizzy sio producer bora bali ni producer maarufu

    Dunia ya muziki wa Tanzania imekuwa ikipitia mageuzi makubwa kwa miongo kadhaa. Kila zama imezaa nyota zake – kuanzia wasanii, watunzi, waimbaji, hadi watayarishaji muziki (producers). Katika zama hizi za mitandao ya kijamii, kumekuwa na tabia ya baadhi ya watu kujianika hadharani na kujinadi...
  2. Waufukweni

    S2kizzy alivyoingia ukumbini baada ya kutangazwa jaji mpya wa Bongo Star Search msimu wa 15

    Producer wa muziki Bongo, S2kizzy alivyoingia ukumbini baada ya kutangazwa jaji mpya wa Bongo Star Search msimu wa 15.
  3. Waufukweni

    Wanachuo kibao walala nje ya studio za S2kizzy ili warekodi wimbo

    Hakuna ubishi kuwa S2kizzy aka Zombie ndiye producer mkali sana hivi sasa na amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuachia hit songs tu na kujijengea heshima ndani na nje ya Bongo. Hivi karibuni S2Kizzy alitangaza ku-record wimbo bure kwa wanafunzi wa chuo, na habari hii ilivutia umati mkubwa. Jana...
Back
Top Bottom