Sijui kwanini Malawi inaelekeza matumaini yake kwa hao Hususani wa Russia...
Mara ohh sijui Malawi haichaguliwi maadui wala marafiki... Ni sawa lakini maslahi ya Taifa yapo at stake... Mchina mfano binafsi sioni akiifaidisha Tanzania kama closed partner... Ona bidhaa feki zimetapakaa huko...
Guys
Kwa ambao huwa.hamfuatilii mambo ya kisiasa kiufupi Russia ni mpuuzi tu mbwa asiyekuwa na meno.
Russia kashawaingiza wengi mkenge kama South africa, Cuba, Zimbabwe na Venezuela hata hiyo BRICS haina lolote la maana wamekutana wanafiki tupu.
Naomba mfuatilie hali ya maisha ya CUBA kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.