rukwa

Rukwa Region is one of Tanzania's 31 administrative regions with a postcode number 55000 . The regional capital is the municipality of Sumbawanga. According to the 2012 national census, the region had a population of 1,004,539. For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third highest in the country. It was also the twentieth most densely populated region with 44 people per square kilometer.The region is bordered to the north by the Katavi Region, to the east by the Mbeya Region, to the south by Zambia, and to the west by Lake Tanganyika, which forms a border between Tanzania and the Democratic Republic of the Congo.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Waziri Mkuu, Mwigulu kufanya ziara ya kikazi Rukwa, Namanyere

    Ni Rukwa tena ziara ya kikazi,Namanyere Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 📅 Jumatatu – Machi 09, 2026 ⏰️ Kuanzia saa 3 asubuhi Lengo la Ziara: 1. Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Shule ya Amali ya Mkoa – Namanyere 2. Mkutano wa Hadhara – Namanyere 3. Kukagua...
  2. A

    DOKEZO RTO Rukwa akwamisha masomo ya madereva wa mabasi na malori

    Husika na kichwa hapo juu, Mimi ni dereva wa mabasi ya abiria Mkoa wa Rukwa. Nimeshindwa ku-renew leseni yangu kutokana na kukosa cheti cha PSV C PLAIN. Hivyo, nilipata taarifa kuwa Chuo cha VETA Mpanda kimekuja Rukwa kutoa mafunzo ya udereva wa Public Service Vehicles (PSV) na Heavy Duty...
  3. R

    GE2025 Mwenyekiti Machifu Rukwa: Tunachukizwa sana na wanaosema wanazuia Uchaguzi na kutaka kuandamana. Rais Samia anafaa kuendelea kuongoza

    Mwenyekiti wa Umoja wa Machifu wa Mkoa wa Rukwa, Charles Katata ametoa tamko la kumuunga mkono mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ili ashinde katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu Chifu Katata amesema, Machifu mkoa wa Rukwa wanachukizwa na mipango ya baadhi ya Watanzania...
  4. Mafyangula

    GE2025 Mwananchi: Tunafurahi kwa ujio wa Rais Samia, Rukwa, ila tunachangamoto ya maji afanye atutue ndoo kichwani

    Wananchi Mkoani Rukwa wamepata hamasa kubwa kufuatia tangazo la ujio wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye anatarajiwa kufanya mkutano mkubwa wa kampeni mkoani humo tarehe 18 na 19 Oktoba mwaka huu katika viwanja vya shule ya sekondari ya Kizwite...
  5. DuaZaMama

    Takukuru yabaini mapungufu katika miradi Rukwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Rukwa imetekeleza ufuatiliaji wa matumizi ya fedha za umma zenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 6.7 katika kipindi cha Aprili hadi Juni 2025. Kwa mujibu wa taarifa ya TAKUKURU, kiasi cha Shilingi 422,280,519 kilichotolewa kama...
  6. PendoLyimo

    REA kuanza usambazaji na uuzaji wa majiko banifu mkoani Rukwa

    REA KUANZA USAMBAZAJI NA UUZAJI WA MAJIKO BANIFU MKOANI RUKWA . Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Ndugu Msalika Makungu, leo Agosti 27, 2025, ametembelewa na ugeni kutoka Wakala wa Nishati Vijijini katika ofisi yake iliyopo katika mtaa wa 1 Barabara ya mkoani mkoa wa Rukwa.. Wakala huo ambao...
  7. Just Pray

    GE2025 Walioteuliwa na CCM kugombea ubunge majimbo ya mkoa wa Rukwa

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Rukwa katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba.
  8. Nipe Maji

    GE2025 Bilioni 12 kukamilisha ujenzi shule za sekondari Rukwa na Katavi

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekamilisha ujenzi wa shule mbili za kisasa za Amali Wilayani Kibondo Mkoani Tabora na Wilaya ya Mlele mkoani Katavi zinazogharimu Shilingi Bilioni 3.2 Vilevile serikali imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 8.8 kwa ajili ya...
  9. R

    GE2025 Serikali imetoa Billioni 12 kukamilisha Ujenzi wa shule Tabora, Katavi na Rukwa

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan imekamilisha ujenzi wa shule mbili za kisasa za Amali wilayani Kibondo, Tabora na Wilaya ya Mlele mkoani Katavi zinazogharimu Shilingi Bilioni 3.2 Vilevile serikali imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 8.8 kwa ajili ya...
  10. Mwanongwa

    Rukwa: Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza atuhumiwa kumuua mdogo wake wakati wakicheza mchezo wa kuchapana fimbo

    Jeshi la Polisi la Polisi mkoani Rukwa linamshikilia Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza kutoka Shule ya Sekondari Mtenga, Wilayani Nkasi Mkoani Rukwa, Samwel Kayoka (16) kwa tuhuma za mauaji ya mdogo wake Jackson Kayoka (14) kwa fimbo walipokuwa wakicheza mchezo wa kupigana kwa fimbo. Taarifa...
  11. R

    PreGE2025 Mohamed Kawaida: Vyama 18 vipo tayari kushiriki uchaguzi, tuchague viongozi wanaotoka CCM, October tunatiki

