rudisheni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kanisa la EAGT rudisheni makanisa yenu yote mlikotokea TAG. Mnaichosha Serikali na migogoro yenu isoyoisha

    Katika kanisa linaloongoza sasa hivi kwa migogoro ya wenyewe kwa wenyewe ni EAGT. Inaonyesha kabisa hawawezi kujisimamia kutwa kusumbua Serikali na msajili. Hilo kanisa la EAGT walitokea Kanisa la TAG .Kule TAG kuna utulivu mkubwa na hakuna migogoro Kanisa la EAGT rudisheni makanisa yenu yote...
  2. R

    M Pesa/Airtel Money rudisheni pesa yangu

    Hawa jamaa sijui vipi. Nimefanya transaction Jumatano iliyopita, nimemtumia mtu wa Mpesa kwa bahati mbaya miamala ikaenda mara mbili. Nimewasiliana na Airtel Money wanasema wanasema Mpesa itarudisha ndani ya masaa 48. Leo sijaona muamala wowote . Rudisheni pesa yangu tafadhali. Maisha magumu.
  3. Dawasco rudisheni maji Mbweni JKT!

    Kwani what happened na Dawasco? Maji huku Mbweni JKT hamna tangu last week. Ukipiga Customer Care, hio lugha ni ishara tosha kuwa huduma mbovu. Huyu dada wa customer care kasema tu atamwita Engineer na wala hakupi ticket namba na ameshakata simu. Wakuu wa DAWASCO hebu tupieni jicho hizo huduma...
  4. Rudisheni lugha ya Kiingereza shuleni kama lugha ya kufundishia

    limekuwa gumzo kwa nini mawaziri na watu wanaojiweza wanapeleka watoto wao shule za kiingereza kwa gharama kuu wakati watoto wa masikini hawajaliwi katika shule za kata. sababu ni moja tuu ni kutafuta njia ya watoto wao waongee kiingereza vizuri kama ilivyokuwa enzi za darasa la nane .sasa...
  5. TCU rudisheni mfumo wa kudahili wanafunzi vyuoni kwa njia ya mtandao (CAS)

    TCU ni taasisi inayodhibiti ubora wa elimu ya juu. Inakagua, inashauri, inaruhusu Na kusimamisha au kufuta vyuo visivyokidhi vigezo vya ubora. Hivyo, vyuo vyote ambavyo vinatoa mafunzo vimefikia vigezo (minimum) vya ubora wa kumudu kutoa mafuzo yaliyokusudiwa. Ingawa ni kweli vyuo vinatofautiana...
  6. J

    TANESCO rudisheni token ama fedha za watu mlizochukua wakati wa tatizo la mtandao

    Rudisheni Token ama fedha za watu mlizokata wakati mna tatizo la mfumo wa LUKU, ni muda sasa hela hamrudishi Token hamtoi, hamuoni kama huu ni wizi kama wizi mwingine? Kwenye mitandao ya simu mtu akipata shida ya miamala ndani ya saa 24 hela zake zinarudi nyinyi mna tatizo gani , watu walinunua...
  7. Ushauri: TANESCO rudisheni Service Charges

    Miaka ya nyuma kidogo TANESCO walikuwa wana charge Tsh. 7,000/= kwa mwezi kama Service Charge kwa wateja wake. Lakini ilikuja kufutwa kwakuwa ilionekana ni mzigo kwa watumiaji wa umeme hasa wale wa Tariff 1 na Tariff 0 kwakuwa ndio wateja zaidi ya 90% ya wateja wote wa TANESCO. Hii nikiri kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…