William Ruto became President of Kenya on 13 September 2022 following the 2022 Kenyan general election. While, William Ruto travelled extensively for official business as Deputy President of Kenya, the following is a list of international presidential trips made by William Ruto since assuming office.
Wakenya walitoka kwa wingi na kuandamana,
Wakenya walipata sapoti ya Media,
Wakenya walipata sapoti kubwa ya wasanii na watu mashuhuri,
Wakenya walifanikiwa kuandamana mpaka kuingia Bungeni, wakalishikilia Bunge,
Wakenya walitengeneza movement kubwa iliyoongelewa duniani kote.
Japo wakenya...
Nchini kenya kumekuwa na maandamano ya kila mara yaliyoibuka kuanzia Rais William Ruto alivyoingia madarakani na yamekuwa yakishinikiza mambo mbalimbali yanayofanywa na Ruto na tukumbuke kuwa Ruto aliingia madarakani September 2022 na maandamano ya kwanza yalikuwa March 2023.
Kwa kipindi hicho...
Rais William Ruto amepuuza wito unaoongezeka kutoka kwa viongozi wa upinzani wanaomtaka ajiuzulu, akiwataka badala yake waje na mpango mbadala unaotekelezeka badala ya kuchochea vurugu na hali ya kutoelewana nchini. Akizungumza huku kukiwa na mvutano wa kisiasa na maandamano ya kitaifa dhidi ya...
Rais wa Kenya, William Ruto, amezungumza kwa msisitizo kuhusu siasa za upinzani, akisema kuwa serikali haiwezi kuachia madaraka kwa watu ambao mpango wao pekee wa kisiasa ni kauli ya “Ruto must go.” Rais Ruto alisema haya katika hotuba yake ya hivi karibuni, akielezea kuwa taifa linahitaji...
https://www.youtube.com/watch?v=YEjvE7ZuX34
Wakenya wamejitokeza kwa wingi mitaani muda huu kuandamana kwa amani wakilaani mauaji ya Albert Ojwang, kijana aliyepoteza maisha mikononi mwa Polisi. Tukio hili limewaacha wengi wakiwa na hasira na huzuni, wakiona kuwa haki inakanyagwa na wale...
Msanii kutokea Bien akifahamika kama Bien-Aimé Baraza kutokea kundi la Saut Sol pale nchini Kenya amefanya show katika moja ya Tamasha kubwa nchini Kenya na kuacha watu kinywa wazi huku Wakenya wengi wakifurahia kibao alichutumbuiza kwa kukipiga mubashara akiimba "Ruto Must Go" huku Wakenya...
Leo jioni pale Nyayo Stadium, kulipigwa mchezo wa kufuzu kombe la dunia mwaka 2026 kati ya wenyeji Kenya Vs Gabon.
Kabla, wakati na baada ya mechi Wakenya wengi walisikika wakiimba kwa sauti, “Ruto must go” wakijaribu kupaza sauti kutokana na kutokukubaliana na utawala wa Rais William Ruto...
Wakuu,
Akizungumza hivi karibuni kwenye mahojiano, aliyekuwa makamu wa Raiswa Kenya, Rigathi Gachagua amesema kuwa alishapewa Ksh Bilioni 2 na Rais Ruto ili ajiuzulu nafasi yake ya Umakamu.
"Ruto aliniomba nijiuzulu, na kuniahidi KSh2 bilioni. Aliniahidi na ulinzi wa kutosha na marupurupu...
Wakenya walikusanyika kwa wingi na kuanza kuimba kwa nguvu "RUTO MUST GO." Mkutano huo ulilenga kujadili kufukuzwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, na umeshuhudia wananchi wakionesha hasira na kutoridhishwa na uongozi wa sasa.
Cheche kali za kisiasa na wakati mwingine vurugu zilishuhudiwa huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.