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesema kuwa vyama 18 kati ya 19 vya siasa vimeridhia kushiriki Uchaguzi ifikapo Oktoba 2025 ambapo ametaka Chama Cha Mapinduzi kuwa miongoni mwa vyama hivyo Aidha, ameongezea kwa kusema `sauti ya wengi ni sauti ya Mungu' huku akihusianisha...
  12. Nipe Maji

    PreGE2025 TUCTA Rukwa yawataka wananchi na wafanyakazi wote kushiriki uchaguzi

    Shirikisho la vyama vya wafanyakazi (TUCTA) mkoni Rukwa limetoa wito kwa wafanyakazi na wananchi kwa ujumla kushiriki kikamilifu katika zoezi la uchaguzi ili kupata viongozi bora watakaojali maslahi ya wafanyakazi na kuleta maendeleo ndani ya nchi. Hayo yamebainishwa na mratibu wa TUCTA mkoani...
  13. Dennis Robert Shughuru

    Tanzania ivutie waekezaji wajenge smelter za copper zaidi ya 20 mikoa ya rukwa na katavi

    Copper inachimbwa kwa wingi sana DRC tokea mda sana ila cha ajabu kama nchi tumeshindwa kutumia hii nafasi ya kuitumia copper kwa manufaa ya nchi Ni wakati wa nchi kuvutia waekezaji waje wajenge smelter za copper Tanzania na uzuri wa smelter za copper unaweza tumia blast furnance kwenye...
  14. musicarlito

    Ijue Rukwa na Katavi mikoa inayotia huruma kimaendeleo mtaji wa CCM

    Wasalaam Awali eneo lote hili lilikuwa mkoa mmoja mpaka hapo Katavi ilipotangazwa mkoa enzi ya utawala wa Kikwete Pinda akiwa waziri mkuu Kama umekulia Kilimanjaro...Mbeya ...Arusha...Dodoma bila kutaja Dar na Mwanza...ukienda mikoa hii unaweza kufikiri imeanzishwa hivi karibuni Ukiambiwa...
  15. W

    PreGE2025 Rukwa: Mradi Mkubwa wa maji wakamilika Mafinga

    Wananchi katika Kijiji cha Kasekela kata ya Mfinga bonde la ziwa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga, wameondokana na adha ya kuugua homa za matumbo baada ya Serikali kukamilisha mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya shilingi 422,498,413 .37 utakaohudumia wakazi wapatao 3500. Kaimu meneja wa RUWASA...
  16. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Kamati ya ushauri ya mkoa wa Rukwa yaridhia kugawanywa kwa jimbo la Kwela

    Kamati ya Ushauri (RCC) ya Mkoa wa Rukwa imeridhia kugawanywa kwa Jimbo la Uchaguzi la Kwela lililoko Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
  17. Ojuolegbha

    Mkoa wa Rukwa ni miongoni mwa Mikoa kongwe hapa nchini, tena ukiwa muhimu sana hasa kwa uzalishaji wa chakula

    Mkoa wa Rukwa ni miongoni mwa Mikoa kongwe hapa nchini, tena ukiwa muhimu sana hasa kwa uzalishaji wa chakula. Pamoja na hayo, kwa miaka yote hiyo Mkoa huu haukubahatika kuwa na usafiri wa anga wa uhakika, kutoka na kutokuwa na Uwanja wa Ndege unaokidhi vigezo. Ni Rais wa Awamu ya Sita Mhe...
  18. Just Pray

    PreGE2025 Rukwa: Kijiji cha Kanazi kunufaika mradi wa maji ya kisima

    Naibu waziri wa Maji, Kundo Andrew Mathew amefanya ziara ya kikazi katika halmashauri ya wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa katika ziara hiyo Naibu Waziri wa Maji pia ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji Mkangale na amekagua mradi wa maji mtaa wa Isunta akiridhishwa na utekelezaji wake...
  19. Just Pray

    Rukwa: Tume ya madini kuimarisha usimamizi wa sheria kuinufaisha jamii dhidi rasilimali zake, ujenzi wa shule wachangiwa mifuko 50 ya Saruji

    Tume ya madini mkoani Rukwa imeenza utekelezaji wa kanuni na utaratibu za umiliki wa leseni ya madini na namna ya uwajibikaji kwa jamii ilikuhakikisha jamii inayozungukwa na shughuli za uchimbaji wa madini inayonufaika na shughuli hizo. Akitoa ufafanuzi wa namna sheria hiyo inavyo tekelezwa...
  20. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula, azindua kituo cha mafunzo ya ushonaji, urembo, mapambo, na ujasiriamali kwa vijana wa Mkoa wa Rukwa

    Wakuu Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula, amezindua kituo cha mafunzo ya ushonaji, urembo, mapambo, na ujasiriamali kwa vijana wa Mkoa wa Rukwa, ikiwa ni hatua ya kuwawezesha kujiajiri na kupunguza changamoto ya ajira. Kituo hicho kipo chini ya Taasisi ya Sigula Wezesha Foundation, ambayo...
Back
Top Bottom